Je, ikitokea Rais Muislam amefariki, atapewa heshima zote kama heshima anayoipata Rais asiye Muislam?

Unaweza nipa sababu ya why mnazika mapema? Sababu yenye mantiki na sio sababu ya utamaduni kama kufuga ndevu, au kuvaa suruali fupi au kuvaa kanzu.

Nipe kitu chenye mashiko like, why so necessary
Na sababu yenye mashiko ya kuzungusha maiti barabarani wiki moja ni ipi?
Au ya kukaa na marehemu hata siku 5 ni ipi kama sio huo huo utamaduni?
 
Sasa wewe unaona kumzungusha marehem wiki nzima ndo heshima?

Why watu wasingefata mwili ulipo?
Why mwili uzungushwe wiki nzima?

Ni Bora mwili ungekaa chato wiki nzima
Watu waende kuliko kuuzungusha wiki nzima.
Kumzungusha Marehemu au kutomzungusha hakuna effect yoyote kwa marehemu.

Maiti huoza na kuliwa na funza, sasa hata kama Maiti atazungushwa nchi nzima bado hakuna tatizo lolote kwa maiti huyo.

Hizi imani za kusema, "kumpumzisha marehemu mapema", hazina maana yoyote. Unaupumzisha vipi mwili unaoenda kuliwa na funza???
 
Jiulize Maalim ilikuaje? Maana Maalim naye alikua na cheo Cha urais
 
Kuzungusha ni kutumia gharama zisizo za lazima na kuwachosha wafiwa tu..Ni utopolo
 
Kuzika mapema sio kosa....kuchelewa kuzika sio kosa pia.

Mtu akifa, ukurasa wake umefungwa...anachosubiri ni hukumu siku ya kiama atakapokuwa amefufuliwa.

NB. Hii ni kwa mujibu wa imani yangu iliyojengwa juu ya Kitabu kisichona shaka juu yake yaani Biblia. Book of books.
 
Ndio...
Atazikwa kwa heshima zote! Itabidi waende kinyume na utaratibu wa dini kidogo. Awekewe dawa, maana itakua state funeral.
 
Hahaha , Hao Wazanzibari walilalamika wapi wapelekewe maiti ya Magufuli?🤣
Wakati wale Waislamu hawana hata hup utamaduni
 
Wana muwaisha akaanze kushugulikiwa na malaika akiwa na rungu lenye misumari teh teh et ile sigda uwa ni tochi ya kaburini ..
 
Waliamua kuchelewesha kuzika ni waislaamu.sio maaskofu Wala familia ya marehemu.Samia,Majaliwa ndio wakuu wenye maammuzi ya link atazikwa.leo mama Janet sura yake Ina amani kwa kufahamu mumewe anapumzishwa anaglia sura yake Leo na siku zingine.
Kulaumu wakristo si sahihi.
Maaskofu hawawezi kukata kuzika msiba eti amekufa siku nyingi hakuna Aya inayowataka
 
Maalim Seif amelala hapa pamoja na umakamu wake wa raisi
 
mtu anapougua haraka hukimbizwa hospitali ndivyo ilivyo kwa waislam mtu akifariki hukimbizwa makaburini
 
Waliamua kuchelewesha kuzika ni waislaamu.sio maaskofu Wala familia ya marehemu.Samia,Majaliwa Nani mkuu ndio wakuu wenye maamuZi
japokuwa post yako imekaa kidini. i would like to tell you that serikali haina dini.
and ukishakuwa rais, ww ni sehem ya serikali, taratibu za kiserikal ndio zitafuatwa kwanza then za kidini baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…