Je, inaweza kufunguliwa kesi dhidi ya Jeshi la Polisi ya kumwitisha Moses Lijenje aletwe Mahakamani?

Je, inaweza kufunguliwa kesi dhidi ya Jeshi la Polisi ya kumwitisha Moses Lijenje aletwe Mahakamani?

Marehemu Lejenje ana ndugu wa HOVYO SANA, haiwezekani muda wote huo mtu haonekani wao WAMEUFYATA tu. Pumbavu.
 
Kuna uwezekano mkubwa Moses Lijenje alikamatwa na pengine alipelekwa selo za Polisi zisizojulikana pengine na kupewa majina mengine ili asijulikane kama ilivyokuwa kwa akina Adamoo!
Kwa kuwa pia hawakuwa wakiandikishwa wakati wakiingizwa lock-up, mfano pale TAZARA, je kuna uwezekano kwa ushahidi kama huo kesi ikafunguliwa na Ndugu wa Lijenje au hata rafiki kuwataka Polisi kutoa maelezo alipo huyu Kommandooo? Ni hayo tu!
Kwa mfumo wa mahakama zetu bado ni chengamoto sana
 
Ndugu zangu ni mapolisi, naomba Mungu wasifikie hatua za akina [emoji116]
20211203_205020.jpg
 
Polisi wameshakwambia hawana mtu kama huyo na bado anatafutwa, kama wewe unamtambua yuko rumande mahala fulani basi uwe ndiye mlalamikaji na dhamira yako uiweke wazi usije ukajuta baadae kwa kushabikia usichokijua!!!!
Ndugu wanahaki ya kujua mwanafamilia mwenzao alipo. Polisi wanafanya ubabe huu kwa sababu hakuna wa kuwauliza, wanatreat watu kama wafungwa wa GUANTANAMO BAY
 
Watu wote walioshiriki kuua watu ili kumfurahisha Magu, Mungu awalaani wao na vizazi vyao vyote. Siku zote damu ya waliowaua iwaandame na wasipate pumziko hapa duniani. Wawe ni watu wa tabu na misukosuko daima!
 
AMEEEENI
 
Yawezekana vilevile labda aligoma kutoa ushirikiano kwa watekaji kina Kingai na genge lake, akateswa akapoteza maisha.
 
Atakuwa may be yupo mambele anakula good time afta kuuza mechi pale RAU KWA MAMA PENDO MUUZA gembe
huyu mama pendo hawa kina Goodluck watakuwa wamemuacha salama kweli ? 🤣🤣
 
Polisi wameshakwambia hawana mtu kama huyo na bado anatafutwa, kama wewe unamtambua yuko rumande mahala fulani basi uwe ndiye mlalamikaji na dhamira yako uiweke wazi usije ukajuta baadae kwa kushabikia usichokijua!!!!
Ulisele vitisho visivyo na mashiko. Kama haiwezekani useme na uweke vigezo vya kisheria kwa nini haiwezekani na ndio majubu atakayo huyu Bwana sio vitisho.
 
Polisi wameshakwambia hawana mtu kama huyo na bado anatafutwa, kama wewe unamtambua yuko rumande mahala fulani basi uwe ndiye mlalamikaji na dhamira yako uiweke wazi usije ukajuta baadae kwa kushabikia usichokijua!!!!
Viumbe kama wewe mlitakiwa muishie kwenye kondom na kutupwa kwenye shimo la choo.. kwenye ulinwengu wa watu waliostaarabika wewe ni MJAALAANA waawahii!!…!
Hata humu hustahili kabisa kuwepo.. pumbavu kabisa kabisa.. hao watu wasiojulikana washajulikana, watuue hatuwaogopi,
watuteke , watutesa hatutaacha kusema, Kingai na Mahita wanajua alipo Lijenje awe mzima au wamemuua.
 
Back
Top Bottom