Mstoiki
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 4,365
- 8,384
Sawa.Uko sahihi mkuu... lakinh binafsi akili yangu imegoma kukubali kuwa hakuna Mungu. Nimesoma vitabu vingi vya atheism lakini bado..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa.Uko sahihi mkuu... lakinh binafsi akili yangu imegoma kukubali kuwa hakuna Mungu. Nimesoma vitabu vingi vya atheism lakini bado..
Mkuu unaweza kuwasiliana nami tafadhal kupita email pm yangu haifunguki...Most ni yenyewe
Yenye nguvi si yenyewe
Ya upole ndio halisi
Hii ndo kanuni. Na katika hii ndipo ahetan huzungumza na mungu hunena
Wewe umetumia vigezo gani kujua hilo dhehebu siyo la kweli?Sasa Mungu wa kweli anapatikana dhehebu gani, maana nimetumia zaidi ya miaka 20 kwenye dhehebu ambalo nilidhani ndo dini ya kweli lakini baada kufanya utafiti nimevunjika moyo na mambo ya dini....
Kwa kweli kama Mungu atagawa uzima wa milele kwa kutazama mafungamano na hzi dini naona kabisa ntashndwa...
Mkuu umesema nisipopata mwongozo ntapotea...Kwa kuwaza hivyo tu,inamaanisha una wito,ila hujui namna ya kuutekeleza.
M-ngu hajawahi kuwa wa dhehebu au kikundi flani,M-ngu ni wa mtu binafsi,ndio maana utasikia anajiita M-ngu wa Ibrahim au Mungu wa isaka,ukifatilia kipindi cha ibrahim,kulikuwa hakuna ukristo,judism wala uislamu lakini Ibrahim alimwabudu M-ngu,hata kwenye agano jipya Yehoshua(Jesus) anasema,M-ngu haabudiwi hekaluni wala juu ya mlima Bali anaabudiwa katika roho na kweli,simply worship is personal and never a public act.
Ngoja nifupishe maelezo
Fanya mambo haya matatu,utakuja kunishukuru.
1.hilo wazo la kuwa ATHEISM achana nalo kwasababu,kutokana na maelezogu.
2.hilo wazo lako la kuanzisha hizo ibada za hapo nyumban yako,usiliache,hizi dini zote zilianzia nyumbani kwa mtu na m
Nmeku PMMkuu unaweza kuwasiliana nami tafadhal kupita email pm yangu haifunguki...
kuna jambo binafsi kuhusu haya ningependa kukuuliza..
natafutamaisha420@gmail.com
Mkuu mambo ni mengi sana kwa uchache tu,Wewe umetumia vigezo gani kujua hilo dhehebu siyo la kweli?
Hakuna MUNGU wa waIslam na wakristo.Ila kuna nabii Mohamed na MASIHI Issa bin Mariam
Hawa walitumwa na MUNGU kwa kazi maalum.
Aliyetangulia alikuwa Masihi Issa Bin Mariam wayahudi mnaowasifia walivyomsulubu ikapita miaka 570 MUNGU akamtuma Mtume Mohamed.
Issa Bin Mariam alileta Injili na Mohamed alileta Quoran.
Wote hawa wanatokea tawi la Nuhu,Ibrahim na ndo maana hizi dini mbili zinaitwa dini za Ibrahim
Huyo mnayemuita YESU ni jina tu liloletwa na Wazungu Jesus waswahili tukasema YESU.
ila ujue nikuambie jina la nabii yeyote linatakiwa litamkwe kama liivyo.
Ndio maana muislam aliyebobea kwenye dini hawezi kukwambia anamuabudu YESU ila atakuambia anamuabudu Issa Bin Mariam.Na waislam wanakubali alizaliwa bila kuwa na baba wa kibayolojia na ndio maana wanatamka Issa bin Mariam.Ila Mohamed alizaliwa na baba na mama.
Mwisho wa yote MUNGU wa wakristo ni huyo huyo wa waislam
Fungamana na Yesu, si madhehebu! Hata ukienda kuabudu kwenye madhehebu uwe unafuata kujifunza toka kwa wengine, si kufuata na kufungamana na madhehebu yao. Hakuna madhehebu yanamwokoa na/au kumpeleka mtu mbinguni - ni Yesu pekee.Wakuu niaje?
Natumai mko poa...
Twende kwenye mada tajwa hapo juu... Je kuna uwezekano wa kumuabudu Mungu pasipo kuwa na mafungamano na haya madhehebu ya kidini?
Siku za hivi karibuni nimefanya utafiti wa kina kuhusu madhehebu ya kidini hasa nililokuwa na mafungamano nalo.. Aisee ni mambo ya kusikitisha sana.. Binafsi naamini Mungu yupo japo nina wasiwasi na utu wake(personality) namuona kama atakuwa anafurahia kuona wanadamu na viumbe wake wakiteseka..
Vyovyote vile bado naamini yupo..
Sasa naombeni mnisaidie maoni na mapendekezo(tips) za kumuabudu bila kujihusisha na hizi dini ambazo ukizifuatilia kwa undani utapatwa na sonona.
Niliwaza kuwa na vipindi vya ibada hapa kwangu, kama kuimba mwenyewe, kusoma biblia na kusali.. Je ni sawa?
Natanguliza shukrani....
🤣🤣🤣Halafu sisi wachungaji sadaka yake tutakulaje..?????
Nmekuandikia emailMkuu pm yangu haifunguki nadhani kwa sababu ya simu ninayotumia ni hz tecno zenye opera mini, tuwasiliane kwa email.. ikishndikana ngoja nitafute simu nyngne,
Kwanini mafundisho ya Yesu na uislamu yanakinzana pakubwa sana hasa kuhusu matendo ya kumuabudu Mungu namaanisha sala na kuswaliKatika Uislamu hilo unalolisema halipo, na hata akili ya kawaida inapingana na hilo.
Hapo kuna swali la kujiuloza, je Ibada ni nini? Utajuaje kuwa kuwa unayoifanya ni ibada ambayo aliyekuumba anairdhia? na utajuaje kuwa unaifanya katika namna ambayo anairidhia?
Pamoja na kuwa kila muislamu anaamini kuwa Mungu yupo(Allah) -kwa sababu hilo linadhibitika hata kiakili- lakini Allah tunamfahamu zaidi na kufahamu namna sahihi ya kumuabudu kupitia mafundisho yake ambayo ametufundisha kupitia mtume wake Muhammad -swalla llahu allaihi wa sallam-.
Nakubaliana na hili mkuu..yohana 3:16.Fungamana na Yesu, si madhehebu! Hata ukienda kuabudu kwenye madhehebu uwe unafuata kujifunza toka kwa wengine, si kufuata na kufungamana na madhehebu yao. Hakuna madhehebu yanamwokoa na/au kumpeleka mtu mbinguni - ni Yesu pekee.
Hizo dini ni utapeli mtupu Achana nazo just be a god person with kindness inatoshaAhsante mkuu..
Dini niliyokuwemo kuna indocrination ya hatari, maana tumekuwa tukiambiwa kuwa ndo dini ya kweli, ukitoka basi ujue umemuacha Mungu na ujiandae kuharibiwa..nilikuwa humo kwa miaka 20, haya yameniathiri mpaka nimeacha kusali kibinafsi nahsi labda kwa kuwa nimeacha mambo ya dini basi hata Mungu atakuwa asikilizi...
Afungamane na Yesu kuliko Mungu aliyemuumba?Fungamana na Yesu, si madhehebu! Hata ukienda kuabudu kwenye madhehebu uwe unafuata kujifunza toka kwa wengine, si kufuata na kufungamana na madhehebu yao. Hakuna madhehebu yanamwokoa na/au kumpeleka mtu mbinguni - ni Yesu pekee.
Kwenye Ukristo kuna tofauti kati ya Mungu na Yesu kwenye kila nyanja.Afungamane na Yesu kuliko Mungu aliyemuumba?
Kwahiyo nabii Adam kule bustanini alikuwa na Yesu maana kule ndiko creation ya mwanadamu ilikofanyika