Je, inawezekana Jakaya Kikwete ndiye Nyerere wa leo?

Angekuwa kama Nyerere, basi asingeruhusu yule mwendawazimu wa Chato ANAJISI Ikulu yetu. Huo mtihani wa kwanza anapata ZERO kwa kumfanya Magufuli mgombea kisha Rais wa Tanzania
 
Hapana, haiwezwkani. Jakaya yupo juu sana ya Nyerere kiuongozi.

Magu ndiye unaweza kumfananisha na Nyerere, wote hao walikuwa hawaambiliki, wakurupukaji na walitumia nguvu nyingi kuliko akili katika uongozi.
 
Aisee kumbe wanaokuitaga wewe ni mahamuma kikongwe mzee wanakutambua vyema! Nami leo naungana nao rasimi! Yaani sijui unachuki gani na ukristo wewe bibi?
 
Aisee kumbe wanaokuitaga wewe ni mahamuma kikongwe mzee wanakutambua vyema! Nami leo naungana nao rasimi! Yaani sijui unachuki gani na ukristo wewe bibi?
Wapi nimetaja ukristo au unajistukia?

"Ad Hominem" ni ujinga wa hali ya juu kwenye mada kama hii.

Shambulia hoja achana na mleta hoja.
 
Wote wawili wana kitu kimoja "in common" nacho si kingine zaidi yakuweza kujenga "political hegemony" zao zilizoweza kuwapa ushawishi mkubwa wa siasa za kitaifa na kimataifa hata katika kipindi kirefu baada ya wao kutoka madarakani.

Mwl. Nyerere alikuwa mwana majinuni maarufu na "typical socialist" kwa mawazo, maneno, matendo na pale alipotimiza wajibu wake kama kiongozi wa umma. Hakuwa na tamaa ya kujilimbikizia mali ama serikali yake kuadamwa na kashfa kubwa za rushwa, ama hata kutiliwa mashaka katika suala zima la maadili ya umma ama uadilifu wake. Na alitawala nchi katika kipindi cha utawala wa chama kimoja.

Upande wa Kikwete nafikiri kwa jinsi anavyoongelewa na "social media" atakuwa ni kipenzi cha sera za kibepari. Mengine kuhusu haiba na hulka yake unaweza kujazia wewe mwenyewe. Yeye ametawala katika kipindi cha utawala wa vyama vingi.
 
Hapana, haiwezwkani. Jakaya yupo juu sana ya Nyerere kiuongozi.

Magu ndiye unaweza kumfananisha na Nyerere, wote hao walikuwa hawaambiliki, wakurupukaji na walitumia nguvu nyingi kuliko akili katika uongozi.
Dada Faiza 🤔
 
Nashukuru 🙏🏿.
 
Mmoja ni mwanamajumui wa kiafrika na mwingine ana sera za kiliberali.

Mmoja akiamini bila Afrika kukombolewa basi hakuna uhuru wa kweli na mwingine anaamini Tanzania kwanza.
 
Elimu, Elimu elimu,
 
Nyerere ana kipi Cha maana zaidi ya kusifiwa na wakatoliki wenzie Kwa sababu wajuazo wao!!

nyerere amedhilumu majumba ya watu tanzania nzima na kukabidhi NHC watu wamkufa kwa presha za nyumba zao vijawanja vya waislamu vimechukuliwa bado akaunda bakwata kuuwa uislamu leo hii anateswa kaburini yeye na farauni hukumu yao moja, bora ya makufuli kamzidi nyerere mara 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…