Je, inawezekana kwa mwanamke kudumu na mwanaume mwenye matatizo ya nguvu za kiume kwa sababu anampenda?

Si imeulizwa kuhusu nguvu za kiume? Yaani kushindwa kusimamisha na kufanya tendo? Au sijaelewa?
 
Sasa kwanini msipambane kupata tiba, kuliko kumuacha.

Maana huo nao ni ugonjwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tiba nitapambana kwa mume, sio kwa mpenzi...unaweza pambana na ukaachwa vile vile, apambane mwenyewe.
Naweza kumsaidia kwa kumtia moyo lakini hakutakuwa na guarantee kuwa sitamove on kwa mwingine.
Akipona haraka, basi itakuwa vzr zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…