Cc ROBERT HERIELUmempenda mtu fulani kwa sababu kupenda huwa ni kabla ya kukutana kimwili.
Sasa baada ya mahusiano ya muda mmekutana kimwili unakuja kugundua kuwa jamaa hawezi, je, unaweza kudumu nae kwa sababu ya kumpenda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cc ROBERT HERIELUmempenda mtu fulani kwa sababu kupenda huwa ni kabla ya kukutana kimwili.
Sasa baada ya mahusiano ya muda mmekutana kimwili unakuja kugundua kuwa jamaa hawezi, je, unaweza kudumu nae kwa sababu ya kumpenda?
Sasa shemela bila mgegedo tunakuwa tunafanya nn? Ngonjera?Shemela kumbe unapenda mgegedo namna hiyo?
Weewe bana ulimi sijui vidole hizo ni supporting documents!Kuna alternative ya ulimi mkuu
Sijasoma hii posti na wala sitamwambia blaza....Sasa shemela bila mgegedo tunakuwa tunafanya nn? Ngonjera?
aISEEEH hapana jamani!
Mimi nipewe mitihani mingine ya uvumilivu ila sio mgegedo.
Hapana weeee!
Shemela usisahau mi mngoni lakini!
Kwetu ufanye kosa yoote huulizwi sio mume/mke ashtaki humpi !
Long time no see youUkhanisi ndio hautibiki, lakini tatizo la nguvu za kiume linatibika.
Hata wanawake wengi wana tatizo la nguvu za like ila wengi hawalijuhi hilo.
Siyo Mara zote kumridhisha mwanamke ni tatizo la nguvu za kiume Bali ni tatizo la nguvu za like.
Wanawake wanaokazwa na majini mahaba ni tatizo sana, mpaka upambane kwanza kulitowa jini mahaba ndio mtaelewana.
Wengi mnaishi duniani kama vipofu hata kinachoendelea kwenye maisha yenu hamuelewi.