Je, inawezekana kwa mwanamke kudumu na mwanaume mwenye matatizo ya nguvu za kiume kwa sababu anampenda?

Je, inawezekana kwa mwanamke kudumu na mwanaume mwenye matatizo ya nguvu za kiume kwa sababu anampenda?

Shemela kumbe unapenda mgegedo namna hiyo?
Sasa shemela bila mgegedo tunakuwa tunafanya nn? Ngonjera?
aISEEEH hapana jamani!
Mimi nipewe mitihani mingine ya uvumilivu ila sio mgegedo.
Hapana weeee!
Shemela usisahau mi mngoni lakini!
Kwetu ufanye kosa yoote huulizwi sio mume/mke ashtaki humpi !
 
Sijasoma hii posti na wala sitamwambia blaza....

Hii ni sri yeti, shemeji kula.
 
Ukhanisi ndio hautibiki, lakini tatizo la nguvu za kiume linatibika.

Hata wanawake wengi wana tatizo la nguvu za like ila wengi hawalijuhi hilo.

Siyo Mara zote kumridhisha mwanamke ni tatizo la nguvu za kiume Bali ni tatizo la nguvu za like.

Wanawake wanaokazwa na majini mahaba ni tatizo sana, mpaka upambane kwanza kulitowa jini mahaba ndio mtaelewana.

Wengi mnaishi duniani kama vipofu hata kinachoendelea kwenye maisha yenu hamuelewi.
Long time no see you
 
Back
Top Bottom