Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Ukitaka kujua mtu anayejitambua ni Yule ambaye hakubali mwili wake kufanyiwa majaribio big upSijawahi kutumia brand nyingine zaidi ya Always
Ziache ujaribu nyingine.Poa. Labda nimekosana nazo
SijiiAsali ni dawa lakini kuna watu wakitumia inawadhuru je utasema asali ni sumu??
Atakaesema povu ruksa kutoa nguo zake nimfulie.... [emoji3][emoji2]
Lol.
Asante. Nimezoea always. Nikakuta zimeisha nikasema nichukue hizi. Ila loh.sitazijaribu tenaTunashare period date.ahahaa pole mate tumia always au angel
Naona wengi wanaogopa ule ubaridi kwakwel ndo maana wanaulizaKama kitu kimekushinda si unaacha tu kwani umelazimishwa!! halafu mbona mnaandama sana pads za huyu mama nini shida mbona wabongo hatupendani!!
Yaani. Nilikuwa sijuagi. Ngoja tu niendeleee na always zanguHizi pad zinaleta sana yeast infection kwa zisiowapenda.
Same here na sitobadilisha mpaka nafikia menopauseSijawahi kutumia brand nyingine zaidi ya Always
AsanteZiache ujaribu nyingine.
Acha kuzitumia,Zinaniwasha na tumbo kuuma Sana. Na harufu ambayo. Sijawahi kuisikia katika maisha yangu kabisa
HahahahaSijii
Naic utakuwa na tatizo la kiafya cyo bure, ungeenda hospital ukachekZinaniwasha na tumbo kuuma Sana. Na harufu ambayo. Sijawahi kuisikia katika maisha yangu kabisa
Always ndogo?Sijawahi kutumia brand nyingine zaidi ya Always
Mimi natumia hizo since mwaka gani sijui na sijawahi ku experience any bad reaction, tho kuna watu wanasema sijui zinavuruga siku sijui nini jamani si unaacha tu unawapisha wengine wanatumia, mimi nikitumia Always Ultra huo muwasho wake balaa ila siwezi kuwaponda Always eti sababu me zimenikataa.Naona wengi wanaogopa ule ubaridi kwakwel ndo maana wanauliza
Kama zina madhara zitaanza namm,natumia hadi pantliner alafu muda mwingine najihc kurelax[emoji6] Sana, Cjui ndo madhara yenyewe
Inategemea na flow, ninaangalia na night heavy flow ninamalizia na lightAlways ndogo?
Zimekuachia shida gani kwaniItabidi maana zimeinfanya nikakosa raha