Je, inawezekana matumizi ya aina fulani ya pedi yakabadili 'flow' ya damu ya hedhi?

Pole sana...kuna uzi ulishaletwa humu mwaka jana na wadada wenzio wakiongelea hizi pads wapo waliosema ni salama na wengine walidai zimebadilisha hata mwenendo wa siku zao.
 
Nimeanza kuzitumia 2015 mpk Leo
Cjaona tatizo lolote,

Kwani Wewe zimekufanyaje?
 
Vipi [nampapaa] ipo njema lakini?

Infwakti, mimi ni dokta wa kina mama.
 
Kama kitu kimekushinda si unaacha tu kwani umelazimishwa!! halafu mbona mna ziandama sana pads za huyu mama nini shida mbona wabongo hatupendani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…