kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Huyu kaelewa uzi kweli?Inaonekana mijitu mingi hapa JF haifatilii michezo wala siasa...
Juzi Vinicius junior kapigwa Red card ...Rais wa nchi yake kamuita Balozi wa Spain ..kutaka maelezo kuhusu ubaguzi...Hadi kadi ikafutwa...
Nyinyi mnashangaa waziri???
Badala ya kwenda shamba kuzalisha unaanzisha uzi wa waziri wa Tanzania vs England.Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Hii kauli ulitakiwa uiseme pia wakati wa Waziri wa Elimu na Michezo kipindi Fulani alipokwenda na timu ya Simba Misri kwa ajili ya mashindano yaliyoandaliwa na Shirikisho la Soka barani Africa.Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Kujua mchezo jiulize nani mfadhili wa Fei!nishati ni suala la Fei toto
Wewe una roho mbaya kuliko hata roho mbaya yenyewe, kuna Shida Gani waziri wa michezo kwenda kuipa nguvu timu iliyotinga fainali, unadhan kuingia fainali ni rahisi?Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Wenzetu kila kitu kinaandikwa, kila kitu kinakuwa documented miaka na miaka maandishi hadi ya karne ya 5BC yapo. Tafuta, chimbua kama kuna huo utopolo ulete hapa.Inawezekana walifanya hivyo miaka ya nyuma san SI unajua hata industrial revolution ilianzia kwao miaka ya 1870,wakat huku kwetu Bado hiyo industrial revolution bado
Huku kwetu political stunts na pubicity ni jambo la kawaida. ila pia mambo kama haya hufanyika kulinda uwekezaji uliowekwa katika biashara kwa hiyo kuna mambo ya kufikirisha hapoImenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Ww unashangaa kuambatana na Yanga juzi tu hapa Mwana FA kaambatana na wale madogo kule South Africa Toka michuano inaanza mpaka inaisha.Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!