kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Yaani nchi yetu asilimia kubwa ya discussion kwenye jamii ni Simba, Yanga, bifu za wasanii, umbea wa masula ya ngono na ushirikina.
Kwahyo wanasiasa wamejua udhaifu wetu, wanacheza mule mule... kwa sasa hakuna anayejadili bajeti ya nishati ni suala la Fei toto na Yanga.
Tuna mika zaidi ya 30 mbele ili tuje tuanze kujitambua..