Je, inawezekana Waziri pale Uingereza kusafiri na timu ya mpira kama Man UTD au Man City au ni hapa kwetu tu?

Yaani nchi yetu asilimia kubwa ya discussion kwenye jamii ni Simba, Yanga, bifu za wasanii, umbea wa masula ya ngono na ushirikina.

Kwahyo wanasiasa wamejua udhaifu wetu, wanacheza mule mule... kwa sasa hakuna anayejadili bajeti ya nishati ni suala la Fei toto na Yanga.

Tuna mika zaidi ya 30 mbele ili tuje tuanze kujitambua..
 
Inaonekana mijitu mingi hapa JF haifatilii michezo wala siasa...
Juzi Vinicius junior kapigwa Red card ...Rais wa nchi yake kamuita Balozi wa Spain ..kutaka maelezo kuhusu ubaguzi...Hadi kadi ikafutwa...

Nyinyi mnashangaa waziri???
 
Hapa kaandikiwa posho perdiem ya 10m. Prof. Asad alieleza vizuri sana viherehere vya mawaziri kwenye field badala ya kutunga sera
 
Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Badala ya kwenda shamba kuzalisha unaanzisha uzi wa waziri wa Tanzania vs England.
Una akili sawasawa kweli wewe?
 
Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Hii kauli ulitakiwa uiseme pia wakati wa Waziri wa Elimu na Michezo kipindi Fulani alipokwenda na timu ya Simba Misri kwa ajili ya mashindano yaliyoandaliwa na Shirikisho la Soka barani Africa.

Waliokuwepo watamtaja waziri hiyo kama kumbukumbu zangu zimenihudumia sawasawa.
 
Hapo ukute tayari kuna malaya wake amemsafirisha ili wakaenyoy huko nje[emoji3]
 
Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Wewe una roho mbaya kuliko hata roho mbaya yenyewe, kuna Shida Gani waziri wa michezo kwenda kuipa nguvu timu iliyotinga fainali, unadhan kuingia fainali ni rahisi?
 
Inawezekana walifanya hivyo miaka ya nyuma san SI unajua hata industrial revolution ilianzia kwao miaka ya 1870,wakat huku kwetu Bado hiyo industrial revolution bado
Wenzetu kila kitu kinaandikwa, kila kitu kinakuwa documented miaka na miaka maandishi hadi ya karne ya 5BC yapo. Tafuta, chimbua kama kuna huo utopolo ulete hapa.

Cha msingi ni kusupport vipaji from grassroots, timu za vijana zipo hoi U17 na U20 support kubwa ilitakiwa ipelekwe huko na mambo mengine kenda.
 
Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Huku kwetu political stunts na pubicity ni jambo la kawaida. ila pia mambo kama haya hufanyika kulinda uwekezaji uliowekwa katika biashara kwa hiyo kuna mambo ya kufikirisha hapo
 
Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Ww unashangaa kuambatana na Yanga juzi tu hapa Mwana FA kaambatana na wale madogo kule South Africa Toka michuano inaanza mpaka inaisha.
 
Tatizo wewe ni shabiki wa wazee wa robo fainali.
Na nyie fikeni fainali muone raha yake.
 
Back
Top Bottom