Only in Tanzania.Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Mbona Rais wa Ufaransa alikuwepo siku timu ya nchi yake inacheza au ulisafiriImenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Hamasa haichezi soka, vilabu vilipotea sababu hakukua na uwekezaji kwenye soka.Mimi ni shabiki wa Simba ila Sioni Ubaya kwenye Hilo maan usifananishe Liverpool,madrid au hata Newcastle na Timu zetu hizi za Kibongo,
Wanachofanya Serikali ni Kuzipush hizi Timu zetu ili zifikie anagalau ukubwa kama wakina Al ahly au Wydad,
Kinachoendelea saivi ni Hamasa tu maan kw muda mref vilabu vyetu vilipoteana na sas vimeanz kufanya vizuri kwahyo vikishakuw vikubw na kuanz kuperform Vizuri back to back hakutokuw na jipya tena kwahyo hat hii mihemko inayokukera hautoiona mkuu we vumilia kidog tu.
Kinachotokea saiv ni sawa na Wazaz wanapotarajia mtot wao wa kwanz huw wanakuw na shauku na Manjonjo meng sana ila Kadr wanavyoendelea kupata watt bas na Mbwebwe znapungua.
Mawaziri ambao hawasafiri na timu ina maana hawana exposure? Mfano waziri wa Algeria ambae hakusafiri na timu kuja huku bongo, yeye Hana exposure?Wazir aende apate exposure kunashida Gai wakati ndege imelipiwa
Kwani Yanga ni Taifa stars?Uachage uduanzi rais wa croatia alienda kwenye fainali timu ikicheza na france
Jibu hoja lini serikali ya UK au popote ulaya imetoa ndege kuzipeleka timu zao zilizofainali?We unaongea nini wewe dogo, kweli yaani hizo club ulizozitaja unaweza kuzilinganisha na club za Bongo hata Al Ahly na bajeti yake kubwa haiingii hata robo kwenye hizo timu
Sawa na $8000 kila Goli linalofungwa nayo ushasikia huko?Punguza nongwa na gubu la kike mkuu. Mfumo unaoongoza Uingereza huwezi kuulinganisha na huu unaongoza Tanzania.
Ni bongo tu na ni upumbavu uliovuka viwango.Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Boraa umeulizwa hili swalii zuri sanaaaSerikali inapaswa itoe Motisha kwa timu ya taifa na sio timu moja moja,,
Kuna kipindi timu fulani ya Tanzania ilishindwa kwenda kushiriki Mashindano ya kimataifa nje ya inchi sababu ya ukata.
Serikali ilikuwa wapi?kutoa ndege?
Kabisa mkuu,,Boraa umeulizwa hili swalii zuri sanaaa
Ndicho ulichoandika, hizo man u na man city hapo umeziandika kushabihisha na timu gani?Kwa akili yako Kuna mahali nimeandika yanga na man u zinafana a?
Hamasa ya ushindi kaka, tatizo usimba unakusumbua sana ukichanganywa na wivu.Sawa na $8000 kila Goli linalofungwa nayo ushasikia huko?