Mimi ni shabiki wa Simba ila Sioni Ubaya kwenye Hilo maan usifananishe Liverpool,madrid au hata Newcastle na Timu zetu hizi za Kibongo,
Wanachofanya Serikali ni Kuzipush hizi Timu zetu ili zifikie anagalau ukubwa kama wakina Al ahly au Wydad,
Kinachoendelea saivi ni Hamasa tu maan kw muda mref vilabu vyetu vilipoteana na sas vimeanz kufanya vizuri kwahyo vikishakuw vikubw na kuanz kuperform Vizuri back to back hakutokuw na jipya tena kwahyo hat hii mihemko inayokukera hautoiona mkuu we vumilia kidog tu.
Kinachotokea saiv ni sawa na Wazaz wanapotarajia mtot wao wa kwanz huw wanakuw na shauku na Manjonjo meng sana ila Kadr wanavyoendelea kupata watt bas na Mbwebwe znapungua.