Je, inawezekana Waziri pale Uingereza kusafiri na timu ya mpira kama Man UTD au Man City au ni hapa kwetu tu?

Je, inawezekana Waziri pale Uingereza kusafiri na timu ya mpira kama Man UTD au Man City au ni hapa kwetu tu?

Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.

Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Only in Tanzania.
 
Mbona Rais wa Ufaransa alikuwepo siku timu ya nchi yake inacheza au ulisafiri
 
Mimi ni shabiki wa Simba ila Sioni Ubaya kwenye Hilo maan usifananishe Liverpool,madrid au hata Newcastle na Timu zetu hizi za Kibongo,

Wanachofanya Serikali ni Kuzipush hizi Timu zetu ili zifikie anagalau ukubwa kama wakina Al ahly au Wydad,

Kinachoendelea saivi ni Hamasa tu maan kw muda mref vilabu vyetu vilipoteana na sas vimeanz kufanya vizuri kwahyo vikishakuw vikubw na kuanz kuperform Vizuri back to back hakutokuw na jipya tena kwahyo hat hii mihemko inayokukera hautoiona mkuu we vumilia kidog tu.

Kinachotokea saiv ni sawa na Wazaz wanapotarajia mtot wao wa kwanz huw wanakuw na shauku na Manjonjo meng sana ila Kadr wanavyoendelea kupata watt bas na Mbwebwe znapungua.
Hamasa haichezi soka, vilabu vilipotea sababu hakukua na uwekezaji kwenye soka.

Hamasa hata ufanye mwaka mzima 24/7 Kama huna timu bora ni kazi bure.
 
Wazir aende apate exposure kunashida Gai wakati ndege imelipiwa
Mawaziri ambao hawasafiri na timu ina maana hawana exposure? Mfano waziri wa Algeria ambae hakusafiri na timu kuja huku bongo, yeye Hana exposure?
 
unamwonaje kwanza

Umbile lake nikimtazama naona Kama limemnyima uwezo wa kung'amua mambo
 
We unaongea nini wewe dogo, kweli yaani hizo club ulizozitaja unaweza kuzilinganisha na club za Bongo hata Al Ahly na bajeti yake kubwa haiingii hata robo kwenye hizo timu
Jibu hoja lini serikali ya UK au popote ulaya imetoa ndege kuzipeleka timu zao zilizofainali?

Kwani Yanga Ni mara ya kwnza kucheza nje ya tanzania?

Je mara zote walikwenda vipi huko nje bila msaada wa serikali,,

JE NI LINI SERIKALI ZA ULAYA ZIMETOA $8000 kwa kila Goli linalofungwa na timu zao zinazoshiriki Mashindano mbali mbali?

jibu na Hilo.
 
Serikali inapaswa itoe Motisha kwa timu ya taifa na sio timu moja moja,,

Kuna kipindi timu fulani ya Tanzania ilishindwa kwenda kushiriki Mashindano ya kimataifa nje ya inchi sababu ya ukata.

Serikali ilikuwa wapi?kutoa ndege?
 
Kumbuka hiyo ni hela yetu yaani kodi. Ujinga wetu ndiyo silaha yao.
 
Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.

Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Ni bongo tu na ni upumbavu uliovuka viwango.

Hauwezi kukuta huu upumbavu sehem yoyote zaidi ya hapa matakoni mwa dunia
 
Serikali inapaswa itoe Motisha kwa timu ya taifa na sio timu moja moja,,

Kuna kipindi timu fulani ya Tanzania ilishindwa kwenda kushiriki Mashindano ya kimataifa nje ya inchi sababu ya ukata.

Serikali ilikuwa wapi?kutoa ndege?
Boraa umeulizwa hili swalii zuri sanaaa
 
Hao mashabiki walioenda ni amshaamsha au ndiyo mashabiki VIP?
 
Tatizo ni ushamba na kingine wanasiasa wa bongo wanajifanya wajanja sana eti wanajua hiyo ndiyo namna ya kucheza na akili za watu ili waonekane wanawajali sana wananchi.
 
Back
Top Bottom