The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
- Thread starter
- #61
Hiii mada imekuzidi kaaa pembeni wanaoiweza waijadiliTatizo wewe ni shabiki wa wazee wa robo fainali.
Na nyie fikeni fainali muone raha yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiii mada imekuzidi kaaa pembeni wanaoiweza waijadiliTatizo wewe ni shabiki wa wazee wa robo fainali.
Na nyie fikeni fainali muone raha yake.
Kwa hiyo hapa wewe uko shamba unazalisha? Yule ni waziri wa Tanzania na mm ni mtanzania nina haki ya kuhoji ninapoona mambo anayofanya ni kijingaBadala ya kwenda shamba kuzalisha unaanzisha uzi wa waziri wa Tanzania vs England.
Una akili sawasawa kweli wewe?
Hakuna kitu kama hicho kuna uhusiano mdogo sana au haupo kabisa kati ya kiongozi fulani mkubwa kuwepo uwanjani na timu kushinda mechi. Ni mara ngapi tumeshuhudia acha waziri pm vp na hata rais mwenyewe kahudhuria uwanjani na bado tukapigwa tena mbele mashabiki karibia elfu 60? Serikali iachane na cheap popularity kinachoweza kuleta mageuzi kwenye michezo sio hizi mbwembwe lazima serikali ije na sera madhubuti zinazozalisha kizazi shindani kinachoweza kushinda katika mazingira yoyote, ukishaweza hilo mashabiki na watia hamasa watajitengeneza wenyewe.Wewe una roho mbaya kuliko hata roho mbaya yenyewe, kuna Shida Gani waziri wa michezo kwenda kuipa nguvu timu iliyotinga fainali, unadhan kuingia fainali ni rahisi?
Huo wote ni utoto unaodumaza maendeleo ya michezo yakiwemo hayo mawazo yakoHii kauli ulitakiwa uiseme pia wakati wa Waziri wa Elimu na Michezo kipindi Fulani alipokwenda na timu ya Simba Misri kwa ajili ya mashindano yaliyoandaliwa na Shirikisho la Soka barani Africa.
Waliokuwepo watamtaja waziri hiyo kama kumbukumbu zangu zimenihudumia sawasawa.
TFF Lazima wawepo kule, wana medali yao na wao kama ulikuwa hujuiBinafsi hata mm nimeshangaa sana kumuona Hadi Raisi wa TFF naye kasafiri kwenda Algeria kiufupi hii kampeni tu sjui wamefuata nn kule karibia viongozi wengi wamenda
Sida tu, Mjinga, FIFA hsinaga huo ujinga wa Siasa, huyo Raisi wa Brazili anatafutavuungwaji mkono nchini mwake hakuna kitu hapo, Punguza UchawaInaonekana mijitu mingi hapa JF haifatilii michezo wala siasa...
Juzi Vinicius junior kapigwa Red card ...Rais wa nchi yake kamuita Balozi wa Spain ..kutaka maelezo kuhusu ubaguzi...Hadi kadi ikafutwa...
Nyinyi mnashangaa waziri???
ChwaHuyu kaelewa uzi kweli?
Ule ni ujinga na kujijenga kisiasa uwepo wake pale ni kuziba nafasi za watia hamasa kweli kweli wangeacha tuu waende washangiliaji waziri abaki kushughulikia sera ili aone na kujibu shida zilizojaa wizarani kwake.Wewe mwenyewe unaweza kuwa ni tatizo vilele
Mara ngapi kazurula zurula na timu.
Mara ngapi timu za tz zimefika hatuna za namna hii.
Wanaenda maraisi wanchi kushangilia Mpira, katako waziri tena mwenye sekta yake unakuja kupigapiga kelele kwani kaenda kuangalia mambo nishatii au ya kimichezo
Hauwezi kufananisha tz na uk kwenye michezo. Tz bado tunajitafuta sana na kwasababu hiyo, sioni ubaya kwa timu kusafiri na waziriImenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
gharama ya hotel anayo fikia na chakula analipa nan?
Nadhani tutofautishe mambo. Yanga iko stage ya juu kuitangaza nchi. Ni stage inayoangaliwa na Afrika nzima. Ni final. Siyo michezo ya kutafuta 16 bora wala kuingia robo final. Kimkakati kama nchi tunapaswa kuipa backup Yanga. #Yanga inacheza final ya Afrika. Michezo ni utalii, uchumi, biashara, ajira na uwekezaji. Waziri yuko sahihi kwa asilimia 100 kupiga kambi Algeria. 🙏🙏🙏Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Sikia ndugu yangu waziri ni mlezi wa wizara yote ambayo ndani yake soka ni kipengele tu na hata huku kwenye soka waziri angepaswa kuumiza kichwa kujua ni Kwa nini tuliingiza timu nne lkn imefika moja final!! Hiyo back up haisaidii chochote zaidi ya kumjenga kisiasa huyo waziri tena ujenzi uchwara.Nadhani tutofautishe mambo. Yanga iko stage ya juu kuitangaza nchi. Ni stage inayoangaliwa na Afrika nzima. Ni final. Siyo michezo ya kutafuta 16 bora wala kuingia robo final. Kimkakati kama nchi tunapaswa kuipa backup Yanga. #Yanga inacheza final ya Afrika. Michezo ni utalii, uchumi, biashara, ajira na uwekezaji. Waziri yuko sahihi kwa asilimia 100 kupiga kambi Algeria. 🙏🙏🙏
Mimi nafikiri sisi ambao soka lipo chini ndio tulipaswa kufanya kazi ya ziada katika kushughulikia mambo hii wizara ikisimamiwa na waziri anayejitanbua itazalisha ajira nyingi sana na kutupatia fedha nyingi sana za kigeni kupitia wanamichezoHauwezi kufananisha tz na uk kwenye michezo. Tz bado tunajitafuta sana na kwasababu hiyo, sioni ubaya kwa timu kusafiri na waziri
Unataka niifananishe na timu gani na kitayose fc? Hii kwenye nchi yetu ndio imebeba imageBongo mmekalia lawama tu kudadeki zenu.
Sasa kuna ubaya gani hapo, unaifananisha yanga na man u??
Na hapo kwenye kuingiza kampeni ndiko kutakako wanyima yanga ushindi na leo wanabamizwa vizuri kabisaMimi ni Yanga ila kinachoendelea ni Kampeni
🤣🤣🤣Mama anaupiga mwingi🤔mitano tena kwa mama akeeeeMtoa post una kitu cha msingi naomba asipuuzwe..
Ongezea na serikali ya UK lini ilitoa ndege kuipeleka LIVERPOOL,AU MANCHESTER UNITED,AU MAN CITY,AU CHELSEA,AU ARSENAL kwenda kwenye fainali yeyote?