MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Basi ata useme Yanga hoyeeeNo comment š¤
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ata useme Yanga hoyeeeNo comment š¤
Bibi umevurugwaa wee, sio buree khaaahKwani huo alioufata waziri wetu Algeria siyo mchezo?
Wewe haupo dunia hii, waziri wa michezo wa Uingereza alikwenda Qatar kushabikia na kujaribu kuueneza ushoga, wakakapiga pini, hawakumpiga picha official, waliompiga picha na kuzisambaza ni mashoga wenzake tu.
Tafadhali usimfananishe waziri wetu na like shoga la Kingereza
Kwahiyo Macron Rais wa France alivyoenda Qatar kuona fainal ya France vs Argentina nayo ulikuwa ni utoto?Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Katembee Uganda.Bibi umevurugwaa wee, sio buree khaaah
We unaongea nini wewe dogo, kweli yaani hizo club ulizozitaja unaweza kuzilinganisha na club za Bongo hata Al Ahly na bajeti yake kubwa haiingii hata robo kwenye hizo timuMtoa post una kitu cha msingi naomba asipuuzwe..
Ongezea na serikali ya UK lini ilitoa ndege kuipeleka LIVERPOOL,AU MANCHESTER UNITED,AU MAN CITY,AU CHELSEA,AU ARSENAL kwenda kwenye fainali yeyote?
Kwa hiyo unataka kulinganisha kombe la dunia na huu ujinga!!Kwahiyo Macron Rais wa France alivyoenda Qatar kuona fainal ya France vs Argentina nayo ulikuwa ni utoto?
Kwani wachezaji wa National team wanaocheza kwenye timu zao za Taifa na kisha kucheza WC wanatoka hewani ?Kwa hiyo unataka kulinganisha kombe la dunia na huu ujinga!!
Inavyoonekana hapa nachangia hoja na kitoto cha 2010Kwa hiyo unataka kulinganisha kombe la dunia na huu ujinga!!
Kwa akili yako Kuna mahali nimeandika yanga na man u zinafana a?Image iliyobebwa na city ni sawa na Yanga, una ubongo kweli we jamaa??
Timu za England zimechukua UEFA mara ngapi, UEROPA mara ngapi, ubingwa wa dunia mara ngapi??
Haya hizo timu za bongo zimefanya nini kimataifa??
Unafananisha yanga na man u????
Miafrika sie ni wapumbaf kabisa. Jamaa hakukosea kusema kuwa waafrica wapo m.kunduni mwa duniaImenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Vilabu ni biashara binafsi tofautisha na timu ya taifa huyu waziri anatafuta umaarufu tu kama angekuwa na nia njema angeanza kuhamasisha hizi timu ambazo hazina funbase kama geita gold etcKwani wachezaji wa National team wanaocheza kwenye timu zao za Taifa na kisha kucheza WC wanatoka hewani ?
Ndo nipo hapa Entebe, vipi nikuletee zawadi gan??Katembee Uganda.
Kwa hiyo mwaka 2010 ndo kombe la dunia lilikuwa sawa na club leagueInavyoonekana hapa nachangia hoja na kitoto cha 2010
Wananchi gani kaka timu ni ya yanga acha kutujumuisha.Timu ni ya wananchi, zinazotumika ni kodi za wananchi, kuna tatizo?
Ulipo zaliwa tu ulikua Yanga, baadae kwa kufanya matumizi mabaya ya akili ndiyo ukahamia huko kwingineWananchi gani kaka timu ni ya yanga acha kutujumuisha.
Hawana majukumu mazito na nchi bado masikinišTofauti ni kwamba bongo hawana majumu mazito
Hizo nafasi wanazopewa baadhi ya mawaziri ni kama zawadiImenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji na wasimamizi wa sera ndio Hawa!!!
Kwa mawazo kama haya nadhani alhaj mwinyi hakukosea kwamba Tanzania kwenye soka ni kichwa cha mwendawazimu waziri hawezi kuimarisha michezo kwa kuzurura na team kwa kisingizio kwamba anawaongezea hamasa waziri anatakiwa apambane kukarabati sera ili zilete tija. Sio kurukia rukia tu kwenye mafanikio ya watuKwani huo alioufata waziri wetu Algeria siyo mchezo?
Wewe haupo dunia hii, waziri wa michezo wa Uingereza alikwenda Qatar kushabikia na kujaribu kuueneza ushoga, wakampiga pini, hawakumpiga picha official, waliompiga picha na kuzisambaza ni mashoga wenzake tu.
Tafadhali usimfananishe waziri wetu na like shoga la Kingereza
Hakuna kitu kama hicho Kila mtu anazaliwa akiwa mwanamsimbazi ndo maana ukijichana ni pure red means ni Simba fan mnajizima data.Ulipo zaliwa tu ulikua Yanga, baadae kwa kufanya matumizi mabaya ya akili ndiyo ukahamia huko kwingine