Kuna kejeli hapo? Dini yako imeguswa?Huenda una hoja , je una uthibitisho kuhusu hili au ni muendelezo wa porojo na kejeli zako?
Sasa kwa nini vipo kwenye biblia ikiwa vilikuja baada ya yesu na je hayo ni maneno ya mungu au ya wanadamuMatendo ya mitume ni kitabu cha matendo ya mitume baada ya Yesu, na hao mitume wamemuelezea Yesu ,na wameishi nae.
Unaulizaje maswali ya kijinga hivi
Ukristo ni zao la Uyahudi ndio,Kwa hiyo wewe unakiri kuwa ukristo ulibuniwa kutoka dini ya uyahudi?
Unauliza maswali ya kijinga ,kwahiyo baada ya Yesu hakukuwa na mitume na manabii waliovuviwa ?Sasa kwa nini vipo kwenye biblia ikiwa vilikuja baada ya yesu na je hayo ni maneno ya mungu au ya wanadamu
Hiyo kumuita Muhammad mudi siyo kejeliKuna kejeli hapo? Dini yako imeguswa?
Weka udini pembeni utajua ukweli
Kasome historia ,kachunguze hiyo dini yako ,kwanini inajinasibisha na Uyahudi ,
Kaangalie jinsi mudi alivyopata utume ,
N.k
Katika kuleta hiyo mada ulitoa ushahidi wowote wa maandiko au ndo zilikuwa porojo tuUkristo ni zao la Uyahudi ndio,
Wokovu unatoka kwa WAYAHUDI
Maneno ya Yesu hayo
Mungu aliwapa mausia na maamrisho yake wayahudi
Sasa Uislamu ni zao la Roman Catholic,hili lipo wazi, ni mada ndefu sana
Itafute nilishawahi kuileta
Mudi ni KIFUPI cha MuhammadHiyo kumuita Muhammad mudi siyo kejeli
Sawa,je hayo ni maneno ya mungu au ni ya mwanadamuUnauliza maswali ya kijinga ,kwahiyo baada ya Yesu hakukuwa na mitume na manabii waliovuviwa ?
Hebu acha maswali ya kijinga basi
Hujaona nilivyokujibu siaminiKwahiyo swali la Zaburi umelikimbia 😂😂
Waislamu ndio maana mnadanganywa,sababu hamsomi historiaKatika kuleta hiyo mada ulitoa ushahidi wowote wa maandiko au ndo zilikuwa porojo tu
Unaweza kumuita kiongozi wa watu fulani kwa kukatishia jina lake?Mudi ni KIFUPI cha Muhammad
Mo ,Mudi ,hizo ni kifupisho
Kejeli kwako labda
Mungu akiwavuvia wanadamuSawa,je hayo ni maneno ya mungu au ni ya mwanadamu
Hakuna sehemu niliyosema , mimi ni upande fulani , niko hapa kujifunza kutoka kwenye pande zote mbili. Unakuwa na hoja lakini ukiambiwa ulete uthibitisho unakimbilia kujilinda na kukujeli.Kejeli ipi hapo,au dini yako ishaguswa basi unasema ni kejeli
Hamtaki ukweli ,mnataka propaganda
Kuna shida gani kwani ?Unaweza kumuita kiongozi wa watu fulani kwa kukatishia jina lake?
Una uthibitisho kuhusu hili??Na ukichimba zaidi , Uislamu ni zao la Roman Catholic
Catholic sio kanisa tu ni state ,au mabaki ya Roman empire, hivo wao hawategemei muongozo wa maandiko tu
Acha ujanjaujanja,ulileta kile kitabu chako cha muislamu aliyedanganya na kuweka propaganda za kitotoHakuna sehemu niliyosema , mimi ni upande fulani , niko hapa kujifunza kutoka kwenye pande zote mbili. Unakuwa na hoja lakini ukiambiwa ulete uthibitisho unakimbilia kujilinda na kukujeli.
Sisi wengine tuko hapa kujifunza kutoka pande zote mbili , kwa mantiki hiyo unatakiwa uwe mfano sasa wa mtu kujifunza zaidi, na kuelewa.
Ndio na uthibitisho wa historia ya kutoshaUna uthibitisho kuhusu hili??
Sasa mbona ukristo ni wa juzi kama ulivyokiri wewe kuwa ulitokana na dini ya kiyahudiWaislamu ndio maana mnadanganywa,sababu hamsomi historia
Hizi dini zinaendana na historia
Ndio maana Leo kupitia unabii wa Daniel ,tunaweza kutumia historia inakuletea had mwaka Yesu anaozaliwa, anaanza kazi, anaokufa na kufufuka
Bila historia mnadanganywa Ibrahimu alikuwa anaabudu jiwe jeusi
Kasome historia, uislamu wa juzi tu hapa ,umeanzishwa na Wakatoliki wakimtumia Padre Waraq na bi Khadija
Kama ni msomaji sitegemei kuuliza hilo swaliUna uthibitisho kuhusu hili??