Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

Huenda una hoja , je una uthibitisho kuhusu hili au ni muendelezo wa porojo na kejeli zako?
Kuna kejeli hapo? Dini yako imeguswa?

Weka udini pembeni utajua ukweli

Kasome historia ,kachunguze hiyo dini yako ,kwanini inajinasibisha na Uyahudi ,

Kaangalie jinsi mudi alivyopata utume ,

N.k
 
Matendo ya mitume ni kitabu cha matendo ya mitume baada ya Yesu, na hao mitume wamemuelezea Yesu ,na wameishi nae.

Unaulizaje maswali ya kijinga hivi
Sasa kwa nini vipo kwenye biblia ikiwa vilikuja baada ya yesu na je hayo ni maneno ya mungu au ya wanadamu
 
Kwa hiyo wewe unakiri kuwa ukristo ulibuniwa kutoka dini ya uyahudi?
Ukristo ni zao la Uyahudi ndio,

Wokovu unatoka kwa WAYAHUDI

Maneno ya Yesu hayo

Mungu aliwapa mausia na maamrisho yake wayahudi

Sasa Uislamu ni zao la Roman Catholic,hili lipo wazi, ni mada ndefu sana

Itafute nilishawahi kuileta
 
Sasa kwa nini vipo kwenye biblia ikiwa vilikuja baada ya yesu na je hayo ni maneno ya mungu au ya wanadamu
Unauliza maswali ya kijinga ,kwahiyo baada ya Yesu hakukuwa na mitume na manabii waliovuviwa ?

Hebu acha maswali ya kijinga basi
 
Kuna kejeli hapo? Dini yako imeguswa?

Weka udini pembeni utajua ukweli

Kasome historia ,kachunguze hiyo dini yako ,kwanini inajinasibisha na Uyahudi ,

Kaangalie jinsi mudi alivyopata utume ,

N.k
Hiyo kumuita Muhammad mudi siyo kejeli
 
Ukristo ni zao la Uyahudi ndio,

Wokovu unatoka kwa WAYAHUDI

Maneno ya Yesu hayo

Mungu aliwapa mausia na maamrisho yake wayahudi

Sasa Uislamu ni zao la Roman Catholic,hili lipo wazi, ni mada ndefu sana

Itafute nilishawahi kuileta
Katika kuleta hiyo mada ulitoa ushahidi wowote wa maandiko au ndo zilikuwa porojo tu
 
Katika kuleta hiyo mada ulitoa ushahidi wowote wa maandiko au ndo zilikuwa porojo tu
Waislamu ndio maana mnadanganywa,sababu hamsomi historia

Hizi dini zinaendana na historia

Ndio maana Leo kupitia unabii wa Daniel ,tunaweza kutumia historia inakuletea had mwaka Yesu anaozaliwa, anaanza kazi, anaokufa na kufufuka

Bila historia mnadanganywa Ibrahimu alikuwa anaabudu jiwe jeusi

Kasome historia, uislamu wa juzi tu hapa ,umeanzishwa na Wakatoliki wakimtumia Padre Waraq na bi Khadija
 
Kejeli ipi hapo,au dini yako ishaguswa basi unasema ni kejeli

Hamtaki ukweli ,mnataka propaganda
Hakuna sehemu niliyosema , mimi ni upande fulani , niko hapa kujifunza kutoka kwenye pande zote mbili. Unakuwa na hoja lakini ukiambiwa ulete uthibitisho unakimbilia kujilinda na kukujeli.

Sisi wengine tuko hapa kujifunza kutoka pande zote mbili , kwa mantiki hiyo unatakiwa uwe mfano sasa wa mtu kujifunza zaidi, na kuelewa.
 
Acha ujanjaujanja,ulileta kile kitabu chako cha muislamu aliyedanganya na kuweka propaganda za kitoto

Sasa hivi unasema huna upande

Unataka maandiko ,sio kila kitu kina maandiko ,

Vingine ni historia ,vingine vinatokea sasa ,utataka navyo maandiko
 
Waislamu ndio maana mnadanganywa,sababu hamsomi historia

Hizi dini zinaendana na historia

Ndio maana Leo kupitia unabii wa Daniel ,tunaweza kutumia historia inakuletea had mwaka Yesu anaozaliwa, anaanza kazi, anaokufa na kufufuka

Bila historia mnadanganywa Ibrahimu alikuwa anaabudu jiwe jeusi

Kasome historia, uislamu wa juzi tu hapa ,umeanzishwa na Wakatoliki wakimtumia Padre Waraq na bi Khadija
Sasa mbona ukristo ni wa juzi kama ulivyokiri wewe kuwa ulitokana na dini ya kiyahudi

Naona hiyo mada yako uliileta kwa kutumia porojo tu!
 
Una uthibitisho kuhusu hili??
Kama ni msomaji sitegemei kuuliza hilo swali

Kasome historia ya Roman empire Hadi inaanguka mwaka 476AD , na inaibuka Roma ya kidini, hapo hakuna hata dini au chembe ya Uislamu au MSIKITI duniani
 
Back
Top Bottom