hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
Kuna kejeli hapo? Dini yako imeguswa?Huenda una hoja , je una uthibitisho kuhusu hili au ni muendelezo wa porojo na kejeli zako?
Weka udini pembeni utajua ukweli
Kasome historia ,kachunguze hiyo dini yako ,kwanini inajinasibisha na Uyahudi ,
Kaangalie jinsi mudi alivyopata utume ,
N.k