Shambulio lilikua dhaifu halikufikia lengo.Israel Used 'Rampage' Missile To Target Iran
Precision and power: Israel used 'Rampage' missile to target Iran - Times of India
Middle East News: Israel allegedly employed the potent long-range, supersonic 'Rampage' missile in a recent attack on a military facility close to Isfahan, Iran. The miwww.google.com
Umejibu mawazo yakoKupima uwezo wa nchi katika medali za kivita ni ngumu kiasi kwasababu Israel anawashirika na Iran anawashirika. Ubora wa hao washirika unanafisi kubwa katika kuamua matokeo chanya. Israel huenda hamuogopi Iran ila anawaogopa washirika wa Iran.
Katika medani za kivita Irani na washirika wake wanaweza Kuwa bora dhidi ya Israel na Washirika wake.
Sasa muiran si anacheka tu wakati kashaweka takriban pin point accuracy makombora zaidi ya 150,000 ndani ya Lebanon yanaitizama israel one call yanavurumishwa watu wanaoption zao ila ni turufu hazitumiwi kijinga jinga tu.iran kapigwa juzi na kombora la rampage kutokea hapo hapo nchini kwake umesikia ameongea tena?
Wangepiga mahala popote Iran ambapo kuna damage ya hilo missiles.iran kapigwa juzi na kombora la rampage kutokea hapo hapo nchini kwake umesikia ameongea tena?
nimekupa mfano kwamba huwezi kutumia historia ya nyuma kwa nyakati za sasa hivi mambo yanabadilika sana.Kwa akili zako unaamini Israel ikikutana na Germany sasa hivi Israel anampiga Germany!?
Jidanganye,Germany akiamua kuitandika Israel sasa hivi anaitandika Israel inafutika inasambaratika.
Germany is still Germany kijana.
China ni taifa lilikopiga hatua katika kila nyanja huwezi liweka sawa na Israel ni matusi,China ni mshindani wa USA katika nyanja zote huwezi muweka sahani moja na Israel.
mtambo wa iran wa makombora uliharibiwa woteShambulio lilikua dhaifu halikufikia lengo.
makombora aliyoyafyatua juzi nusu yake yote yalianguka yenyewe kwa kukosa nguvuSasa muiran si anacheka tu wakati kashaweka takriban pin point accuracy makombora zaidi ya 150,000 ndani ya Lebanon yanaitizama israel one call yanavurumishwa watu wanaoption zao ila ni turufu hazitumiwi kijinga jinga tu.
mtambo wa makombora wa iran uliharibiwa, tafuta picha utaziona mtandaoniWangepiga mahala popote Iran ambapo kuna damage ya hilo missiles.
Israel tunavyoifahamu kwa sifa lazima picha zingeenea.
Putin mwenyewe katepeta kwa wamagharibi. Kasababisha warusi wengi kufa uko Ukraine 🇺🇦Israel kama israel hana uwezo wa kupigana na iran ila uhalisia ni kwamba atayekuja kupigana vita ya israel ni marekani na washirika wake
Vita ni hela kupigana na marekani na washirika wake ni ngumu, putin na nchi kama china ndio zina msuli huo wengine wote bado sana , utafilisika
Umeandika kwa kufata kilichopo au umejitungia kutoka kichwani kwakoVita ya Iraq-Iran ilikuwa hivi na pande kinzani.
Israel alimsaidia Iran
During the conflict, Iraq received an abundance of financial, political, and logistical aid from the United States, the United Kingdom, the Soviet Union, France, Italy, Yugoslavia, and the overwhelming majority of Arab countries.
While Iran was comparatively isolated to a large degree, it received a significant amount of aid from Syria, Libya, China, North Korea, Israel, Pakistan, and South Yemen.
Jidanganye.mtambo wa iran wa makombora uliharibiwa wote
Ukraine na NATO vita imewashinda.Putin mwenyewe katepeta kwa wamagharibi. Kasababisha warusi wengi kufa uko Ukraine 🇺🇦
Kuna historia za nyuma unaweza kuzitumia sasa,inategemea unalinganisha nini na dhidi ya nani.nimekupa mfano kwamba huwezi kutumia historia ya nyuma kwa nyakati za sasa hivi mambo yanabadilika sana.
Na ninyi mnakaa na kuamini eti yalifeli.makombora aliyoyafyatua juzi nusu yake yote yalianguka yenyewe kwa kukosa nguvu
Hawa ndio wale wale wa taarifa za kuokoteza.Wangepiga mahala popote Iran ambapo kuna damage ya hilo missiles.
Israel tunavyoifahamu kwa sifa lazima picha zingeenea.
Kuna historia za nyuma unaweza kuzitumia sasa,inategemea unalinganisha nini na dhidi ya nani.
Kama mfano wa Israel na Germany.
Germany still mbabe wa Israel.
ripoti zipi mzee unataka na hizo ripoti unataka upewe na nani?Na ninyi mnakaa na kuamini eti yalifeli.
Makombora yalirushwa 120 na 110+ yalidunguliwa,kama yalifeli kwanini yalifikia idadi kamili ya 120?
Kwanini hawakutoa ripoti kuwa 60 yamefeli na 60 ndio yameruka!?
Aisee za kuambiwa changanya na zako.
Huwenda hujaelewa nacholenga.german na israel mzee kwa sasa ni maafiki, so unaongea vitu ambavo haviwezekani