Rwanda hii tokea 1994 mpaka sasa ni miaka 30.mzee rwanda juzi hapa tu ilikua inapigana uchumi waliutengeneza sa ngapi?
Tunaomba ukubwa wa GDP kati ya nchi hizo ili tuone ni nchi gani yenye uchumi mkubwa.israel haikuwepo kama nchi lakini wayahudi ambao ndo waliunda israel walikupewo, na wao pia wanahistoria ya kuanzia zaman tu.. so wote ni wakongwe.. iran anataman sana kuishambulia israel lakini hawezi. angekua na uwezo huo angeshafanya kitambo sana.
sasa nchi ina miaka 2500 imepitwa kiuchumi na nigeria ambayo haina hata miaka 100?
hiyo miaka yote 2500 walikua wanacheza bao nini?
tofauti ya rwanda na iran kivita ni kwamba rwanda wanapigana civil war sasa atakayejenga nchi ni nani na nani atakayezalisha? wakati wanapigana wao kwa wao? pia rwanda hadi sasa hakujakaa sawa. iran anapigana na maadui wa nje kwa hiyo wa kufanya uzalisahaji ndani ya nchi wapoRwanda hii tokea 1994 mpaka sasa ni miaka 30.
Kwa nchi inayojielewa ilikua ishapiga hatua,Rwanda na Iran wana tofauti gani?
Iran imekua ikipigana mapigano ya hapa na pale huku ikiingia katika vita baridi na westerners mpaka sasa.
Ila Iran wanaunda magari,wanatengeneza silaha,wanaunda reli,wanaunda treni,wanaunda mabasi na wameendelea katika sekta zingine za viwanda.
Rwanda imefanya kipi katika hivyo hata kimoja??
Turudi kwa Nigeria,Nigeria anaunda nini au sekta gani ya kiwanda ameikuza?
israel GDP 525 bilion usdTunaomba ukubwa wa GDP kati ya nchi hizo ili tuone ni nchi gani yenye uchumi mkubwa.
Sasa mkuu unatuwekea data za mwaka 2022 hali ya kuwa tuko 2024?nigeria gdp ni usd 472bilion mwaka 2022
iran gdp ni usd 413.5bilion mwaka 2022
Nimekuuliza GDP kati ya Nigeria na Iran.israel GDP 525 bilion usd
iran GDP 413.5 bilion usd
unachotaka kusema wewe ni kwamba ili uwe na uchumi mkubwa ni lazima uwe na viwanda si ndio? hiyo sio kweli, saudia ana uchumi karibu mara tatu ya iran lakini hana viwandaRwanda hii tokea 1994 mpaka sasa ni miaka 30.
Kwa nchi inayojielewa ilikua ishapiga hatua,Rwanda na Iran wana tofauti gani?
Iran imekua ikipigana mapigano ya hapa na pale huku ikiingia katika vita baridi na westerners mpaka sasa.
Ila Iran wanaunda magari,wanatengeneza silaha,wanaunda reli,wanaunda treni,wanaunda mabasi na wameendelea katika sekta zingine za viwanda.
Rwanda imefanya kipi katika hivyo hata kimoja??
Turudi kwa Nigeria,Nigeria anaunda nini au sekta gani ya kiwanda ameikuza?
angalia post za nyuma utaonaNimekuuliza GDP kati ya Nigeria na Iran
Mkuu post za nyuma umetuwekea data za mwaka 2022 hali ya kuwa tuko mwaka 2024.angalia post za nyuma utaona
Hujui lolote kuhusu uchumi huko tusiende.israel haikuwepo kama nchi lakini wayahudi ambao ndo waliunda israel walikupewo, na wao pia wanahistoria ya kuanzia zaman tu.. so wote ni wakongwe.. iran anataman sana kuishambulia israel lakini hawezi. angekua na uwezo huo angeshafanya kitambo sana.
sasa nchi ina miaka 2500 imepitwa kiuchumi na nigeria ambayo haina hata miaka 100?
hiyo miaka yote 2500 walikua wanacheza bao nini?
Sijaona utofauti kwa sababu.tofauti ya rwanda na iran kivita ni kwamba rwanda wanapigana civil war sasa atakayejenga nchi ni nani na nani atakayezalisha? wakati wanapigana wao kwa wao? pia rwanda hadi sasa hakujakaa sawa. iran anapigana na maadui wa nje kwa hiyo wa kufanya uzalisahaji ndani ya nchi wapo
Ndio maana nikamwambia afananishr GROSS NATIONAL INCOME ya Iran na Nigeria.Mkuu post za nyuma umetuwekea data za mwaka 2022 hali ya kuwa tuko mwaka 2024.
Kwa mujibu wa data za benk ya dunia mwaka 2024 GDP ya Nigeria ni 252$ bilion inazidiwa mpaka na Algeria, ndani ya miaka 2 tu imeoteza karibu nusu ya GDP yake ,hapo ndo utakapo ona utofauti wa uchumi wa Nigeria na Iran.
Ukuaji wa GDP ya Nigeria kwa kiasi kikubwa unategea sana na huimara wa soko la hisa hasa kwenye makampuni ya mafuta ya Ulaya, yaani kiufupi Nigeria ina uchumi wa makaratasi kuliko uchumi wenye uhalisia.
Tofauti na Iran ambayo ukuaji wake wa GDP yake unategemea sana uzalishaji wa ndani na bidhaa zake inazo tengeneza yenyewe.
Pia uimara wa uchumi wa nchi fulani huwa una pimwa na mapato yanayo kusanywa na nchi husika kila mwaka,huduma za kijamii,miundo mbinu na sio GDP.
Na ndio maana India ina uchumi mkubwa zaidi ya mara 2 ya Ufaransa lakini ni kati ya nchi ambayo raia wake wanaishi maisha ya kiwango cha chini hapa duniani ,hali ya kuwa Ufaransa ni moja nchi ambao raia wake wanaishi maisha ya kiwango cha juu.
Pia kinacho sababisha GDP ya Iran ionekane ni ndogo ni kwa sababu ya nchi za Magharibi kushusha thamani ya sarafu yake kwa makusudi ili iwe shida kuafanya biashara kimataifa, lakini kilicho isaidia ni kujitegemea kwa kiasi kikubwa katika uzalishaji wa ndani, tofauti na hapo raia wa Iran wangeishi maisha magumu sana.
Usipimie uchumi hivyo mzee.tofauti ya rwanda na iran kivita ni kwamba rwanda wanapigana civil war sasa atakayejenga nchi ni nani na nani atakayezalisha? wakati wanapigana wao kwa wao? pia rwanda hadi sasa hakujakaa sawa. iran anapigana na maadui wa nje kwa hiyo wa kufanya uzalisahaji ndani ya nchi wapo
Roman nguvu alizobakiza ni kuhalalisha mapenzi ya jinsia moja na kuokoteza sadaka.we kweli kichwa maji unatumia akili za kibakuli unasema otoman imepotea wakati uturuki ya sasa ina uchumi imara kuliko nchi zote hapo middle east? hiyo iran ambayo unasema ipo hadi sasa imeachwa mbali kabisa na uturuki haiwezi hata kuisogelea.
Eti unasema roman empire imepotea are you serious? unaijua roman catholic na nguvu aliyonayo papa duniani?
Iran rank yake kwa PPP ni ya 19 na Nigeria ni ya 27 duniani.Usipimie
Usipimie uchumi hivyo mzee.
Saudi Arabia haitegemei nishati peke yake na rasilimali.
Saudi arabia ina viwanda kama unataka sema nikuletee.
Saudi arabia ina viwanda vya uzalishaji ili kupunguza rate of importation.
Maana kuna athari kiuchumi uki import sana kuliko ku export.
Dunia ya sasa hivi kama hujaendelea katika sekta ya viwanda basi upo nyuma.
USA,CHINA,GERMANY,JAPAN hao wote ni great economies kwasababu wameendelea kiviwanda.
Viwanda vinalinda soko la ndani na vinaongeza pato kwa ku export bidhaa nje.
Unategemea rasilimali peke yake aisee ndugu utabaki nyuma ilhali wenzako wanaendelea kibiashara.
Mapato ya serikali yanatakiwa yawe yanatokana na vyanzo tofauti tofauti.
Hakuna great economy ambayo imekua great economy kwa kutegemea rasilimali pekeyake tu.
Industrialization ni kitu muhimu katika ukuaji wa kiuchumi.
Na mbaya zaidi industrialization inaenda sambamba na science and technology.
Vipi Putin nae kashindwa maana miaka inayeyuka sasa au mnasemaje watumwa?View attachment 2969643
Katika nchi zenye uwezo kijeshi Israeli mtoe, ule uongo mliokua mkidanganya marahii umefika mwisho. Hana uwezo hata wa kupigana na wanamgambo, mwezi wa sita huu anahangaika na Hamas. Kuporomosha majumba na kuuwa wanawake na watoto huo ni wendawazimu sio vita.
Kule kibra ndio kwa mungu allah?Zile mbwembwe za kusema lile taifa la Mungu sijui ujinga gani naona umefikia mwisho tuangalie mengine
Kwani nyie mashoga mnaonaje?Vipi Putin nae kashindwa maana miaka inayeyuka sasa au mnasemaje watumwa?
Israel is ahead of Iran kwenye izo anga. Juzi amezuiwa tu na Marekani kwasababu marekani aliogopa iran itafunga mlango wake wa bahari na uchumi ungeenda kuwa shida. walichofanya ni kupiga rada za kinu chao cha Nukes pekee ili asiweze kabisa kuwarushia makombora ya nuclear. Ndege zilizoenda kupiga huko unaambiwa hazikuonekana hata iran ilikiri kwamba hawajajua ni nani kapiga hadi sasaivi, manake radar za iran hazikuiona. kama ukiwa na uwezo huo manake unaweza kuamua kupiga mtu bila yeye kukujua.Naomba ukweli tu ndio usemwe nani mwenye uwezo wa kimedani Kati ya mahasimu hawa wawili kati ya muyahudi na waajemi. Kuna watu wanapenda mambo ya medani japo vita ni kuzimu(hell) ila ni hulka ya binadamu kujipa uhalali kiuwezo na kiplopaganda. Israel alianza kutoa mapigo kisha akajibiwa je, nani mwenye military edge kumuwin mwenzake? Religion sympathy sio mahala pake hapa I want only facts to spoken.
Na hata Nigeria yenyewe PPP yao ya mchongo.Iran rank yake kwa PPP ni ya 19 na Nigeria ni ya 27 duniani.
Hivyo ukiwa Iran utaishi vyema zaidi kwa pesa ile ile ambayo ungekuwa nayo Nigeria.
Iran ina viwanda vya kutosha na inazalisha bidhaa nyingi sana.
Huyo kwenye masuala ya uchumi ni mweupe.
Ye amekomalia ma GDP, stocks hizo sekunde moja tu inashuka.
Utajiri wa stocks.
Iran isichukuliwe poa, na sanctions zote bado imo, lakini nchi kama Nigeria ikipigwa sanctions kesho baada ya mwezi inalingana GDP na Tanzania.