Je, Israel ana combat superiority dhidi ya Iran?

mzee rwanda juzi hapa tu ilikua inapigana uchumi waliutengeneza sa ngapi?
Rwanda hii tokea 1994 mpaka sasa ni miaka 30.
Kwa nchi inayojielewa ilikua ishapiga hatua,Rwanda na Iran wana tofauti gani?
Iran imekua ikipigana mapigano ya hapa na pale huku ikiingia katika vita baridi na westerners mpaka sasa.
Ila Iran wanaunda magari,wanatengeneza silaha,wanaunda reli,wanaunda treni,wanaunda mabasi na wameendelea katika sekta zingine za viwanda.
Rwanda imefanya kipi katika hivyo hata kimoja??
Turudi kwa Nigeria,Nigeria anaunda nini au sekta gani ya kiwanda ameikuza?
 
israel haikuwepo kama nchi lakini wayahudi ambao ndo waliunda israel walikupewo, na wao pia wanahistoria ya kuanzia zaman tu.. so wote ni wakongwe.. iran anataman sana kuishambulia israel lakini hawezi. angekua na uwezo huo angeshafanya kitambo sana.

sasa nchi ina miaka 2500 imepitwa kiuchumi na nigeria ambayo haina hata miaka 100?
hiyo miaka yote 2500 walikua wanacheza bao nini?
Tunaomba ukubwa wa GDP kati ya nchi hizo ili tuone ni nchi gani yenye uchumi mkubwa.
 
Rwanda hii tokea 1994 mpaka sasa ni miaka 30.
Kwa nchi inayojielewa ilikua ishapiga hatua,Rwanda na Iran wana tofauti gani?
Iran imekua ikipigana mapigano ya hapa na pale huku ikiingia katika vita baridi na westerners mpaka sasa.
Ila Iran wanaunda magari,wanatengeneza silaha,wanaunda reli,wanaunda treni,wanaunda mabasi na wameendelea katika sekta zingine za viwanda.
Rwanda imefanya kipi katika hivyo hata kimoja??
Turudi kwa Nigeria,Nigeria anaunda nini au sekta gani ya kiwanda ameikuza?
tofauti ya rwanda na iran kivita ni kwamba rwanda wanapigana civil war sasa atakayejenga nchi ni nani na nani atakayezalisha? wakati wanapigana wao kwa wao? pia rwanda hadi sasa hakujakaa sawa. iran anapigana na maadui wa nje kwa hiyo wa kufanya uzalisahaji ndani ya nchi wapo
 
unachotaka kusema wewe ni kwamba ili uwe na uchumi mkubwa ni lazima uwe na viwanda si ndio? hiyo sio kweli, saudia ana uchumi karibu mara tatu ya iran lakini hana viwanda
kama nchi ina natural resouce za kutosha na ikazitumia vizuri kwa manufaa yake na wanachi wake inaweza kua utajiri na uchumi mzuri tuu..
mfano congo kama kusingekua na mabeberu wanaochuma malighafi za nchi hiyo ingekua na uchumi mzuri kuliko iran na japokua haina viwanda.
 
angalia post za nyuma utaona
Mkuu post za nyuma umetuwekea data za mwaka 2022 hali ya kuwa tuko mwaka 2024.
Kwa mujibu wa data za benk ya dunia mwaka 2024 GDP ya Nigeria ni 252$ bilion inazidiwa mpaka na Algeria, ndani ya miaka 2 tu imeoteza karibu nusu ya GDP yake ,hapo ndo utakapo ona utofauti wa uchumi wa Nigeria na Iran.
Ukuaji wa GDP ya Nigeria kwa kiasi kikubwa unategea sana na huimara wa soko la hisa hasa kwenye makampuni ya mafuta ya Ulaya, yaani kiufupi Nigeria ina uchumi wa makaratasi kuliko uchumi wenye uhalisia.
Tofauti na Iran ambayo ukuaji wake wa GDP yake unategemea sana uzalishaji wa ndani na bidhaa zake inazo tengeneza yenyewe.

Pia uimara wa uchumi wa nchi fulani huwa una pimwa na mapato yanayo kusanywa na nchi husika kila mwaka,huduma za kijamii,miundo mbinu na sio GDP.
Na ndio maana India ina uchumi mkubwa zaidi ya mara 2 ya Ufaransa lakini ni kati ya nchi ambayo raia wake wanaishi maisha ya kiwango cha chini hapa duniani ,hali ya kuwa Ufaransa ni moja nchi ambao raia wake wanaishi maisha ya kiwango cha juu.

Pia kinacho sababisha GDP ya Iran ionekane ni ndogo ni kwa sababu ya nchi za Magharibi kushusha thamani ya sarafu yake kwa makusudi ili iwe shida kuafanya biashara kimataifa, lakini kilicho isaidia ni kujitegemea kwa kiasi kikubwa katika uzalishaji wa ndani, tofauti na hapo raia wa Iran wangeishi maisha magumu sana.
 
israel haikuwepo kama nchi lakini wayahudi ambao ndo waliunda israel walikupewo, na wao pia wanahistoria ya kuanzia zaman tu.. so wote ni wakongwe.. iran anataman sana kuishambulia israel lakini hawezi. angekua na uwezo huo angeshafanya kitambo sana.

sasa nchi ina miaka 2500 imepitwa kiuchumi na nigeria ambayo haina hata miaka 100?
hiyo miaka yote 2500 walikua wanacheza bao nini?
Hujui lolote kuhusu uchumi huko tusiende.
Wana vikwazo zaidi ya miaka 40 lakini wamekomaa na wapo mbali, sasa huyo Israel mtembeza bakuli, kupambana tu na Hamas ameomba pesa asaidiwe hadi bunge la US likakaa juzi hapa kupiga kura.
 
tofauti ya rwanda na iran kivita ni kwamba rwanda wanapigana civil war sasa atakayejenga nchi ni nani na nani atakayezalisha? wakati wanapigana wao kwa wao? pia rwanda hadi sasa hakujakaa sawa. iran anapigana na maadui wa nje kwa hiyo wa kufanya uzalisahaji ndani ya nchi wapo
Sijaona utofauti kwa sababu.
Kama Rwanda ilikua na civil war Iran ilipigana miaka nane tena ikiwa imevamiwa uzalishaji ulisimama.
Ukiachana na hilo Iran imefungwa mikono ya vikwazo vya kibiashara.
Rwanda kama haiko sawa basi ni upumbavu wa serikali yake yenyewe kuendekeza ukabila wa uhutu na ututsi.
Ila toka 1994 mauaji ya kikabila yalikwishaisha.
Rwanda haina vikwazo,inaruhusiwa kukopa na ina ushirika na mataifa ya Ulaya.
Kipi kimeinyima isipige hatua hata upunje!?
 
Mkuu post za nyuma umetuwekea data za mwaka 2022 hali ya kuwa tuko mwaka 2024.
Kwa mujibu wa data za benk ya dunia mwaka 2024 GDP ya Nigeria ni 252$ bilion inazidiwa mpaka na Algeria, ndani ya miaka 2 tu imeoteza karibu nusu ya GDP yake ,hapo ndo utakapo ona utofauti wa uchumi wa Nigeria na Iran.
Ukuaji wa GDP ya Nigeria kwa kiasi kikubwa unategea sana na huimara wa soko la hisa hasa kwenye makampuni ya mafuta ya Ulaya, yaani kiufupi Nigeria ina uchumi wa makaratasi kuliko uchumi wenye uhalisia.
Tofauti na Iran ambayo ukuaji wake wa GDP yake unategemea sana uzalishaji wa ndani na bidhaa zake inazo tengeneza yenyewe.

Pia uimara wa uchumi wa nchi fulani huwa una pimwa na mapato yanayo kusanywa na nchi husika kila mwaka,huduma za kijamii,miundo mbinu na sio GDP.
Na ndio maana India ina uchumi mkubwa zaidi ya mara 2 ya Ufaransa lakini ni kati ya nchi ambayo raia wake wanaishi maisha ya kiwango cha chini hapa duniani ,hali ya kuwa Ufaransa ni moja nchi ambao raia wake wanaishi maisha ya kiwango cha juu.

Pia kinacho sababisha GDP ya Iran ionekane ni ndogo ni kwa sababu ya nchi za Magharibi kushusha thamani ya sarafu yake kwa makusudi ili iwe shida kuafanya biashara kimataifa, lakini kilicho isaidia ni kujitegemea kwa kiasi kikubwa katika uzalishaji wa ndani, tofauti na hapo raia wa Iran wangeishi maisha magumu sana.
Ndio maana nikamwambia afananishr GROSS NATIONAL INCOME ya Iran na Nigeria.
Pia atizame sehemu zingine za uzalishaji kama sekta ya teknolojia na viwanda kati ya Iran na Nigeria nani amepiga hatua.
 
Usipimie
tofauti ya rwanda na iran kivita ni kwamba rwanda wanapigana civil war sasa atakayejenga nchi ni nani na nani atakayezalisha? wakati wanapigana wao kwa wao? pia rwanda hadi sasa hakujakaa sawa. iran anapigana na maadui wa nje kwa hiyo wa kufanya uzalisahaji ndani ya nchi wapo
Usipimie uchumi hivyo mzee.
Saudi Arabia haitegemei nishati peke yake na rasilimali.
Saudi arabia ina viwanda kama unataka sema nikuletee.
Saudi arabia ina viwanda vya uzalishaji ili kupunguza rate of importation.
Maana kuna athari kiuchumi uki import sana kuliko ku export.
Dunia ya sasa hivi kama hujaendelea katika sekta ya viwanda basi upo nyuma.
USA,CHINA,GERMANY,JAPAN hao wote ni great economies kwasababu wameendelea kiviwanda.
Viwanda vinalinda soko la ndani na vinaongeza pato kwa ku export bidhaa nje.
Unategemea rasilimali peke yake aisee ndugu utabaki nyuma ilhali wenzako wanaendelea kibiashara.
Mapato ya serikali yanatakiwa yawe yanatokana na vyanzo tofauti tofauti.
Hakuna great economy ambayo imekua great economy kwa kutegemea rasilimali pekeyake tu.
Industrialization ni kitu muhimu katika ukuaji wa kiuchumi.
Na mbaya zaidi industrialization inaenda sambamba na science and technology.
 
we kweli kichwa maji unatumia akili za kibakuli unasema otoman imepotea wakati uturuki ya sasa ina uchumi imara kuliko nchi zote hapo middle east? hiyo iran ambayo unasema ipo hadi sasa imeachwa mbali kabisa na uturuki haiwezi hata kuisogelea.

Eti unasema roman empire imepotea are you serious? unaijua roman catholic na nguvu aliyonayo papa duniani?
Roman nguvu alizobakiza ni kuhalalisha mapenzi ya jinsia moja na kuokoteza sadaka.

Kwenye empire iliyokuwa na nguvu ottoman haikufika kwa persian.

Iran imepigana vita na Iraq ikipewa backup na nchi karibu zote middle east zenye utajiri wa mafuta, NATO na USSR.
Hapo ipo chini ya vikwazo vikali, huwezi fananisha na Turkey.
 
Usipimie
Usipimie uchumi hivyo mzee.
Saudi Arabia haitegemei nishati peke yake na rasilimali.
Saudi arabia ina viwanda kama unataka sema nikuletee.
Saudi arabia ina viwanda vya uzalishaji ili kupunguza rate of importation.
Maana kuna athari kiuchumi uki import sana kuliko ku export.
Dunia ya sasa hivi kama hujaendelea katika sekta ya viwanda basi upo nyuma.
USA,CHINA,GERMANY,JAPAN hao wote ni great economies kwasababu wameendelea kiviwanda.
Viwanda vinalinda soko la ndani na vinaongeza pato kwa ku export bidhaa nje.
Unategemea rasilimali peke yake aisee ndugu utabaki nyuma ilhali wenzako wanaendelea kibiashara.
Mapato ya serikali yanatakiwa yawe yanatokana na vyanzo tofauti tofauti.
Hakuna great economy ambayo imekua great economy kwa kutegemea rasilimali pekeyake tu.
Industrialization ni kitu muhimu katika ukuaji wa kiuchumi.
Na mbaya zaidi industrialization inaenda sambamba na science and technology.
Iran rank yake kwa PPP ni ya 19 na Nigeria ni ya 27 duniani.

Hivyo ukiwa Iran utaishi vyema zaidi kwa pesa ile ile ambayo ungekuwa nayo Nigeria.

Iran ina viwanda vya kutosha na inazalisha bidhaa nyingi sana.

Huyo kwenye masuala ya uchumi ni mweupe.
Ye amekomalia ma GDP, stocks hizo sekunde moja tu inashuka.
Utajiri wa stocks.
Iran isichukuliwe poa, na sanctions zote bado imo, lakini nchi kama Nigeria ikipigwa sanctions kesho baada ya mwezi inalingana GDP na Tanzania.
 
View attachment 2969643
Katika nchi zenye uwezo kijeshi Israeli mtoe, ule uongo mliokua mkidanganya marahii umefika mwisho. Hana uwezo hata wa kupigana na wanamgambo, mwezi wa sita huu anahangaika na Hamas. Kuporomosha majumba na kuuwa wanawake na watoto huo ni wendawazimu sio vita.
Vipi Putin nae kashindwa maana miaka inayeyuka sasa au mnasemaje watumwa?
 
Naomba ukweli tu ndio usemwe nani mwenye uwezo wa kimedani Kati ya mahasimu hawa wawili kati ya muyahudi na waajemi. Kuna watu wanapenda mambo ya medani japo vita ni kuzimu(hell) ila ni hulka ya binadamu kujipa uhalali kiuwezo na kiplopaganda. Israel alianza kutoa mapigo kisha akajibiwa je, nani mwenye military edge kumuwin mwenzake? Religion sympathy sio mahala pake hapa I want only facts to spoken.
Israel is ahead of Iran kwenye izo anga. Juzi amezuiwa tu na Marekani kwasababu marekani aliogopa iran itafunga mlango wake wa bahari na uchumi ungeenda kuwa shida. walichofanya ni kupiga rada za kinu chao cha Nukes pekee ili asiweze kabisa kuwarushia makombora ya nuclear. Ndege zilizoenda kupiga huko unaambiwa hazikuonekana hata iran ilikiri kwamba hawajajua ni nani kapiga hadi sasaivi, manake radar za iran hazikuiona. kama ukiwa na uwezo huo manake unaweza kuamua kupiga mtu bila yeye kukujua.

Pia, marekani ana uwezo mkubwa sana kiteknolojia kumzidi hata urusi. kama unakumbuka siku mrusi anaenda kupiga ukraine, marekani alishatangaza kuwa siku fulani ndio imepangwa kwenda kupiga, na siku iran anapiga marekani ilishatangaza kua siku fulani iran atapiga. tuseme urusi aliitaarifu marekani siku anayoanza vita ukraine? tuseme iran aliitaarifu marekani? ni wanakusoma hapohapo ulipo

kuna siri kubwa sana, aidha kuogopa vita vya baridi kuanza upya kwa urusi na china kuungana na iran ili kuishambulia marekani, au kuna kitu cha siri, kwasababu kwa tulivyozoea na tunavyoijua marekani, haiwezi kushambuliwa na nchi kama iran ikanyamaza kimya, lazima kuna mchezo waliusoma wa urusi na china. Unakumbuka Iran aliishambulia marekani kwenye kambi zake za iran siku ile alipoua kamanda wao suleiman? hivyo hata juzi wamemzuia Israel asifanye kitu kitakachoamsha vita mpya ambayo nadhani kwa ustawi wa dunia marekani hataki kabisa ije kwasababu ameshawasoma hao wenzake china na urusi wanachomuwazia.

Na iran naye nadhani ana busara, kambi zake iraq na syria zimechakazwa, na radar yake ya nukes imechakazwa, akaona hapa naweza kula hasara akasema mapema kabisa kwamba hata kama tumepigwa hatutarudisha kisasi. tuseme Iran ameogopa nini? ati Iran aseme hata kama Israel amerusha chochote sisi hatutarudisha kisasi? tuseme walikubaliana na marekani israel naye arushe kitu ili ionekane israel hajashindwa? na iran akakubali? tangu lini marekani na iran ni marafiki? since revolution iran na marekani hawapendani, nini kiliwafanya wanyamaze juzi, walipigwa mkwara gani hadi wakaamua kuufyata? waliambiwa ukirudishia tutaingia na tutakufumua. possibly.

all in all, Marekani inasemekana ni taifa la kifreemason, kuna wakati naamini kwasababu ushoga na dhambi za ajabuajabu zimezidi mno marekani, shetan asingewaacha lazima angekaa kwenye kiti cha ili arun dunia.
 
Iran rank yake kwa PPP ni ya 19 na Nigeria ni ya 27 duniani.

Hivyo ukiwa Iran utaishi vyema zaidi kwa pesa ile ile ambayo ungekuwa nayo Nigeria.

Iran ina viwanda vya kutosha na inazalisha bidhaa nyingi sana.

Huyo kwenye masuala ya uchumi ni mweupe.
Ye amekomalia ma GDP, stocks hizo sekunde moja tu inashuka.
Utajiri wa stocks.
Iran isichukuliwe poa, na sanctions zote bado imo, lakini nchi kama Nigeria ikipigwa sanctions kesho baada ya mwezi inalingana GDP na Tanzania.
Na hata Nigeria yenyewe PPP yao ya mchongo.
West Africa nchi zinazoongoza kuwa na higher inflation rate Nigeria imo ikiongozwa na Ghana.
 
Back
Top Bottom