Je, Jeshi la Polisi limeshindwa kushughulika na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' katika 'Fukwe' za Dar?

Kwani ni lazima hao mabinti wakajifunze kuogelea baharini? Waende vyuo vya mabaharia vinavyotambulika kama wanataka kuwa mabaharia.

Lakini kama ni kujifunza tu kuogelea, swimming pools zinatosha. Inawezekana nao wanapenda hizo mambo ndani ya maji labda.

Ila mtoa post pia yaelekea unafahamu vizuri sana hiyo issue.

Sent from hell
 
Jambazi baadae akibadilika huja kuwa Mlinzi mzuri sana.
 
Hivi IGP Sirro na Watendaji wako umeshindwa kweli 'Kukabiliana' na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' huku katika 'Fukwe' za Bahari ya Hindi ambao tabia yao ya Kujifanya Wanawafundisha Mabinti...
Usikute wewe mwenyewe beachboy
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji109]
 
Hivi mtu anaweza jifunzia kuogelea baharini??????
 
pole sana mkuu ,dunia ndio ilivyo,, ,ila mwamba we mnyonge sana sa ulikuwa unasubiri ushahidi kamili ndio utoe madai polisi...
Hivi unajua kuwa mkemia mkuu anaangaliana na beach pua na mdomo ? Angeweza mburuza mpaka getini bila hata ya usumbufu wa kupita polisi kwa kufunga tu kamba kwenye govi (kama lipo )kutunza ushahidi
 
Waachen watoto wa uswahiln wawale watoto wa ushuan mbona wao wanainjoy
 
Nimetoka Tizi na Kuogelea Beach Moja maarufu na wakati niko ndani ya Maji nikiogelea nikaona Beach Boy anambandua Mke wa Mtu huku Bwege lenye Mke likiwa nchi Kavu linachati kuhusu Yanga SC kuongoza Kundi CAFCC.

Hili Jambo limeshaongelewa mno hapa JamiiForums na Kwingineko ila Mamlaka husika imenyamaza tu.

Sasa kwakuwa GENTAMYCINE ndiyo nimetoka Kuhitimu Mafunzo yangu Mchanganyiko ya Karate, Judo na Kung Fu na Kutunukiwa Black Belts Siku ya Pasaka kwa Makusudi naenda na Demu wangu Beach za Uswahilini na Demu wangu akiingia ndani ya Maji Kuogelea ole wake nione Beach Boy anamfuata na Pira ili akaogelee nae kwani nitakachokifanya kwa huyo Beach Boy kitakuwa ni Breaking News Radio One na ITV na Ndugu zake itawalazimu wakamtafute ama ICU Muhimbili au Wodi ya Mwaisela au Wodi Namba 26 ( Mortuary ) Muhimbili National Hospital.

Yaani kabisa GENTAMYCINE nikuone Unanibandulia Demu wangu ndani ya Maji tukuka ya Bahari ya Hindi halafu nikuache? Labda niwe sitokei Mkoa wa Wanamume na Mashujaa wa Mara ( Musoma )

Upuuzi huo ( huu ) wafanyieni labda Wanaume wa Makabila ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Warangi, Wanyaturu, Wakerewe na Wanyamwezi ila siyo Mzanaki Mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…