Je, Jeshi la Polisi limeshindwa kushughulika na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' katika 'Fukwe' za Dar?

Je, Jeshi la Polisi limeshindwa kushughulika na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' katika 'Fukwe' za Dar?

Kwani ni lazima hao mabinti wakajifunze kuogelea baharini? Waende vyuo vya mabaharia vinavyotambulika kama wanataka kuwa mabaharia.

Lakini kama ni kujifunza tu kuogelea, swimming pools zinatosha. Inawezekana nao wanapenda hizo mambo ndani ya maji labda.

Ila mtoa post pia yaelekea unafahamu vizuri sana hiyo issue.

Sent from hell
 
Kwani ni lazima hao mabinti wakajifunze kuogelea baharini? Waende vyuo vya mabaharia vinavyotambulika kama wanataka kuwa mabaharia. Lakini kama ni kujifunza tu kuogelea, swimming pools zinatosha. Inawezekana nao wanapenda hizo mambo ndani ya maji labda.
Ila mtoa post pia yaelekea unafahamu vizuri sana hiyo issue.

Sent from hell
Jambazi baadae akibadilika huja kuwa Mlinzi mzuri sana.
 
Hivi IGP Sirro na Watendaji wako umeshindwa kweli 'Kukabiliana' na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' huku katika 'Fukwe' za Bahari ya Hindi ambao tabia yao ya Kujifanya Wanawafundisha Mabinti...
Usikute wewe mwenyewe beachboy
 
Kweli hawa jamaa ni noma,najaribu kuwaza,hapa anabalance yeye asizame,anabalance binti asizame na bado at the same time anachakata papuchi...

huu ni ufanisi wa hali ya juu,wakati wewe ukipewa kiss tu hata peni unadondosha jinsi ulivyolegea kwa kusikilizia utamu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji109]
 
Ebwana ni hatari sana.

Wanawafanyia BLACKMAIL ya kufa mtu.

Najaribu kufikiria UWEPO wa maji ya "chumvi"..huku NGUVU IKITUMIKA katika "ukutanaji" huo haramu, basi WATAALAMU watuambie kama HIZO factors tajwa HAZITOONGEZA(accelerating) "uingiaji" wa VIRUSI vinavyosababisha AIDS?

Na je vipi kuhusu STD's?

PENDEKEZO:

Mamlaka zinazozunguka HIZO BEACH ziweke MABANGO ya kutahadharisha HILO.
Yaani WAONGEZE na maneno "at your own risk".

Dada zetu nao WANA DHIMA ya kutomuamini MTU wasiyemjua KIHOLELA, inashangaza mbona huku MITAANI NA "daladalani" hawatoi/hawatoagi SALAMU kwa WASIYE MJUA? Sembuse hayo ya UKARIBU WA KUBEBANA kupelekana MAJI YA MAGOTI. KUSUKUMANA MAJI YA VIUNO mpaka kule kwenye MAJI YA VIFUA karibu na MIAMBA.
Hivi mtu anaweza jifunzia kuogelea baharini??????
 
pole sana mkuu ,dunia ndio ilivyo,, ,ila mwamba we mnyonge sana sa ulikuwa unasubiri ushahidi kamili ndio utoe madai polisi...
Hivi unajua kuwa mkemia mkuu anaangaliana na beach pua na mdomo ? Angeweza mburuza mpaka getini bila hata ya usumbufu wa kupita polisi kwa kufunga tu kamba kwenye govi (kama lipo )kutunza ushahidi
 
Waachen watoto wa uswahiln wawale watoto wa ushuan mbona wao wanainjoy
 
Nimetoka Tizi na Kuogelea Beach Moja maarufu na wakati niko ndani ya Maji nikiogelea nikaona Beach Boy anambandua Mke wa Mtu huku Bwege lenye Mke likiwa nchi Kavu linachati kuhusu Yanga SC kuongoza Kundi CAFCC.

Hili Jambo limeshaongelewa mno hapa JamiiForums na Kwingineko ila Mamlaka husika imenyamaza tu.

Sasa kwakuwa GENTAMYCINE ndiyo nimetoka Kuhitimu Mafunzo yangu Mchanganyiko ya Karate, Judo na Kung Fu na Kutunukiwa Black Belts Siku ya Pasaka kwa Makusudi naenda na Demu wangu Beach za Uswahilini na Demu wangu akiingia ndani ya Maji Kuogelea ole wake nione Beach Boy anamfuata na Pira ili akaogelee nae kwani nitakachokifanya kwa huyo Beach Boy kitakuwa ni Breaking News Radio One na ITV na Ndugu zake itawalazimu wakamtafute ama ICU Muhimbili au Wodi ya Mwaisela au Wodi Namba 26 ( Mortuary ) Muhimbili National Hospital.

Yaani kabisa GENTAMYCINE nikuone Unanibandulia Demu wangu ndani ya Maji tukuka ya Bahari ya Hindi halafu nikuache? Labda niwe sitokei Mkoa wa Wanamume na Mashujaa wa Mara ( Musoma )

Upuuzi huo ( huu ) wafanyieni labda Wanaume wa Makabila ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Warangi, Wanyaturu, Wakerewe na Wanyamwezi ila siyo Mzanaki Mimi.
 
Back
Top Bottom