Je, Jeshi la Polisi limeshindwa kushughulika na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' katika 'Fukwe' za Dar?

Kumbe Bado kuna watu wanaogelea baharini..tafuta hela mkuu
 
Sawa Beach Boy Popoma wa Kawe.
 
Sawa Beach Boy Popoma wa Kawe.

Sawa Beach Boy Popoma wa Kawe.
Una kisirani sana kaka,,, Huu ulimwengu hautaji kushupaza shingo sana,,,ni mkubwa mnoo na kila mtu ana fikra,,maono,,ndoto,,na mawazo yake,,huwezi lazimisha na kamwe hatuwezi fanana katika hayo,,,Furahia uwepo wako,,,usichukie uwepo wa mwingine,,,tumia nafasi yako kufanya yako zaidi,,na si kukosoa au kufanya ya mwingine,,,unajitwisha zigo ambalo sasa ndio linalokuletea chuki za hovyo hadi kuwaza kupigana na watu na utu uzima huo na wakati una mambo mengi ya msingi ya kwako binafsi,,,yanayo kuhusu wewe zaidi na yenye faida kwako zaidi,,unafatilia upuuzi!!!Karibu Beach Kawe Pasaka Uje na Shangazi yetu tunywe,,tule,,,tuogelee tufurahia!!
 
Dah inauma sana, Kumbe ni ishu za kawaida? Mimi niliwahi kushudia siku moja demu wakipemba muarabu analiwa na hao majama tena walikuwa wa nne. Cha kuuma zaidi alikuja na familia yake kabisa. Mumewe na ndugu zake. Yani jamaa mkewe analiwa yeye yupo bzy na mazungumzo. Niliumia sana lile tukio.
 
Umemaliza kila kitu 🙏🙏🔥🔥
 
Watu Kama nyie ndo wake wenu wanaliwa hahahahahahah

Mwanamke akuheshimu vingine muachie Mungu. Ila nilikua namwambia mwanamke anayejielewa classic hawez kuogelea kwenye beach chafu kama hizo sijui ununio, kawe nk labda awe hana hela.
 
Vp alitoa ushirikiano au alikua akitafuta msaada
 
Huyo anayechati ulimwonaje kuwa ni mwana Yanga!?

Pompoma at his level best
 
Beach gani hiyo hujafanikiwa hata kavideo wazee wa Kono aka chabo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…