Je, Jeshi la Polisi limeshindwa kushughulika na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' katika 'Fukwe' za Dar?

kama ndo wale wanafundisha watu kuogelea ni washenzi sana ..Kenya wameanza utaratibu wa kuwapa elimu ya maadili maana wapo waliofanya ngono na watalii wakiwa wanawafundisha kuogelea
 
Hilo tatizo mostly lipo Kawe Beach.

Wale vijana Ni wa hovyo sana. Mara kadhaa nimewahi kushuhudia kitu Kama hiko kwenye ile beach,wale masela wa beach za ununio kidogo wanajielewa.
Is it true mke wa mtu anabanduliwa na Hao jamaa laiv?. Mbona kwangu haimek sens
 
Lini Kaka uko free nikajionee mwenyewe mana naona kama visasili tu
Cc. @GENTAMACINE
 
Alitoa mkuu, Nashindwa kufahamu jamaa wana mbinu gani, Mana sio ishu nyepesi kumvaa mwanamke from no where mkamla na akatoa ushirikiano.
Hapa ndo hata mm unanipa ukakasi wa stories hizi. Mwanamke gani abebwe bebwe tu na boya na mtu aisemjua mpaka maji marefu kias cha kutishwa aliwe mambo na akatoa. Labda tupelekwe hizo bichi tukajionee
 
"'Huku bwege lenye mke likiwa nchi kavu linachati kuhusu yanga SC kuongoza kundi CAFCC"'


Nimekapenda sana hako ka mstari.
 
Wanyamwezi ni mashujaa hatuwezichapiwa kirahisi namna hyo mkuu labda wagogo na wazaramo.
We Mnyamwezi..Issue sio ushujaa....ni demu wako uliyemtoa Igunga asiyejua kuogelea akakutana na vitoto vihuni vya kizaramo vinavyojiita vibich boy vinampeleka maji marefu Kisha vinamla kilainiπŸ˜ƒπŸ˜ƒ alafu we mwenyewe huwezi kuogelea kuwafuata.

πŸ˜‚πŸ˜‚...Hapo hata wazanaki wa Kiyabakari,Bitaraguru,Nyasirori wanaliwa au sio Mweto Mura agwazi GENTAMYCINEπŸƒπŸƒ
 
Bichi ipi?
 
Anabandulia MAJINI..!!...wala hajafaidi huyo..utamu wote unandolewa na maji tena mbaya zaidi yawe maji chumvi
 
Ukipigwa ban unalalamika Ila kuandika matusi unaona sifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…