Je, Jeshi la Polisi limeshindwa kushughulika na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' katika 'Fukwe' za Dar?

Je, Jeshi la Polisi limeshindwa kushughulika na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' katika 'Fukwe' za Dar?

kama ndo wale wanafundisha watu kuogelea ni washenzi sana ..Kenya wameanza utaratibu wa kuwapa elimu ya maadili maana wapo waliofanya ngono na watalii wakiwa wanawafundisha kuogelea
 
Hilo tatizo mostly lipo Kawe Beach.

Wale vijana Ni wa hovyo sana. Mara kadhaa nimewahi kushuhudia kitu Kama hiko kwenye ile beach,wale masela wa beach za ununio kidogo wanajielewa.
Is it true mke wa mtu anabanduliwa na Hao jamaa laiv?. Mbona kwangu haimek sens
 
Itakuwa hujui wanakulaje mbususu hao vijana.

Wanachokifanya wakikuona binti mrembo mashallah wanakuja kadhaa na mapira yao ya kukuogelea na kukupa ukalie juu Kisha wakusukume na kukuburidha Kama binti mfalme. Ukishanogewa na utamu wa mpira na kuzungushwa ndani ya maji unakuja kustuka upo maji makubwa alafu mbali na ufukwe waliko watu.

Hapo ndiyo wanaanza kukutisha "asee sikia hapa hutoki bila sisi kukutom*** na ukikataa tunakunyang'anya mpira wetu urudi nchi kavu mwenyewe tuone Kama utafika" hapo tayari Kuna mmoja keshaanza kukufanyia uhuni,na kwa macho makavu na ya ukatili wanayokuangalia unajikuta huwezi kupiga kelele Wala kukataa wanachokufanyia.

Hawa wahuni wapo Kawe beach na longoni/mikadi beach kigamboni. Wana usela mavi Sana. Kuwa makini Ukiwa kwenye hizo beach Kama upo Dar.
Lini Kaka uko free nikajionee mwenyewe mana naona kama visasili tu
Cc. @GENTAMACINE
 
Alitoa mkuu, Nashindwa kufahamu jamaa wana mbinu gani, Mana sio ishu nyepesi kumvaa mwanamke from no where mkamla na akatoa ushirikiano.
Hapa ndo hata mm unanipa ukakasi wa stories hizi. Mwanamke gani abebwe bebwe tu na boya na mtu aisemjua mpaka maji marefu kias cha kutishwa aliwe mambo na akatoa. Labda tupelekwe hizo bichi tukajionee
 
"'Huku bwege lenye mke likiwa nchi kavu linachati kuhusu yanga SC kuongoza kundi CAFCC"'

Nimekapenda sana hako ka mstari.
 
Wanyamwezi ni mashujaa hatuwezichapiwa kirahisi namna hyo mkuu labda wagogo na wazaramo.
We Mnyamwezi..Issue sio ushujaa....ni demu wako uliyemtoa Igunga asiyejua kuogelea akakutana na vitoto vihuni vya kizaramo vinavyojiita vibich boy vinampeleka maji marefu Kisha vinamla kilaini😃😃 alafu we mwenyewe huwezi kuogelea kuwafuata.

😂😂...Hapo hata wazanaki wa Kiyabakari,Bitaraguru,Nyasirori wanaliwa au sio Mweto Mura agwazi GENTAMYCINE🏃🏃
 
Dah inauma sana, Kumbe ni ishu za kawaida? Mimi niliwahi kushudia siku moja demu wakipemba muarabu analiwa na hao majama tena walikuwa wa nne. Cha kuuma zaidi alikuja na familia yake kabisa. Mumewe na ndugu zake. Yani jamaa mkewe analiwa yeye yupo bzy na mazungumzo. Niliumia sana lile tukio.
Bichi ipi?
 
Nimetoka Tizi na Kuogelea Beach Moja maarufu na wakati niko ndani ya Maji nikiogelea nikaona Beach Boy anambandua Mke wa Mtu huku Bwege lenye Mke likiwa nchi Kavu linachati kuhusu Yanga SC kuongoza Kundi CAFCC.

Hili Jambo limeshaongelewa mno hapa JamiiForums na Kwingineko ila Mamlaka husika imenyamaza tu.

Sasa kwakuwa GENTAMYCINE ndiyo nimetoka Kuhitimu Mafunzo yangu Mchanganyiko ya Karate, Judo na Kung Fu na Kutunukiwa Black Belts Siku ya Pasaka kwa Makusudi naenda na Demu wangu Beach za Uswahilini na Demu wangu akiingia ndani ya Maji Kuogelea ole wake nione Beach Boy anamfuata na Pira ili akaogelee nae kwani nitakachokifanya kwa huyo Beach Boy kitakuwa ni Breaking News Radio One na ITV na Ndugu zake itawalazimu wakamtafute ama ICU Muhimbili au Wodi ya Mwaisela au Wodi Namba 26 ( Mortuary ) Muhimbili National Hospital.

Yaani kabisa GENTAMYCINE nikuone Unanibandulia Demu wangu ndani ya Maji tukuka ya Bahari ya Hindi halafu nikuache? Labda niwe sitokei Mkoa wa Wanamume na Mashujaa wa Mara ( Musoma )

Upuuzi huo ( huu ) wafanyieni labda Wanaume wa Makabila ya Wahaya, Wanyiramba, Waha, Warangi, Wanyaturu, Wakerewe na Wanyamwezi ila siyo Mzanaki Mimi.
Anabandulia MAJINI..!!...wala hajafaidi huyo..utamu wote unandolewa na maji tena mbaya zaidi yawe maji chumvi
 
Ukipigwa ban unalalamika Ila kuandika matusi unaona sifa
 
Back
Top Bottom