Yesu ndio chanzo cha uzima wangu, nilishawahi kugongwa na treni, licha ya kwamba gari yangu iliharibiwa kabisa lakini mimi binafsi nilitoka nikiwa mzima kabisaaaaaaaaa
kwa ushahidi gani ??Yeye ndie muasisi wa positive power
Yesu wa Nazareth
And in the sixth month the angel Gabriel was sent from God unto a CITY of Galilee, named Nazareth, To a virgin espoused to a man whose name was Joseph, of the house of David; and the virgin’s name was Mary.
(Luke1.26,27)
And all went to be taxed, every one into his own city. And Joseph also went up from Galilee, out of the CITY of Nazareth, into Judaea, unto the city of David, which is called Bethlehem; because he was of the house and lineage of David:
(Luke 2.3,4)
But when he heard that Archelaus did reign in Judaea in the room of his father Herod, he was afraid to go thither: notwithstanding, being warned of God in a dream, he turned aside into the parts of Galilee: And he came and dwelt in a CITY called Nazareth: that it might be fulfilled which was spoken by the prophets, He shall be called a Nazarene.
(Matthew 2.22,23)
And when they had performed all things according to the law of the Lord, they returned into Galilee, to their own CITY Nazareth. And the child grew, and waxed strong in spirit, filled with wisdom: and the grace of God was upon him.
(Luke 2.39,40)
• Nazareth is not mentioned even once in the entire Old Testament. The Book of Joshua (19.10,16) – in what it claims is the process of settlement by the tribe of Zebulon in the area – records twelve towns and six villages and yet omits any 'Nazareth' from its list.
• The Talmud, although it names 63 Galilean towns, knows nothing of Nazareth, nor does early rabbinic literature.
• St Paul knows nothing of 'Nazareth'. Rabbi Solly's epistles (real and fake) mention Jesus 221 times, Nazareth not at all.
• No ancient historian or geographer mentions Nazareth. It is first noted at the beginning of the 4th century.
Hili ni swali tu katika kujua uweza na uwezo wa nguvu za Jina la Yesu katika kutenda miujiza.
Yesu alipata kuishi yapata miaka 2019 iliyopita. Je inakuwaje jina lake leo lisemwe kwamba lina nguvu sana katika kutenda miujiza?
Kuna manabii wengi sana na mitume wengi wamepita, kina Krishna, Elisha , Elizabeth Mtishbi nk mbona hatusikii visa vya majina yao katika kutenda miujiza? Sanasana Wlisha ametajwa mara moja kwamba jamaaa walibeba maiti wakienda kuzika, walipofika katika kaburi la Elisha ikatokea vita, katika kujinusuru wakaibwaga maiti chini, maiti ikaangukia kaburi la Elisha, maiti ikafufuka, ikatoka nduki kichizi.
Ndugu mnaoelezea uweza wa jina la Yesu njooni hapa mshuhudie
|
Simba aliye wa kabila la YudaNtawaambia waaisome Biblia vizuri, huyo hakuwa mwananwe wa kwanza...
...Israeli ni mwanangu mimi, mzaliwa wa kwanza wangu;
- Kutoka Mlango 4:22
Si huwa mnakiri kabisa kuwa Mungu wenu hashindwi na jambo lolote kulitenda ?Kwamba Mungu Ana Mtoto [emoji1787], Mungu Hafanani Na Kitu Chochote.
Jiwe gizaniUko nje ya mada.
Jibu swali!!
Kwahiyo ndivyo mudi alivyowafundisha kuwatukana watu pasipo kutumia hekima?Kwahiyo wasomjua Yesu wasingetoka?! Fala kweli wewe
Soma injili nzima uelewe maanakwa ushahidi gani ??
mbona huku amenukuliwa akisema
John5:30
"Mimi siwezi kufanya kitu kwa uwezo wangu mwenyewe.
SOMA BIBLIA UPATE MAARIFA:kwa ushahidi gani ??
mbona huku amenukuliwa akisema
John5:30
"Mimi siwezi kufanya kitu kwa uwezo wangu mwenyewe.
kwenye matukio kama ayo ni wengi tu wanaponyeka ponyek, haimaanishi kama haumuamini yesu bas kwenye ajari haunusuriki,Yesu ndio chanzo cha uzima wangu, nilishawahi kugongwa na treni, licha ya kwamba gari yangu iliharibiwa kabisa lakini mimi binafsi nilitoka nikiwa mzima kabisaaaaaaaaa
Misingi ya kiimani ya Kikristo imejengwa katika sheria na shuhuda.naona watu wanataja kuvuka misukosuko ya maisha kuwa Ni kazi ya Yesu lakini wale tusioamini ktk huyo Yesu tunavuka pia hiyo misukosuko bila kulitaja jina la Yesu Bali kwa imani zetu tunapata kazi,, tunapona ajali,, tunapata nafuu ya maisha,, tunapata uzazi,, tunapona maradhi ya hospitaly na ya kurogwa ,,na tunapata wenza wema, kwa hiyo Kama kigezo pekee Ni kuepushwa na misukosuko ya duniani niseme tu bado sijaona nguvu ya jina la Yesu maana misukosuko inatupata wote na wote tunapona kupitia imani zetu na kufa Kila mmoja atakufa kwa wakati wake bila kujali imani yako ingekua wenzetu hamfi au mkifa mkitaja jina la Yesu mnafufuka hapo sawa. Wandugu tunapona kwa imani ndo maana hata mababu zetu waliokua wakiabudu mawe na Miti mikubwa walikua wakipata majanga wanaenda kutambika na mvua zinanyesha lakini SI kweli kua jiwe au mti Ni Mungu na mkumbuke nabii Ayubu alipopatwa na misukosuko mikubwa hakukuwa na jina la Yesu lakini aliomba kwa imani na akapona. Bali Mungu wetu ni mmoja na Hana uchoyo kwa viumbe vyake humpa yoyote amuombae wakati mwingine bila hata kumuomba kupitia kile unachokiamini lakini siku ya hukumu ndo itajulikana Nani aliabudu Mungu wa kweli na Nani aliabudu vilivyoumbwa na Mungu, hukumu inakuja kwa vile licha ya kuwa Mungu wetu Ni mwenye huruma nyingi lakini pia Ni mwingi wa hasira na mwenye wivu pia katupatia akili na ufahamu wa kufikiri na kutafakari hivo ni wajibu Kila mmoja wetu kufikiri na kutafakari sifa,,ukuu na utukufu wa Mungu na kupima Kama kile unachokiomba na kukiabudu kina sifa na ukuu na utukufu wa kuabudiwa. Mtihani mkubwa upo hapo.
Soma injili nzima uelewe maana
SOMA BIBLIA UPATE MAARIFA:
Yohana 1: 1- 5.
Yohana 1:14.
Yohana 17 sura yote lakini hasa hasa hapa pana jibu lako.
Yohana 17:5
Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.
Kiujumla Yesu anamaanisha hawezi kufanya kitu yeye pekee pasipo umoja wa Yahweh (Mungu Baba, Yesu na Roho Mtakatifu) na hizo ni nafsi 3 katika umoja.
Kabla hujaniuliza inamaana tunaabudu miungu mitatu ningependa nikuulize inakuwaje yai la kuchemsha la kuku wa kienyeji ni moja lakini limegawanyika sehemu kuu tatu ?
1. Kiini cha yai (rangi njano au nyeusi cha ndani ya yai)
2. Muunganiko wa madini ya protini nyeupe(ndani ya yai)
3. Ganda la nnje ya yai (rangi ya kaki).
naona watu wanataja kuvuka misukosuko ya maisha kuwa Ni kazi ya Yesu lakini wale tusioamini ktk huyo Yesu tunavuka pia hiyo misukosuko bila kulitaja jina la Yesu Bali kwa imani zetu tunapata kazi,, tunapona ajali,, tunapata nafuu ya maisha,, tunapata uzazi,, tunapona maradhi ya hospitaly na ya kurogwa ,,na tunapata wenza wema, kwa hiyo Kama kigezo pekee Ni kuepushwa na misukosuko ya duniani niseme tu bado sijaona nguvu ya jina la Yesu maana misukosuko inatupata wote na wote tunapona kupitia imani zetu na kufa Kila mmoja atakufa kwa wakati wake bila kujali imani yako ingekua wenzetu hamfi au mkifa mkitaja jina la Yesu mnafufuka hapo sawa. Wandugu tunapona kwa imani ndo maana hata mababu zetu waliokua wakiabudu mawe na Miti mikubwa walikua wakipata majanga wanaenda kutambika na mvua zinanyesha lakini SI kweli kua jiwe au mti Ni Mungu na mkumbuke nabii Ayubu alipopatwa na misukosuko mikubwa hakukuwa na jina la Yesu lakini aliomba kwa imani na akapona. Bali Mungu wetu ni mmoja na Hana uchoyo kwa viumbe vyake humpa yoyote amuombae wakati mwingine bila hata kumuomba kupitia kile unachokiamini lakini siku ya hukumu ndo itajulikana Nani aliabudu Mungu wa kweli na Nani aliabudu vilivyoumbwa na Mungu, hukumu inakuja kwa vile licha ya kuwa Mungu wetu Ni mwenye huruma nyingi lakini pia Ni mwingi wa hasira na mwenye wivu pia katupatia akili na ufahamu wa kufikiri na kutafakari hivo ni wajibu Kila mmoja wetu kufikiri na kutafakari sifa,,ukuu na utukufu wa Mungu na kupima Kama kile unachokiomba na kukiabudu kina sifa na ukuu na utukufu wa kuabudiwa. Mtihani mkubwa upo hapo.
Kwahiyo ndivyo mudi alivyowafundisha kuwatukana watu pasipo kutumia hekima?
Misingi ya kiimani ya Kikristo imejengwa katika sheria na shuhuda.
ISAYA 8:19-20.
19.Na wakati watakapokuambia, Tafuta habari kwa watu wenye pepo na kwa wachawi; waliao kama ndege na kunong’ona; je! Haiwapasi watu kutafuta habari kwa Mungu wao? Je! Waende kwa watu waliokufa kwa ajili ya watu walio hai?
20.Na waende kwa sheria na ushuhuda; ikiwa hawasemi sawasawa na neno hili, bila shaka kwa hao hapana asubuhi.
SHUHUDA = Injili, mahubiri, miujiza na neno la Mungu lililoenezwa na Manabii mbali mbali na Yesu kupitia mwongozo wa Roho Mtakatifu.
1 PETRO 1:19-21.
19.Nasi tuna lile neno la unabii lililo imara zaidi, ambalo, mkiliangalia, kama taa ing’aayo mahali penye giza, mwafanya vyema, mpaka kutakapopambazuka, na nyota ya asubuhi kuzuka mioyoni mwenu.
20.Mkijua neno hili kwanza, ya kwamba hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu.
21.Maana unabii haukuletwa po pote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.
SHERIA = Amri 10 za Mungu zilizoshushwa na Mungu juu ya mlima wa Sinai kupitia Nabii Musa "KUTOKA 31:1-9"
YESU ASHUHUDIA SHERIA ZA MUNGU [emoji116]
MATHAYO 5:17.
Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
MAJARIBU/CHANGAMOTO NI SEHEMU YA MAISHA NA YESU ANASHUHUDIA [emoji116]
YOHANA 16:33.
Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu.