Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Mimi nilihisi wewe ulikuwa ndiye dreva, maana wanasema alikuwa na mwanamke, nikahisi ulikuwa unampa Asprin.
Babu gani anaendesha lori? Utakuwa umechanganya madesa... mi niko Sauz huku baada ya ndege yenu kutekwa. Nasubiri usuluhishi niirudishe ndege yenu afu nistaafu. Huyu air hostess ananisaidia tu kubrashi viatu.
 
Aisee we jamaa...tupeane madini. Mzee mzima nisije kutongoza mara ya pili nikaumbuka
Mpwa kabla ya kufanya mchakato wowote, inabidi ufanye due diligence kwa kupekua kumbukumbu toka maktaba...
 
Babu gani anaendesha lori? Utakuwa umechanganya madesa... mi niko Sauz huku baada ya ndege yenu kutekwa. Nasubiri usuluhishi niirudishe ndege yenu afu nistaafu. Huyu air hostess ananisaidia tu kubrashi viatu.

Hivi mnalishwa na serikali ama mnatoa mfukoni kwenu!
 
Mpwa kabla ya kufanya mchakato wowote, inabidi ufanye due diligence kwa kupekua kumbukumbu toka maktaba...
Dah kweli nazeeka vibaya. Nilitaka nianze mchakato kumbe ningeingia cha kike. Ngoja niende maktaba kwanza
 
pombe zitakuu mda si mrefu mkuu.. ukiona we ni mlevi na unaanguka na kifafa hiyo dalili tosha umezidisha Sana inaonekana hata hujali kabisa yaani huna cha kupoteza kabisa.. je Mali zako mkuu.? rafiki zako je?

nimpongeze huyo sister kwa kukusave still kuna watu wanapenda uwepo wako mkuu

siku ukiandika uzi wako nitag ningependa nijifunze nijue kisa hcho cha simanzi kilichokufanya uwe hvyo
 
Majibu yako
.Zitaenda orphanage kuchangia
.Rafiki yangu ni pombe sio watu sipendi watu
.haha unaogopa kifo kila mtu atakufa
.yes anaonekana kujali ila Kama amenipenda au wapo wanaotamani uwepo wangu imekula kwao wapambane na Hali zao waniache na mm nipambane na Hali yangu
.mwisho nikiandika nitakutag
 
ukiandika naomba uni tagi mkuu
 
Aisee

Pole
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] babu bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…