Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Sasa kwanini unizushie kifo cha wizi?
Mimi nilihisi wewe ulikuwa ndiye dreva, maana wanasema alikuwa na mwanamke, nikahisi ulikuwa unampa Asprin.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwanini unizushie kifo cha wizi?
Halafu ule mpango wetu wa vitabu..naona ushautelekezaNi main Character kwenye Novel inaitwa The Last Don, mwandishi ni Mario Puzo, aliyeandika The Godfather, Omerta, The Cicilian, The Fourth K, The Family, Fools Die nk.
So, Don Clericuzio ni main character, one humble and brainy Don.
Halafu ule mpango wetu wa vitabu..naona ushautelekeza
Babu gani anaendesha lori? Utakuwa umechanganya madesa... mi niko Sauz huku baada ya ndege yenu kutekwa. Nasubiri usuluhishi niirudishe ndege yenu afu nistaafu. Huyu air hostess ananisaidia tu kubrashi viatu.Mimi nilihisi wewe ulikuwa ndiye dreva, maana wanasema alikuwa na mwanamke, nikahisi ulikuwa unampa Asprin.
Mpwa kabla ya kufanya mchakato wowote, inabidi ufanye due diligence kwa kupekua kumbukumbu toka maktaba...Aisee we jamaa...tupeane madini. Mzee mzima nisije kutongoza mara ya pili nikaumbuka
Babu gani anaendesha lori? Utakuwa umechanganya madesa... mi niko Sauz huku baada ya ndege yenu kutekwa. Nasubiri usuluhishi niirudishe ndege yenu afu nistaafu. Huyu air hostess ananisaidia tu kubrashi viatu.
Jina kama hilo lako la kichwa kichafu mkuuJina Gani Mkuu Maana Umeniacha Njia Panda
Yeap! 1st is Tchala Black Panther 19 Bills worthHe is the best and the second richest superhero in the marvel cinematic universe!
Dah kweli nazeeka vibaya. Nilitaka nianze mchakato kumbe ningeingia cha kike. Ngoja niende maktaba kwanzaMpwa kabla ya kufanya mchakato wowote, inabidi ufanye due diligence kwa kupekua kumbukumbu toka maktaba...
Ours is a donor country...Hivi mnalishwa na serikali ama mnatoa mfukoni kwenu!
Itakuwa ni papuchi tuSababu ninazo Ila siwezi sema
Wewe kama mimiMie hakinikumbushi kitu...sina sababu ya kutumia hili jina,lilikuja tu kipindi najiunga JF
Daah ni story ya kusikitisha na kuhuzunisha that's why nalewa ili niwe nasahau sometimes nalala kabisa bar nanyanyuliwa napalekwa home ..nikipata wasaa naperuzi jamii forums nkiwa kwangu nimejifungia peke angu sina mda na jirani wala watu.
Kwanzaa nimeacha assets zangu nkatoweka sjulikan nilipo na rafki nikisema ndugu nadanganya maana Mimi mwenyewe siwajui ndo nina almost 3yrs nimekuja kuishi hili eneo as ordinary person hakuna anaejua background yangu wala jina baba mwenye nyumba ananijua jina tu kodi namlipa fresh japo ananidanganya mambo mengine na michango hapo home ili kunipiga pesa Mimi Nampa tu sihoji chochote hajui nafanya kazi gan pesa natoa wapi
japo kuna sister jiran anijui jina ananiita mlevi mmoja ndo nimelipenda natumia humu ndo akiona nimechelewa kurudi atanitafuta ataomba Msaada nisaidiwe kubebwa sometimes anakuja ananisaidia kufanya usafi sometimes ananikuta asubuhi na pombe zangu kazaa mezani anazichukua anazitupa ananifokea sana sometimes ananipikia
Mara nilale kweny baraza za watu hapo nimelewa wananisachi wananichukulia phone pesaa ila hyo hainiumizi kichwa.. Pesa kwangu hazina samani ni jambo dogo.. Makaratasi.. Pesa sio kila kitu nyie jidanganyeni tu
Nalewa nazidiwa na pombe mpaka nazima kwa kifafa napelekwa hospital huyu sister sijataka kujua jina Lake namuita Miss annoying maana naona ni msumbufu ananifuatilia life langu ..well anakuja kunicheki hospital ananiletea matunda tunapiga story na nikiwa sijalewa naongea point na mcheshi kwelikweli .
ila zle story zangu zakwenda ugaibun kpind hcho kutafuna papuchi siziingizi tukiongea [emoji23] mabaharia mnaelewa..tuachane na hlo hako kalikua kautani tu sitaki mtu hapa nlpo ajue Mimi na background ila yote tisa Mungu ambariki tu kwakweli
Tuachane na hayo sku nikipata mda ntaandika kwa nini niko hivi nadhani kuna somo watajifunza watu
Majibu yakopombe zitakuu mda si mrefu mkuu.. ukiona we ni mlevi na unaanguka na kifafa hiyo dalili tosha umezidisha Sana inaonekana hata hujali kabisa yaani huna cha kupoteza kabisa.. je Mali zako mkuu.? rafiki zako je?
nimpongeze huyo sister kwa kukusave still kuna watu wanapenda uwepo wako mkuu
siku ukiandika uzi wako nitag ningependa nijifunze nijue kisa hcho cha simanzi kilichokufanya uwe hvyo
ukiandika naomba uni tagi mkuuDaah ni story ya kusikitisha na kuhuzunisha that's why nalewa ili niwe nasahau sometimes nalala kabisa bar nanyanyuliwa napalekwa home ..nikipata wasaa naperuzi jamii forums nkiwa kwangu nimejifungia peke angu sina mda na jirani wala watu.
Kwanzaa nimeacha assets zangu nkatoweka sjulikan nilipo na rafki nikisema ndugu nadanganya maana Mimi mwenyewe siwajui ndo nina almost 3yrs nimekuja kuishi hili eneo as ordinary person hakuna anaejua background yangu wala jina baba mwenye nyumba ananijua jina tu kodi namlipa fresh japo ananidanganya mambo mengine na michango hapo home ili kunipiga pesa Mimi Nampa tu sihoji chochote hajui nafanya kazi gan pesa natoa wapi
japo kuna sister jiran anijui jina ananiita mlevi mmoja ndo nimelipenda natumia humu ndo akiona nimechelewa kurudi atanitafuta ataomba Msaada nisaidiwe kubebwa sometimes anakuja ananisaidia kufanya usafi sometimes ananikuta asubuhi na pombe zangu kazaa mezani anazichukua anazitupa ananifokea sana sometimes ananipikia
Mara nilale kweny baraza za watu hapo nimelewa wananisachi wananichukulia phone pesaa ila hyo hainiumizi kichwa.. Pesa kwangu hazina samani ni jambo dogo.. Makaratasi.. Pesa sio kila kitu nyie jidanganyeni tu
Nalewa nazidiwa na pombe mpaka nazima kwa kifafa napelekwa hospital huyu sister sijataka kujua jina Lake namuita Miss annoying maana naona ni msumbufu ananifuatilia life langu ..well anakuja kunicheki hospital ananiletea matunda tunapiga story na nikiwa sijalewa naongea point na mcheshi kwelikweli .
ila zle story zangu zakwenda ugaibun kpind hcho kutafuna papuchi siziingizi tukiongea [emoji23] mabaharia mnaelewa..tuachane na hlo hako kalikua kautani tu sitaki mtu hapa nlpo ajue Mimi na background ila yote tisa Mungu ambariki tu kwakweli
Tuachane na hayo sku nikipata mda ntaandika kwa nini niko hivi nadhani kuna somo watajifunza watu
Kaboom njoo utoe tafsiri ya hili jina langu.Lizarazu, Relief Mirzska, Khantwe, Don Clericuzio , Atoto, Sakayo , Heaven Sent, Upepo wa Pesa, BAK, toxic9, Extrovert natamani nijue tafsiri ya majina yenu
AiseeDaah ni story ya kusikitisha na kuhuzunisha that's why nalewa ili niwe nasahau sometimes nalala kabisa bar nanyanyuliwa napalekwa home ..nikipata wasaa naperuzi jamii forums nkiwa kwangu nimejifungia peke angu sina mda na jirani wala watu.
Kwanzaa nimeacha assets zangu nkatoweka sjulikan nilipo na rafki nikisema ndugu nadanganya maana Mimi mwenyewe siwajui ndo nina almost 3yrs nimekuja kuishi hili eneo as ordinary person hakuna anaejua background yangu wala jina baba mwenye nyumba ananijua jina tu kodi namlipa fresh japo ananidanganya mambo mengine na michango hapo home ili kunipiga pesa Mimi Nampa tu sihoji chochote hajui nafanya kazi gan pesa natoa wapi
japo kuna sister jiran anijui jina ananiita mlevi mmoja ndo nimelipenda natumia humu ndo akiona nimechelewa kurudi atanitafuta ataomba Msaada nisaidiwe kubebwa sometimes anakuja ananisaidia kufanya usafi sometimes ananikuta asubuhi na pombe zangu kazaa mezani anazichukua anazitupa ananifokea sana sometimes ananipikia
Mara nilale kweny baraza za watu hapo nimelewa wananisachi wananichukulia phone pesaa ila hyo hainiumizi kichwa.. Pesa kwangu hazina samani ni jambo dogo.. Makaratasi.. Pesa sio kila kitu nyie jidanganyeni tu
Nalewa nazidiwa na pombe mpaka nazima kwa kifafa napelekwa hospital huyu sister sijataka kujua jina Lake namuita Miss annoying maana naona ni msumbufu ananifuatilia life langu ..well anakuja kunicheki hospital ananiletea matunda tunapiga story na nikiwa sijalewa naongea point na mcheshi kwelikweli .
ila zle story zangu zakwenda ugaibun kpind hcho kutafuna papuchi siziingizi tukiongea [emoji23] mabaharia mnaelewa..tuachane na hlo hako kalikua kautani tu sitaki mtu hapa nlpo ajue Mimi na background ila yote tisa Mungu ambariki tu kwakweli
Tuachane na hayo sku nikipata mda ntaandika kwa nini niko hivi nadhani kuna somo watajifunza watu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] babu bhana"Yaani we mwanaume usingenioa ningekuwa kichaa. Nimeolewa na dawa. Nikijisikia maumivu natamani nikuone ili maumivu yaishe" ... bibi yenu.
Kwanini nisiwe aspirin? Wakati anatamka maneno hayo dawa pekee ya kutuliza maumivu ilikuwa aspirin (wengi hapa baba zenu walikuwa hawajazaliwa, najua kwakuwa nilikuwa boyfriend wa bibi zenu)
Sky Eclat hebu njoo hapa uthibitishe hii kauli kabla sijabadili mawazo