Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

Black jackal
Hili ni jina la mbabe mmoja hivi hatare kwa jina kamil anaitwa Calos nenda kaisomeni historia yake
 
Nlikua napenda chemistry especially kwenye topic za non metal uandaaji wake nkatokea kuielewa sana chlorine gas
 
Naikumbuka ibilisi
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Umembiwa inasadifu mimi nilivyo, huwa napata taabu kueleweka kwa average brain na small brain kama wewe.
Ukiona unapata tabu kueleweka ujue either hujielewi au huelewi unachotaka kukielewesha.

Sisikitiki mimi kua average au small brain, nahofia kwamba ikiwa mimi ndo small brain, kwa mind yako wewe utakua level gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…