Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Wao wata enjoy namna gani shekhe tufafanulie. Maana kwa wanaume mi naona hiyo zawadi ni nzuri sana. Mabikra 72 si jambo dogo.
 
Wanawake ni wasaidizi tu mtulie, Mungu aliumba mwanaume kwanza kisha mwanamke akaletwa kumtoa upweke mwanaume, kwahiyo hata sisi waisrael wanawake kwenye sensa tulikuwa hatuwahesabu, shida siku hizi wanawake mmeota mapembe
 
Ndio maana watu hawaogopi kujilipua kumbe kuna ahadi ya mabikira 72 😀😀.Utaratibu ukoje ndugu zangu?
 
Kwenye Qur'an mwanaume anawakilisha humanity pale ambapo mwanamke hajatajwa,mwanamke mwema atapata yaleyale ambayo mwanaume mwema atapata, Kama ilivyo kwa mwanaume muovu na mwanamke muovu
Kwahiyo mwanamke naye atapewa wanaume marijali 72 na mito ya pombe kama mwanaume alivyoahidiwa??
 
Ndio maana watu hawaogopi kujilipua kumbe kuna ahadi ya mabikira 72 😀😀.Utaratibu ukoje ndugu zangu?
Hii sio kwa kujilipua ni kufanya mambo mazuri, utapata hao wanawake na raha nyingine, sasa kuna faida gani ya kutii amri za Mungu duniani halafu huko peponi hakuna raha?
 
Kwahiyo mwanamke naye atapewa wanaume marijali 72 na mito ya pombe kama mwanaume alivyoahidiwa??
Mwanamke kaumbwa kumsaidia kumtoa mwanaume upweke hawezi kuwa na bonus sawa na mwanaume
 
Angalia nyie mliompa nafasi mnavyopelekeshwa
 
Mtakua ma beki 3, ndo mjue mfumo gani unatumika peponi, maana huku duniani mnapambana kuwa sawa na wanaume.
 
Mwanamke kaumbwa kumsaidia kumtoa mwanaume upweke hawezi kuwa na bonus sawa na mwanaume
Aisee kwahiyo yeye hana chake huko peponi? Kuna haja gani ya yeye kuendelea kumtumikia mola Ili hali hajampa hazina yeyote baada ya maisha haya?
 
Aisee kwahiyo yeye hana chake huko peponi? Kuna haja gani ya yeye kuendelea kumtumikia mola Ili hali hajampa hazina yeyote baada ya maisha haya?
Chake si mke wetu tunaenda nae 😂😂😂
 
Mathayo 22:29
Yesu akajibu, akawaambia, Mwapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu.

Mathayo 22:30
Kwa maana katika kiyama hawaoi wala hawaolewi, bali huwa kama malaika mbinguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…