Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Qur'an 43:71..watu watapata watakacho,so mwanamke atapata atakachotaka...akitaka kong'oteo atapata,huelewi nini
Kwahiyo nikotaka bikira 80 napata ingawa tmeahidiwa bikira 72
 
Kwanza kama ulikua uko swafi huku duniani, means unampenda mumeo huyohuyo, hujqwah kucheat, hujui kula riba, unamsikiliza mumeo peponi unaenda na unakua mzuri zaidi kuliko hao mahurul'ain nakati ya hao wanwake watakaopewa wanaume peponi kama uko kundi hili unaweza kuendelea na mumeo wa duniani

Lakini kwa sababu sisi wanawake kusengenya sisi, kufitini sisi wengi wetu ndio tutakua kuni

Naruhusu kusahihishwa.
Bora usiende usiniwekee kiwingu kwa bikira 72
 
View attachment 2520162
Mbona tofauti yenu ndogo. Wewe umeweka avatar ya zezeta yeye kaweka ya kwake anayesubiria wanawake 72.
Bahati mbaya umevamia na kuandika usichokijua. Kuwa huru kuandika lolote siyo sababu ya kuonyesha ujinga na upumbavu mbele wa watu wazima.

NOTE: Ukikaa kimya tunaweza kukuomba ushauri kuliko ...!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui hata nacheka nn lol
 
Bora usiende usiniwekee kiwingu kwa bikira 72
mkuu, kama ulikua umeoa na ukaishi na mkeo kimsingi wa dini inavyotaka bas ukimuomba Mungu utakapokua peponi uendelee na mkeo wa duniani ruksa kila uombacho peponi unapewa without hesitation.
 
Kwahiyo mwanamke naye atapewa wanaume marijali 72 na mito ya pombe kama mwanaume alivyoahidiwa??
Qur'an haijataja taja idadi ya hao bikira,mwanamke atapata akitakacho, Qur'an 43:71
 
Back
Top Bottom