Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

Mtumishi halisi wa Mungu huwa hajitapi, hajisifu, wala kusema wengine vibaya.
Mtumishi halisi wa Mungu ni mnyenyekevu siku zote.
Mwalimu Mwakasege ni mtumishi halisi wa Mungu kwa wakati huu.
Safi kabsaaa mkuu waache hao went akili ndogo waendelee kudanganya . Ndo maana nkasema ukiona mtu anasema yeye Ni Bora kulko wengine katika mambo ya Mungu ujue hapo Kuna shda sana
 
Huyu si ndiye yule tapeli aliyesema Haiti wamepata maafa kwa sababu ya uchawi?

Na yeye tapeli mchawi tu.
Hujui lolote. Hakuna sehem alisema hait walipata maafa sababu ya uchawi.
Hata hivyo jarib kuhudhuria semina zake utagundua huyu nintofauti na watumiahi wengine.
 
Ndo maana nkakuambia unaakili ndogo Sana kwa hyo wewe ulitaka mtumishi awe masikini ndo uamini ni mtumishi wa Mungu?
Wapi nimesema nikitaka wawe maskini, hiv unaelewa lkn ninachozungumza ?
 
Ohooo ushabadili gia angani,

Hebu tuendelee na mjadala wa huyu tapel mwakasege
Acha kuita watu matapeli je wewe ni msafi kumzidi Mwakasege? Ndugu bora kukaaa kimya kuliko kuropoka, usiusemee moyo wa mtu please kaa kimya kama humjui Mwakasege Vizuri
 
Na pia mm hakuna mtu anweza nidanganya maana mm simfuati mtu namfuata Mungu tu
Umeshapotea hivo huwez kujua kuwa umepotea, hakuna Mungu anayemuhubiri mwakasege,

Ndio maana hamuwez kutofautisha Mungu wa kweli na huyo anayehubiriwa na kina mwingira,mzee wa upako, mwakasege

Mnaona wote sawa tu,
 
Mtumishi halisi wa Mungu huwa hajitapi, hajisifu, wala kusema wengine vibaya.
Mtumishi halisi wa Mungu ni mnyenyekevu siku zote.
Mwalimu Mwakasege ni mtumishi halisi wa Mungu kwa wakati huu.
Hata manabii waliojaa dar,mbeya wote ni wanyenyekevu , na hawajitapi

Ila twajua ni wajasiriamali
 
Unavyosema wajasiriamli unamaanisha Nini? Naona hujui hata unachosema
Ndo maana nkakuambia ulitaka wawe masikini maana wewe umesema ni wajasiriamali. Je unajua nini maana ya ujasiria Mali au umeandika tu kwakuwa ni neno unalolisikiaga
 
Hujui lolote. Hakuna sehem alisema hait walipata maafa sababu ya uchawi.
Hata hivyo jarib kuhudhuria semina zake utagundua huyu nintofauti na watumiahi wengine.
Nipe tofaut yake na wengine

Kwanza naomba nisaidie je anafata maagizo ya Yesu ? Kuhubiri injili na kuwabatiza ? Tuanzie hapo
 
Ndo maana nkakuambia ulitaka wawe masikini maana wewe umesema ni wajasiriamali. Je unajua nini maana ya ujasiria Mali au umeandika tu kwakuwa ni neno unalolisikiaga
Ujasiriamali wao ,ni kutumia kivuli cha dini

Ndio maana mnauziwa maji ya masafi ya 500 kwa 50000 mnaambiwa yana UPAKO
 
Umeshapotea hivo huwez kujua kuwa umepotea, hakuna Mungu anayemuhubiri mwakasege,

Ndio maana hamuwez kutofautisha Mungu wa kweli na huyo anayehubiriwa na kina mwingira,mzee wa upako, mwakasege

Mnaona wote sawa tu,
Dah Kuna watu Ni viazi Tena macherema kabsaaa yaani nakuelekeza hata huelewi unabaki kubishana tu. Nimekuambia mm sipotezwi na mtu maana mm simfuati mtu namfuata Mungu tu . Bado hujanielewa tu
 
Ujasiriamali wao ,ni kutumia kivuli cha dini

Ndio maana mnauziwa maji ya masafi ya 500 kwa 50000 mnaambiwa yana UPAKO
Yaani hujui hata unachosema nione hayo maji mwakasege anayouza 50000 maana unaona Kama nimjuaji wakati tunaojua tumetulia tu
 
Dah Kuna watu Ni viazi Tena macherema kabsaaa yaani nakuelekeza hata huelewi unabaki kubishana tu. Nimekuambia mm sipotezwi na mtu maana mm simfuati mtu namfuata Mungu tu . Bado hujanielewa tu
Umeshamkana mara hii mwakasege tena ? Kwahiyo humfati Mungu wa mwakasege?
 
Mpaka hapo hujajua tu, inaonesha kiasi gan mnaburuzwa

Ndio nyie mnaouziwa chumvi mnaambiwa ina UPAKO?
Dah kweli wewe kwenye mambo ya imani Ni totally empty. Nyamaza maana hujui ktu kabsaaa halafu hujui Kama hujui
 
Yaani hujui hata unachosema nione hayo maji mwakasege anayouza 50000 maana unaona Kama nimjuaji wakati tunaojua tumetulia tu
Nime generalize kwa wote, maana kila mmoja ana njia zake za kuwadaka apate HELA, nimekwambia mwakasege kama kweli ana hubir injili lazima turud kwenye BIBLE, je anafata kama yesu alivyoagiza?

Tuanzie hapa,wewe siunamuamini
 
Umeshamkana mara hii mwakasege tena ? Kwahiyo humfati Mungu wa mwakasege?
Dah jamaa unaakili fupi wewe. Mungu ni mmoja na Ni was wote hakuna Mungu wa mtu mmoja labda miungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…