Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Hahahaaaa ndio ulivyodanganywa?Dah jamaa unaakili fupi wewe. Mungu ni mmoja na Ni was wote hakuna Mungu wa mtu mmoja labda miungu
Kwani Kuna neno analitoa kwenye daftari au analitoa kwenye Bible?Nime generalize kwa wote, maana kila mmoja ana njia zake za kuwadaka apate HELA, nimekwambia mwakasege kama kweli ana hubir injili lazima turud kwenye BIBLE, je anafata kama yesu alivyoagiza?
Tuanzie hapa,wewe siunamuamini
Hizi chuki zenu zinawasaidia nini?I agree with you bora makanisa yanayoeleweka watu wanaangalia masilahi
Sasa naona umeanza kuwa muelewa kidogo ndo maana nkakuambia awali wewe chukua biblia yako Soma maneno ya Mungu ingia chumban kwako Muombe Mungu wako atakupa majibu yupi yuko sahihi na wakufuata maneno yakeHahahaaaa ndio ulivyodanganywa?
Nimewauliza inakuwaje hapa Dar kuna manabii zaidi ya 10000 na wote wanasema wametumwa na Mungu, lakin wanapingana kimafundisho?
Kweli wewe ni rahis kurubuniwa,Kwani Kuna neno analitoa kwenye daftari au analitoa kwenye Bible?
Hawa wamejaa chuki binafsi, biblia yenyewe imesema tusiende kuabudu mikono mitupu...halafu wanataka wasiwewanatoa sadaka kanisani...Kwani Kuna neno analitoa kwenye daftari au analitoa kwenye Bible?
Awabatize hapo ni kanisani ?Kweli wewe ni rahis kurubuniwa,
Hujasoma hata shetan alitumia maandiko?
Kwan hawa manabii waliojaa hapa tz wote si wanatumia BIBLIA kuibia watu?
Sasa unashangaa nini mwakasege kutumia biblia?
Yule ni mjanjamjanja
Agizo la Yesu linasema mkahubiri injiri na MUWABATIZE, yeye anahubiri injili anawabatiza hao watu na kuwapeleka wapi?
HAPO UTAELEWA HIZO SEMINA NI KICHAKA CHAKE NA YEYE KUPIGA HELA SIO LAZIMA AFANANE NA KINA MZEE WA UPAKO,AU GWAJIMA
HAO MANABII, NA KINA MWAKASEGE WANALIPIGA VITA AGANO LA KALEHawa wamejaa chuki binafsi, biblia yenyewe imesema tusiende kuabudu mikono mitupu...halafu wanataka wasiwewanatoa sadaka kanisani...
Huku ndiko kuangamia kwa kukosa maarifa
Sasa anawahubiria injili bila kuwapa wito wakumfata YESU kwanjia ya ubatizo? Injili gani hiyo, hata mitume wa Yesu hawakufanya hivoAwabatize hapo ni kanisani ?
Kinachokusumbua wewe kumbe hujui kutofauti Kati ya semina/mkutano na dhehebu au mahali mtu anaposaliAwabatize hapo ni kanisani ?
Wewe AROON tunakujua ni Mfuasi wa Bi Hellen Geroud White.Hata manabii waliojaa dar,mbeya wote ni wanyenyekevu , na hawajitapi
Ila twajua ni wajasiriamali
Hizo semina anahubiri Nini ? Siumesema injili, kwahiyo huwa anahubiri anawaacha watu hivo hivo ?Kinachokusumbua wewe kumbe hujui kutofauti Kati ya semina/mkutano na dhehebu au mahali mtu anaposali
Hilo neno la kutokuingia kwenye nyumba ya Mungu mikono mitupu liko kwenye agano gani?HAO MANABII, NA KINA MWAKASEGE WANALIPIGA VITA AGANO LA KALE
LAKINI WAKIFIKA KWENYE MATOLEO WANAKIMBILIA AGANO LA KALE hasa
Malaki 3:8-11
Agano la kale , wana wa israeli waliambiwa hivo ,Hilo neno la kutokuingia kwenye nyumba ya Mungu mikono mitupu liko kwenye agano gani?
Kumbe ni mfuasi was binaadamu? Kijana unatakiwa uwe mfuasi wa Mungu syo binaadamu na ndo kinachokusumbua kichwa.Wewe AROON tunakujua ni Mfuasi wa Bi Hellen Geroud White.
Kwa Mawazo yako unafikiri kila anayejiita MSABATO ndiye mtumishi halisi wa Mungu.
Sifikiri hivo, mimi nipo free kuhoji, hata wachungaji wananijua huwa siburuzwi, nipo tayar kutoka nje ya iman nisiyoiamini inayoleta mashakaWewe AROON tunakujua ni Mfuasi wa Bi Hellen Geroud White.
Kwa Mawazo yako unafikiri kila anayejiita MSABATO ndiye mtumishi halisi wa Mungu.
Hahaha ndio ulivyodanganywa?Kumbe ni mfuasi was binaadamu? Kijana unatakiwa uwe mfuasi wa Mungu syo binaadamu na ndo kinachokusumbua kichwa.
Sasa wewe una Mashaka gani na Mwakasege ?Sifikiri hivo, mimi nipo free kuhoji, hata wachungaji wananijua huwa siburuzwi, nipo tayar kutoka nje ya iman nisiyoiamini inayoleta mashaka
Kwani wewe unaye mfuata Ellen G. White ni Mungu ?Kumbe ni mfuasi was binaadamu? Kijana unatakiwa uwe mfuasi wa Mungu syo binaadamu na ndo kinachokusumbua kichwa.
Ila wewe jamaa unanifurahisha ujue, hivi kuhoji uhalali wa hawa watu wanaofanya mambo kwa kivuli cha watumish wa Mungu ,ni kukwazwa?Sasa wewe una Mashaka gani na Mwakasege ?
Kumbuka yeye ni binadamu na sio mkamilifu kama Yesu.
Wewe Mwalimu Mwakasege amekukwaza kitu gani ?