Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

Dah jamaa unaakili fupi wewe. Mungu ni mmoja na Ni was wote hakuna Mungu wa mtu mmoja labda miungu
Hahahaaaa ndio ulivyodanganywa?

Nimewauliza inakuwaje hapa Dar kuna manabii zaidi ya 10000 na wote wanasema wametumwa na Mungu, lakin wanapingana kimafundisho?
 
Nime generalize kwa wote, maana kila mmoja ana njia zake za kuwadaka apate HELA, nimekwambia mwakasege kama kweli ana hubir injili lazima turud kwenye BIBLE, je anafata kama yesu alivyoagiza?

Tuanzie hapa,wewe siunamuamini
Kwani Kuna neno analitoa kwenye daftari au analitoa kwenye Bible?
 
Hahahaaaa ndio ulivyodanganywa?

Nimewauliza inakuwaje hapa Dar kuna manabii zaidi ya 10000 na wote wanasema wametumwa na Mungu, lakin wanapingana kimafundisho?
Sasa naona umeanza kuwa muelewa kidogo ndo maana nkakuambia awali wewe chukua biblia yako Soma maneno ya Mungu ingia chumban kwako Muombe Mungu wako atakupa majibu yupi yuko sahihi na wakufuata maneno yake
 
Kwani Kuna neno analitoa kwenye daftari au analitoa kwenye Bible?
Kweli wewe ni rahis kurubuniwa,

Hujasoma hata shetan alitumia maandiko?

Kwan hawa manabii waliojaa hapa tz wote si wanatumia BIBLIA kuibia watu?

Sasa unashangaa nini mwakasege kutumia biblia?

Yule ni mjanjamjanja

Agizo la Yesu linasema mkahubiri injiri na MUWABATIZE, yeye anahubiri injili anawabatiza hao watu na kuwapeleka wapi?

HAPO UTAELEWA HIZO SEMINA NI KICHAKA CHAKE NA YEYE KUPIGA HELA SIO LAZIMA AFANANE NA KINA MZEE WA UPAKO,AU GWAJIMA
 
Hawa wamejaa chuki binafsi, biblia yenyewe imesema tusiende kuabudu mikono mitupu...halafu wanataka wasiwewanatoa sadaka kanisani...

Huku ndiko kuangamia kwa kukosa maarifa
 
Awabatize hapo ni kanisani ?
 
HAO MANABII, NA KINA MWAKASEGE WANALIPIGA VITA AGANO LA KALE

LAKINI WAKIFIKA KWENYE MATOLEO WANAKIMBILIA AGANO LA KALE hasa

Malaki 3:8-11
 
Awabatize hapo ni kanisani ?
Sasa anawahubiria injili bila kuwapa wito wakumfata YESU kwanjia ya ubatizo? Injili gani hiyo, hata mitume wa Yesu hawakufanya hivo

TWENDE TARATIBU ,UTAGUNDUA HIZO SEMINA NI MRADI WAKE WAKUPIGA HELA,
 
Hata manabii waliojaa dar,mbeya wote ni wanyenyekevu , na hawajitapi

Ila twajua ni wajasiriamali
Wewe AROON tunakujua ni Mfuasi wa Bi Hellen Geroud White.
Kwa Mawazo yako unafikiri kila anayejiita MSABATO ndiye mtumishi halisi wa Mungu.
 
Kinachokusumbua wewe kumbe hujui kutofauti Kati ya semina/mkutano na dhehebu au mahali mtu anaposali
Hizo semina anahubiri Nini ? Siumesema injili, kwahiyo huwa anahubiri anawaacha watu hivo hivo ?
 
HAO MANABII, NA KINA MWAKASEGE WANALIPIGA VITA AGANO LA KALE

LAKINI WAKIFIKA KWENYE MATOLEO WANAKIMBILIA AGANO LA KALE hasa

Malaki 3:8-11
Hilo neno la kutokuingia kwenye nyumba ya Mungu mikono mitupu liko kwenye agano gani?
 
Wewe AROON tunakujua ni Mfuasi wa Bi Hellen Geroud White.
Kwa Mawazo yako unafikiri kila anayejiita MSABATO ndiye mtumishi halisi wa Mungu.
Kumbe ni mfuasi was binaadamu? Kijana unatakiwa uwe mfuasi wa Mungu syo binaadamu na ndo kinachokusumbua kichwa.
 
Sifikiri hivo, mimi nipo free kuhoji, hata wachungaji wananijua huwa siburuzwi, nipo tayar kutoka nje ya iman nisiyoiamini inayoleta mashaka
 
Hahaha ndio ulivyodanganywa?

Mimi ni biblia na biblia tu,

Na hapa nataka twende taratibu ili tuanze kushusha maneno ya MUNGU ,nataka ufahamu kuhusu huyo mwakasege na wenzake
 
Sifikiri hivo, mimi nipo free kuhoji, hata wachungaji wananijua huwa siburuzwi, nipo tayar kutoka nje ya iman nisiyoiamini inayoleta mashaka
Sasa wewe una Mashaka gani na Mwakasege ?
Kumbuka yeye ni binadamu na sio mkamilifu kama Yesu.
Wewe Mwalimu Mwakasege amekukwaza kitu gani ?
 
Kumbe ni mfuasi was binaadamu? Kijana unatakiwa uwe mfuasi wa Mungu syo binaadamu na ndo kinachokusumbua kichwa.
Kwani wewe unaye mfuata Ellen G. White ni Mungu ?
Mbona vitabu vyake mnavisoma na kuvigawa kuliko Biblia ?
 
Sasa wewe una Mashaka gani na Mwakasege ?
Kumbuka yeye ni binadamu na sio mkamilifu kama Yesu.
Wewe Mwalimu Mwakasege amekukwaza kitu gani ?
Ila wewe jamaa unanifurahisha ujue, hivi kuhoji uhalali wa hawa watu wanaofanya mambo kwa kivuli cha watumish wa Mungu ,ni kukwazwa?

Sijahoji ukamilifu wake maana hata manabii wa kale kina musa,eliya hawakuwa wakamilifu ila huduma zao zilikuwa za kweli ,

Huyu mwakasege nimehoji uhalali wa huduma yake, je anafanya kwa kutumwa na kuwasaidia watu wamuone YESU au anafanya kwa maslahi yake?

Maana mimi nahoji ,sio mwakasege tu, hata kanisan kwangu nahoji na nishakosana sana na wachungaji,
 
Back
Top Bottom