Je, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina mamlaka juu ya Spika?

I thought tulishaagana, labda aje mwingine kukuelimisha.

Maana yake kifungu cha sheria/katiba kipo hukitaki, na hata ukiulizwa maswali ili utetee hoja yako kuyajibu huwezi.
 
Sasa kama ndio hivyo ibara ya 71(1)(e) ya katiba ya JMT inasemaje? Literal translation ceases ina maanisha nini? Je ibara ya 67(1)(b) inasemaje ? Literal translation?
 
I thought tulishaagana, labda aje mwingine kukuelimisha.

Maana yake kifungu cha sheria/katiba kipo hukitaki, na hata ukiulizwa maswali ili utetee hoja yako kuyajibu huwezi.
Hawa ndio watu ukikagua vyeti vyake ana masters kichwani amejaza makamasi. Yaani ibara ya 71(1)(e) inahitaji translation zaidi ya literal?
 
I thought tulishaagana, labda aje mwingine kukuelimisha.
Hapo ndio mnapoangukiaga pua mahakamani.

Ubunge wa Lissu ilikuwa hivi hivi wakati anaambiwa aweke zuio kwanza la mmbunge kuapishwa, akadai yeye mgogoro wake upo na speaker.

Kilichotokea we all know.

Haya asante kwa shule ila itakusaidia mbeleni kuelewa written law is primary, precedent is secondary kwenye usikilizaji wa kesi; usipojiandaa inakula kwako.

Ngoja uone huu mziki utakavyochezwa kisheria mbele ya kina Kibatala uone watu wanavyobakiza ubunge wao.

Watch this space
 
Alipoenda kutibiwa India akakaa sana huko nina wasiwasi na whahindi walichofanya, kuna fyuzi ziling'olewa kwa huyu baba. Yaani hana hata aibu. Lakini haya mambo yana mwisho

Bora hata lingekufa hukohuko
 
Sasa kama ndio hivyo ibara ya 71(1)(e) ya katiba ya JMT inasemaje? Literal translation ceases ina maanisha nini? Je ibara ya 67(1)(b) inasemaje ? Literal translation?

Ndio maana nikasema ‘judicial creativity’ kwenye kusikiliza kesi sio ‘literal rule’ tu inatumika kwenye kuamua depending on the lawyers argument katika harakati zake kushawishi mahakama.

Nimetoa mfano hapo wa ‘manifest absurdity’ kama sheria inaweza kuwa na tafsiri mbili ni haki kuchagua upande wa tafsiri unaokidhi upande wako.

Kuna mischief rule, kuna purposive approach; etc. Hizo ndio sababu unakuta nchi ambazo katiba zao zina miaka zaidi ya 5000, pamoja legal scholars kibao walioandika extensively kuhusu Law na wanasheria waliobobea kama washauri wa viongozi bado wanafunguliana kesi za constitution kutaka kujua tafsiri ya katiba pale ambapo wanadhani viongozi wao maamuzi waliyochukua hawana mamlaka nayo.

Kutokana na inconsitency ya katiba yetu kuhusu definition ya mmbunge na nani anajukumu la kuamua mtu ni mmbunge au la; there’s so much vagueness.

Nadhani mpaka hapo utaona kwanini nikasema ilo swala ni la wanasheria it’s not straight forward kama mnavyoamua kuchagua kipande cha katiba na kudhani that is conclusive in justifying your position.
 
Hiyo paragraph ya ajira nimeicopy kwenye comment yako. Acha usahaulifu.
 
Ni hivi mimi nina mengi ya kusema kutokana na katiba hiyo hiyo ubunge ni ajira na katiba ina mambo ya ajira ambayo yanaweza irudia maamuzi ya CDM kuwa ni unconsitutional.

Hiyo paragraph niliandika mimi post #169 inawezekama uliquote post mbili kwenye kuifuta yangu ukaacha paragraph.

Ni hivi katiba au sheria inapotoa maelezo ya kupata ajira au kushika nafasi za nchi kama 22 (2) kwenye na 23 (1 and 2) ina maana taasisi yeyote aiwezi weka kanuni za uendeshaji wao kinyume na katiba.

CDM can argue hawana kanuni hizo na it’s ok kutotambua matokeo kama wameamua iwe ivyo as a group na kususia nafasi zingine.

But then kama kuna baadhi yao wameamua kujitokeza na kuchukua hizo nafasi ni haki yao ya kikatiba kufanya ivyo kwa mujibu wa katiba kuwazuia itakuwa kinyume na sheria.
 
Pole sana kwa kwenda shule alafu ukakosa elimu. Yaani ulienda shule lakini haukupata elimu. Maana huwezi kutumia njia zote za kutafasiri sheria kwa wakati mmoja. Kawaida kutafasifiri sheria mtu unaanza na literal of gramatical, kama maneno yana plain meaning hutumii njia nyingine kama Golden rule or mischief rule.

Yaani kuelewa ibara ya 71(1)(e) ina maanisha nini mpaka uwe mwanasheria? Pamoja na plain meaning iliyopo?
 
Ok
 
Kusema mmbunge kuacha kuwa mwanachama?

Is it the same meaning na kusema ‘mmbunge atakapovuliwa uanachama’.

What was the purpose then ya 83 (1 and 2) kusema mahakama ndio itaamua nafasi ya ubunge kama imekoma mtu akishachukua hiyo nafasi?
 
Ili Mbunge aweze kupoteza nafasi yake Chama kilichomdhamini kinapaswa kutaarifu Bunge na Bunge litaitaarifu Tume ya Uchaguzi.

Kuna ka mchakato kidogo ambako bado kana mpa mamlaka Spika ya Kujitanua katika nafasi yake.
 
Kusema mmbunge kuacha kuwa mwanachama?

Is it the same meaning na kusema ‘mmbunge atakapovuliwa uanachama’.

What was the purpose then ya 83 (1 and 2) kusema mahakama ndio itaamua nafasi ya ubunge kama imekoma mtu akishachukua hiyo nafasi?
Unajua maana ya prooceding au umevamia chaka? Unajua maana ya mtu kupoteza sifa za kuwa mbunge? Alafu ndio unasumbua watu kuwa umesoma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…