denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
I thought tulishaagana, labda aje mwingine kukuelimisha.Ndugu mahakamani kwenye kutafsiri sheria (kesi yoyote ile) mwongozo mkuu wa jaji kwenye kusikiliza ni written law kwanza inasemaje, sio precedent.
Kwa ivyo kama kwenye kesi husika kuna sheria inayotoa mwongozo au katiba inatoa maelezo (written law) ndio itakayo tumiwa kwanza kwenye kusikiliza argument za kesi.
2. Kama hakuna sheria ndio precedent itatumiwa kusikiliza kesi.
3. Whichever way iliyotumika ku argue case kwenye kuamua kama mazingira ya kesi yanafanana ndio precedent itatumika kwenye decision making.
Usichanganye mambo ukidhani kukishakuwa na case law, basi written law aitumike tena mahakamani that’s not the case.
Maana yake kifungu cha sheria/katiba kipo hukitaki, na hata ukiulizwa maswali ili utetee hoja yako kuyajibu huwezi.