Je, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina mamlaka juu ya Spika?

Nimesoma heading tu, nachangia hili:

Tuna miaka kadhaa sasa tangu awamu hii kipenzi cha wanyonge iingie madarakani ambapo katiba inakanyagwa vyovyote vile na hawa wandewa ili mradi tu inawafurahisha wao.
 
Ndugai ni fala, anaamini ile Sheria ya kutoshitakiwa waliyojitungia yeye, Magufuli na Ibrahim Juma ndo inamfanya awe juu ya Katiba, Fala!
 
Kumbe na taarifa za Mwambe, Silinde, na Lijuakali nazo hazikufika?!

Mnaimba tu ngonjera.
Narudia tena... serikali haifanyi kazi kwa matamko. Speaker anapelekewa taarifa na Tume, kama tume haikupeleka taarifa, unataka Spika afanyaje? Na kama Tume haikupeleka taarifa, nendeni mkaishitaki tume.
 
Mnaniudhi sana kama mnajua yote haya ila hamna ujasiri wa kuwaburuza watu hawa mahakamani.

Taifa hili linaponzwa na wasomi wasaliti, wanaojua mambo yanavyopaswa kuwa ila hawako tayari kuyatetea
 
Wala hata sio kwenda INDIA anamuiga mzee wa Muhimili uliojichimbia chini.
tindo unao ushahidi wowote kuwa JPM kama rais ameikanyaga katiba kama Spika anavyofanya? Nipe kifungu cha katiba alichokivunja.
 
Katiba is on sabbatical leave.
 
Nakuuliza, ndio umeamka leo? Toka walivyoanza na sisi tukawa tunapiga kelele nyie si ndio mlikuwa mnasema nchi inayoonyeshwa? Toka lini genge la wezi wa kura wakaoogopa katiba?
Ulishudia kwa macho yako kura zinaibiwa? Au picha za wahuni wa Twitter ndio ushahidi wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…