Je, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina mamlaka juu ya Spika?

Ndugai ana KINGA inayomlinda hivyo anaweza kufanya lolote atakalo hata iwe kwa kukiuka Katiba kwa Makusudi
 
Bora uwe na kichwa kigumu kuliko kuwa mwepesi mwepesi tu. Ukweli ndio huo, kama taarifa rasmi hazijafika kwa Ndugai, hawezi kutowatambua. Inakera lakini ndio ukweli
... kwani taarifa kwamba hao viti maalumu 19 wameteuliwa na chama chao (Chadema) Spika alipewa na nani? Spika na genge lake wafanye uhuni kuwateua na kuwaapisha kivyao ila taarifa kwamba uanachama wao umetenguliwa wapewe na chama ambacho wamekihujumu? Kabisa huoni upumbavu hapo?
 
Akurud nistue
 
Ntajibu kwa kifupi maana unazungumza mambo ambayo for the most part it appears una limited knowledge nayo, so do I; our difference walau mimi naelewa kidogo changamoto zake kwa sababu napitia vitabu vya sheria ndio maana naona ni swala la wanasheria zaidi.

Kwanini? Nimekupa mifano kadhaa ambayo katiba inatoa more than one meaning ya nani anafaa kuwa mbunge na jinsi ubunge unavyoweza potea ‘manifest absurd’ in other words kutokana na circumstances za kesi mwanasheria anaweza chagua meaning anayoitaka yeye ndio kama nyie mnavyofanywa mkidhani mtu akifukuzwa uanachama ndio ukomo wa nafasi yake ya ubunge; wakati majaji wana reasoning zao tofauti na mnavyofikiri, that is if you know anything about ‘The Golden Rule’

On the same token ya 71 (e) pia kuna contradiction it’s not clear maana inasema mbunge akiacha aisemi mmbunge akifukuzwa kuna ‘literal rule’ contradiction, na 83 ina justify kwamba kufukuzwa chama (kama ajatoka mwenyewe kama 71e inavyotamka) mmbunge anaweza challenge na mahakama ndio itakayo amua.

Ni hivi mimi nina mengi ya kusema kutokana na katiba hiyo hiyo ubunge ni ajira na katiba ina mambo ya ajira ambayo yanaweza irudia maamuzi ya CDM kuwa ni unconsitutional.

Put it this ili swala ni la lawyers sio wachangiaji wa JF tia maji tia maji kwenye interpretation ya katiba; sio straight forward kama unavyofikiria.

Good Morning/night wherever you are, signing off.
 
Ni utaratibu wa kisheria na kutunza kumbukumbu
Sijui taarifa tume, sijui taarifa kwa spika ili iweje?
Mahaba ya job na halima kwanini kuyaingilia?
Watu wamehongana ubunge halafu eti uwaingilie,, ili iweje?
Waachwe wale bata.
 
Mahakama ilishaamua issue kama hii mwenyewe umekiri kule juu, nashangaa unakuja na maneno mengi humalizi, kusoma kwingi sheria na vitabu vyake sio defence myfriend, unaweza soma vitabu ishirini ukishindwa kutafsiri kifungu kimoja tu umeliwa, hiyo ndio sheria.

Usinichanganye kundi moja na wewe kwenye hili, kama hujui ni wewe sio mimi.

Suala la mwanasheria kuchagua meaning hilo ni kawaida, lakini mwishowe judge ndie huamua, na kwenye hii issue unayoilazimisha iwe unavyotaka wewe ilishaamuliwa yenye kufanana na hii, ndio maana ya precedent, hapa ndio maana nakuona mbishi tu.

Take your time jifunze zaidi, hasa kwenye KUTAFSIRI, usiishie tu kwenye kusoma vitabu vingi, sheria sio hadithi.

Halafu sijui nani alikwambia huku JF hakuna hao lawyers "wabobevu" unaowataka, jifunze kufikiri nje ya box.

Have a gud day too.
 
Ni utaratibu wa kisheria na kutunza kumbukumbu
Unajua fika cdm haitambui hata huo uteuzi wa akina halima, haitambui pia ushindi wa ndugai.
Kumwandikia barua ndugai kuhusu akina halima ili kutengua ubunge upi.

Itoshe kuwa wamechukua hatua ya kuwafukuza chamani na kwamba hivi sasa wako huru kujiunga na chama chochote.
Nadhani hizo ndio kumbukumbu muhimu za kutunzwa.
 
Ni hivi mimi nina mengi ya kusema kutokana na katiba hiyo hiyo ubunge ni ajira na katiba ina mambo ya ajira ambayo yanaweza irudia maamuzi ya CDM kuwa ni unconsitutional.





Cdm haijamfukuza mtu ubunge.
Ajira yao wamewaachia ,na wala cdm haijasema inataka wafukuzwe bungeni.
 
Kwanza nianze kwa kukuuliza. Wewe ni nani, 'Chagu wa Malunde?
Katika kuanzisha hii mada ulisoma mistari hiyo niliyo'quote' hapo juu, au umejiandikia tu.

Kutokana na unayoandika hapa mtandaoni, inaonyesha kwamba leo umejisahau kidogo, au hukujua mhusika wa hayo anayoyafanya Ndugai.
Nduga ni kimbwa tu, mhusika huwezi kumuuliza hayo uliyojisahau na kuyauliza hapa.
 
Stupid and insane person.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…