Je, Kiusalama na Kiulinzi hiki ninachokiona sasa huku nchini Puerto Rico si hatari kwa Rais wetu?


You are wrong mkuu, hii ID yangu mimi Joseverest kama Joseverest na haina uhusiano wowote na ile ya The Bold.. Kumtetea The Bold kuhusu Ban kwani inamaanisha mimi ndio The Bold?? Hauko sahihi na ninakupinga kwa 100% zilizotukuka
 
Usingetaja uliko unadhani usingejibiwa? Au ungejibiwa usingeyaelewa hayo majibu?

Wewe lazima ni MHAYA
Raia wenyewe wa Tanzania ndio kama hawa, kwa akili hizi mnategemea nini!?

Mungu atusaidie Rais anatawala maiti,
 
Mambo ya usalama mimi siyajui nakumbuka wakati wa Nyerere kulikua hakuna mambo haya yule alikua Raisi kipenzi cha watu na alikua anajumika nao bila silaha kali. Sijui hawa wa sasa nini kimetokea

Nyerere ilikua kiboko mkuu..
 

Attachments

  • IMG-20170702-WA0037.jpg
    62 KB · Views: 38
Mkuu kwa hili naomba kupingana na wewe,kuna nadharia mbili juu ya Mkuu joseverest....moja ni mtu wa karibu na admin/mod wa humu Jf na mbili ni mtu zaidi ya mmoja,ila ya kwanza inahold much water!
 
Puerta Rico sio pa kujisifia ukienda!
Kwa ishu ulioongea, desperate times call for desperaye measures!
Tupo ktk vita na mafisadi na watu wenue nguvu sana! Kinga ni bora kuliko tiba!
Binafsi sijaona ulinzi wowote pale!! Ulinzi wa j.f. kened unajuA ulikuaje??
 
ulichosema kina ukweli na hasa kwa mazingira ya sasa mtu anaweza kujilipua akamuua baba mwenyenyumba binadamu aaminiki kwa kiasi hicho.
Why now?? Ina maana hapendwi na wananchi au?
 
Ulinzi wa rais huhusisha vyombo mbalimbali vya ulinzi. Hao wanaoshika silaha/ walinzi wanaooneka ni sehemu tu ya ulinzi huo
 
Puerta Rico sio pa kujisifia ukienda!
Kwa ishu ulioongea, desperate times call for desperaye measures!
Tupo ktk vita na mafisadi na watu wenue nguvu sana! Kinga ni bora kuliko tiba!
Mkuu hapo katumia sanaa ya kugha kufikisha ujumbe
 
Kweli mkuu..nipo simple sana, huwa sitaki kujiingiza malumbanoni na mtu kisa kitu kidogo tu kama hiki, ndio maana namwambia poa au sawa au muda mwingine unakaa kimya..ni Jibu tosha

Thanks Mkuu
Uko vizuri sana mkuu, nakukubali sana [emoji109]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..Wala vumbi( in Nyani Ngabu's Voice)
 
Roho ya korosho hivyo inaleta umasikini. Mtu kuishi Puerto Rico ni ajabu? kwani huko hawaishi watu? au unafikiri kuishi nje ya TZ unaishi bure? Ni maisha tu kadiri yamfuko wako. Waweza kuwa TZ na ukawa na maisha bora kuliko anayeishi Puerto Rico au Cuba au Canada. Haina maana kuishi kule ananeemeka zaidi bure, la hasha. Sikuona haja ya phrase hiyo. La hukubahatika kama unaona ni bahati basi ni bahati yake usikasirike labda ya kwako iko njiani. Kuwa tu mpole ndugu.
 
Teh teh teh nimekuelewa mkuu,Risasi haina mbambe,ikikukuta,mawili,tukuzike au tuje wodini kukujulia hali,Kibiti si mchezo

Nashukuru kwa kunielewa Mkuu kwani ukiona Mtu anamuelewa vizuri sana GENTAMYCINE hasa kutokana na ' Threads ' zake au ' posts ' zake humu JF basi jua ya kwamba hata uwezo wake wa ' akili ' ni mkubwa na kwamba ana IQ iliyotukuka na wale wote wasionielewa humu ni ' Opposite ' ya hiko nilichokiandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…