Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Yes sure kabisa, Bi Mkubwa mzee, now days unawapigia kama nipo nyumbani tuu.Watsap call zinapunguza gharama kuwapigia ndugu na jamaa waliopo nje ya Tanzania..
Na upata wasaa wakuona pia
Doh
Ni upuuzi kabisa, kwani data inayotumika inapatikana bure? Si tunanunua bundle..Ndugulile ulionekana una akili lakini ghafla umekabidhi ufahamu na kubaki na ujinga.
Hili jambo unalosema nililihisi wakati wa kampeni 2020 kule Kigamboni. Nilihisi masikio yangu hayako sawa. Yalikuwa yanasikia impossibilities. Ndungulile alitumbuliwa kwa kusema ukweli kuhusu corona. Aliyemtumbua akampongeza kwa kuwa mkweli!!! Nikajua tu kuna walakini.Na akasindikizwa na sifa ya kuwa Ndungulile ndiye aliyepigania Kigamboni kuwa wilaya. Nikachoka!Ndugulile ulionekana una akili lakini ghafla umekabidhi ufahamu na kubaki na ujinga.
Kumbe ni bora yule jamaa angemwangusha kule kigamboni!Ndugulile ulionekana una akili lakini ghafla umekabidhi ufahamu na kubaki na ujinga.
Yaani serikali ya wanyonge inaskitika kuwa wanyonge wanatumia gharama ndogo za mawasiliano hivyo wanyonge hao Bora kuwazuia kuwasiliana kwa sababu wanyonge ndy chanzo cha mapato ya serikali? Mi nildhani kazi ya serkali ni kufanya unafuu wa maisha kwa wanyonge wake? Wapiga kura Wanaelewa haya Waziri ayazungumzayo?? Wapiga kura amkeni wanasiasa wanawatumia!!!Siku chache zilizpita Kampuni za Simu za Tanzania; Vodacom, Tigo na Airtel n.k ziliongeza bei za vifurushi na kusabisha taharuki kwa watu wengi kwa bei hizo zilipanda maradufu.
Serikali na Taasisi zake zilisubiriwa sana kuja kuzungumzia suala hilo, badala yake TCRA ikaja na chapisho la kuonesha kuwa makato cha simu kutoka 2018 hadi sasa yamepungua kwa kiasi fulani
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Zainab Chaula alisema wizara inafahamu mabadiliko hayo na inaendelea kuyafanyia kazi. “Tunafahamu na tunaendelea kufanyia kazi,” aliongeza Dk Chaula
Leo, Serikali kupitia kwa Waziri mwenye dhamana ya Taknolojia anasema wanaandaa mfumo wa kuzuia watu kupiga simu kwa kutumia WhatsApp kwani wamegundua inahusika katika kupunguza mapato ya simu za kawaida kwa Serikali
Je, Serikali ihusika katika kupandisha bei ya vifurushi vya simu ikiwa ni njia moja wapo ya kupunguza watu wanaotumia mtandao?
Pamoja na seriakli kudai kukosa pato lakini mimi nadhani huenda wameshindwa kudukua mawasiliano ya hizo simu hivyo wanatafuta sababu. Mambo mengi wanayodhani ni siri yanavuja na kuingia kwenye mitandao hivyo wanatafuta sababu. Hii serikali ina wasiwasi sanaNi upuuzi kabisa, kwani data inayotumika inapatikana bure? Si tunanunua bundle..
Waje na takwimu za vifurushi vya internet kati ya 2012 na 2018.
Serikali inatakiwa kuajiri watu wenye mbinu na ujuzi wa kuongeza mapato. Kushindana na Internet naweza fananisha na mtu mwenye kichaa. Watumiaji hutafuta ubora na nafuu ya bei, kama unatoa huduma isiojikita kwenye attribute hizi mbili nashauri ukafunga biashara i.e TCRA.Siku chache zilizpita Kampuni za Simu za Tanzania; Vodacom, Tigo na Airtel n.k ziliongeza bei za vifurushi na kusabisha taharuki kwa watu wengi kwa bei hizo zilipanda maradufu.
Serikali na Taasisi zake zilisubiriwa sana kuja kuzungumzia suala hilo, badala yake TCRA ikaja na chapisho la kuonesha kuwa makato cha simu kutoka 2018 hadi sasa yamepungua kwa kiasi fulani
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Zainab Chaula alisema wizara inafahamu mabadiliko hayo na inaendelea kuyafanyia kazi. “Tunafahamu na tunaendelea kufanyia kazi,” aliongeza Dk Chaula
Leo, Serikali kupitia kwa Waziri mwenye dhamana ya Taknolojia anasema wanaandaa mfumo wa kuzuia watu kupiga simu kwa kutumia WhatsApp kwani wamegundua inahusika katika kupunguza mapato ya simu za kawaida kwa Serikali
Je, Serikali ihusika katika kupandisha bei ya vifurushi vya simu ikiwa ni njia moja wapo ya kupunguza watu wanaotumia mtandao?
Hii nchi kweli ni ya Wanyonge na inaongozwa na vichaa....!!!! Yaani 1 MB iuzwe Tshs 9/=? Mbona ni ghali sana? Hii nchi Tajiri(DONA KANTRI) kwanini inaendelea kumnyonya mwananchi mnyonge????GB 1 Kwa Tsh 9000 hiyo haipo.....!!! Tushawah nunua Tsh 500 Kwa mb 70 Ila sa hv tunanunua TSH 500 Kwa mb 500.... Hzo ni propaganda tu
Hapa ni mwananchi anazidi kufanywa MNYONGE wa kweli kwa kuzidi kunyanganywa UHURU WAKE, HAKI ZAKE NA DEMOKRASIA YAKE!!!Mwananchi anapofanywa adui