Je, kuna mkono wa Serikali katika kuongeza bei ya vifurushi? Serikali kuja na mfumo wa kudhibiti simu za WhatsApp

Je, kuna mkono wa Serikali katika kuongeza bei ya vifurushi? Serikali kuja na mfumo wa kudhibiti simu za WhatsApp

Aiseee agggghhhhh nahasira hapa na hawa Lumumba fc pumbaf zao yaani mbna wanataka tuishi kama mashetani jamani?

Kama vipi mitano tena!

Nadanganya wadau?
 
Aiseee agggghhhhh nahasira hapa na hawa Lumumba fc pumbaf zao yaani mbna wanataka tuishi kama mashetani jamani?

Kama vipi mitano tena!

Nadanganya wadau?
 
Watsap call zinapunguza gharama kuwapigia ndugu na jamaa waliopo nje ya Tanzania..
Na upata wasaa wakuona pia

Doh
Yes sure kabisa, Bi Mkubwa mzee, now days unawapigia kama nipo nyumbani tuu.

Nadhani wao hawataki kufikirisha akili; Measure yoyote inayowekwa huwa inakuwa advanced, hapo wangeweka namna kwamba ukitaka ku-opt hiyo service labda kuwe na Extra cost ambayo muhusika anaweza kuwa njia panda kufanya decision afanye chaguo gani; ila ku-block kabisa ni Upungufu wa Fikra kwa wataalamu.

Ni sawa na kusema kwamba, Kutokana na ununuaji magari daladala zinakosa soko, uzui uingizwaji wa Magari; The Best control bado huwa ina-preserve Technological advancement.

Lakini kwa hii; Kwa nn wataalamu wa TCRA wachache wasije hata Huku wakajifunza kwa nchi zilizoendelea? Angalau wapate measure nzuri za kitechnolojia??

Infact i know hapo watakwama sana; Kama ivi juzi tu waliwazimia, na VPN ikaweza kufanya bypass, nimetilia Mashaka Capability yao kwenye hili.

St. George, Bermuda
 
Ndugulile ulionekana una akili lakini ghafla umekabidhi ufahamu na kubaki na ujinga.
Ni upuuzi kabisa, kwani data inayotumika inapatikana bure? Si tunanunua bundle..

Waje na takwimu za vifurushi vya internet kati ya 2012 na 2018.
 
Serikali inayopenda kuvuna hata pale ambapo wao hawajapanda, ndivyo zinavyokuwaga
 
Ndugulile ulionekana una akili lakini ghafla umekabidhi ufahamu na kubaki na ujinga.
Hili jambo unalosema nililihisi wakati wa kampeni 2020 kule Kigamboni. Nilihisi masikio yangu hayako sawa. Yalikuwa yanasikia impossibilities. Ndungulile alitumbuliwa kwa kusema ukweli kuhusu corona. Aliyemtumbua akampongeza kwa kuwa mkweli!!! Nikajua tu kuna walakini.Na akasindikizwa na sifa ya kuwa Ndungulile ndiye aliyepigania Kigamboni kuwa wilaya. Nikachoka!

Hili ni gumu kueleweka. Hapa wengi wanatoka kapa. Tafakuri tunduizi( Mama Amoni upo?) Naibu waziri alitumbuliwa kwa kusema ukweli. Anapigiwa kampeni ya kufa mtu. Anatajwa kuwa msema ukweli! Anateuliwa tena Baraza la mawaziri. Sasa waziri kamili kwa kuundiwa wizara mpya! Kuelewa hili lazima uwe ulifuzu vizuri somo la falsafa ya udikteta!

Mwingine aliyepigiwa kampeni hatari ni Gambo. Alitumbuliwa kwa sababu ya kupika majungu. Akapata ubunge kwa majungu. Ndiye alisema Arusha Mjini hakuna mwakilishi. Yupo anavurugana na rc na dc. Anawambia ni watoto tu! Watalijua kesho akiwa KM wa chama! Nairobi si machinjioni.

Ndungulile ni mhanga wa falsafa tajwa. Kanasa. Amri moja tu. Tawire. Amuulize Bashiru asiyejua bookkeeping wala commerce anahakiki mali za chama. Chambo. Kuhisiwa cuf ikawa added advantage kuwa KM. Ndoano ikavua! KM wa muda mfupi kuliko wote. Ndungulile bye bye!
 
Haya mambo inabidi watu wafikirie mara mbili mbili.
 
Siku chache zilizpita Kampuni za Simu za Tanzania; Vodacom, Tigo na Airtel n.k ziliongeza bei za vifurushi na kusabisha taharuki kwa watu wengi kwa bei hizo zilipanda maradufu.

Serikali na Taasisi zake zilisubiriwa sana kuja kuzungumzia suala hilo, badala yake TCRA ikaja na chapisho la kuonesha kuwa makato cha simu kutoka 2018 hadi sasa yamepungua kwa kiasi fulani

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Zainab Chaula alisema wizara inafahamu mabadiliko hayo na inaendelea kuyafanyia kazi. “Tunafahamu na tunaendelea kufanyia kazi,” aliongeza Dk Chaula

Leo, Serikali kupitia kwa Waziri mwenye dhamana ya Taknolojia anasema wanaandaa mfumo wa kuzuia watu kupiga simu kwa kutumia WhatsApp kwani wamegundua inahusika katika kupunguza mapato ya simu za kawaida kwa Serikali

Je, Serikali ihusika katika kupandisha bei ya vifurushi vya simu ikiwa ni njia moja wapo ya kupunguza watu wanaotumia mtandao?

Yaani serikali ya wanyonge inaskitika kuwa wanyonge wanatumia gharama ndogo za mawasiliano hivyo wanyonge hao Bora kuwazuia kuwasiliana kwa sababu wanyonge ndy chanzo cha mapato ya serikali? Mi nildhani kazi ya serkali ni kufanya unafuu wa maisha kwa wanyonge wake? Wapiga kura Wanaelewa haya Waziri ayazungumzayo?? Wapiga kura amkeni wanasiasa wanawatumia!!!
 
maelezo hayo yote tukiyafupisha tunapata " mitano tena" tunanyoka wote si tawala wala upinzania DJ naomba wimbo wa amaboko.
 
Ni upuuzi kabisa, kwani data inayotumika inapatikana bure? Si tunanunua bundle..

Waje na takwimu za vifurushi vya internet kati ya 2012 na 2018.
Pamoja na seriakli kudai kukosa pato lakini mimi nadhani huenda wameshindwa kudukua mawasiliano ya hizo simu hivyo wanatafuta sababu. Mambo mengi wanayodhani ni siri yanavuja na kuingia kwenye mitandao hivyo wanatafuta sababu. Hii serikali ina wasiwasi sana
 
Siku chache zilizpita Kampuni za Simu za Tanzania; Vodacom, Tigo na Airtel n.k ziliongeza bei za vifurushi na kusabisha taharuki kwa watu wengi kwa bei hizo zilipanda maradufu.

Serikali na Taasisi zake zilisubiriwa sana kuja kuzungumzia suala hilo, badala yake TCRA ikaja na chapisho la kuonesha kuwa makato cha simu kutoka 2018 hadi sasa yamepungua kwa kiasi fulani

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Zainab Chaula alisema wizara inafahamu mabadiliko hayo na inaendelea kuyafanyia kazi. “Tunafahamu na tunaendelea kufanyia kazi,” aliongeza Dk Chaula

Leo, Serikali kupitia kwa Waziri mwenye dhamana ya Taknolojia anasema wanaandaa mfumo wa kuzuia watu kupiga simu kwa kutumia WhatsApp kwani wamegundua inahusika katika kupunguza mapato ya simu za kawaida kwa Serikali

Je, Serikali ihusika katika kupandisha bei ya vifurushi vya simu ikiwa ni njia moja wapo ya kupunguza watu wanaotumia mtandao?

Serikali inatakiwa kuajiri watu wenye mbinu na ujuzi wa kuongeza mapato. Kushindana na Internet naweza fananisha na mtu mwenye kichaa. Watumiaji hutafuta ubora na nafuu ya bei, kama unatoa huduma isiojikita kwenye attribute hizi mbili nashauri ukafunga biashara i.e TCRA.
 
Facebook low earth orbit satellites will soon be providing direct access to the intenet bypassing local ISP ambao kila kukicha wanachezeshwa akili na serikali.
 
GB 1 Kwa Tsh 9000 hiyo haipo.....!!! Tushawah nunua Tsh 500 Kwa mb 70 Ila sa hv tunanunua TSH 500 Kwa mb 500.... Hzo ni propaganda tu
Hii nchi kweli ni ya Wanyonge na inaongozwa na vichaa....!!!! Yaani 1 MB iuzwe Tshs 9/=? Mbona ni ghali sana? Hii nchi Tajiri(DONA KANTRI) kwanini inaendelea kumnyonya mwananchi mnyonge????
Juzi kabla hawajapandisha vifurushi tulikuwa tuna pata 2 GB kwa Tshs. 3000/= kwa wiki(TIGO NET) Hivo kwa mwezi unapata 8 GB kwa 12,000/=. Hii ni sawa na Tshs. 1.50(Shs. 1 na senti 50) kwa 1 MB.
Sasa Serikali inapokuja na huh UHARO wa 1 MB kwa Tshs.9 ni uhuni na usexxx!!

Kilcho dhahiri hapa ni kwamba: SERIKALI NA MOBILE OPERATORS WAMEKAA WAKAKUBALIANA KWAMBA, KWA VILE KWENE UCHAGUZI MKUU WA 2020 SERIKALI YA WANYONGE(CCM) ILIAMUA KUZIMA MITANDAO YOTE ILI KUXUIA WAPINZANI WASISHINDE SASA INARUDISHA GHARAMA ZA OPERATORS KWA MLANGO WA NYUMA( WANYONGE KUKAMULIWA KISAWASAWA) ILI KURUDISHA LOSSES INCURRED BY THOSE MOBILE OPERATORS.

Wanyonge pigeni kelele sana but I'm sure NOBODY WILL LISTEN ONTO YOU!!!
 
Mwananchi anapofanywa adui
Hapa ni mwananchi anazidi kufanywa MNYONGE wa kweli kwa kuzidi kunyanganywa UHURU WAKE, HAKI ZAKE NA DEMOKRASIA YAKE!!!
Yaani CCM NA MAGUFULI WAO WALOFUNGIA MITANDAO ILI KUCHAKACHUA UCHAGUZI KWA TAMAA ZA MADARAKA HALAFU HASARA ILIPWE NA WATZ WANYONGE....What a non-sense idea???
 
Back
Top Bottom