DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
😄😄😄Hiyo sio moro ?😁 nalima karibu na wazingua ukiwaona wanavyofanya utacheka sana, kuna ile miti ya mnyaa sijui kama unaijua , inakatwa inazungushwa kw3nye pembe za shamba, mimi nazingatia kanuni za kilimo , nikiwapiga bao utasikia usicheze na huyo mangi😁
Hakuna mtu anadhubutu kulisha mifugo kwenye mashamba yangu 😅😅
Unge tafuta elimu ya nilicho kisema kabla ya kukimbilia kujibuYes, Like Cholera from Airborne to waterborne disease belief......
John Snow
si moro, mkoa wa pwani kule . mkuu hili jambo lipo karibu nchi nzimaHiyo sio moro ?😁 nalima karibu na wazingua ukiwaona wanavyofanya utacheka sana, kuna ile miti ya mnyaa sijui kama unaijua , inakatwa inazungushwa kw3nye pembe za shamba, mimi nazingatia kanuni za kilimo , nikiwapiga bao utasikia usicheze na huyo mangi😁
Hakuna mtu anadhubutu kulisha mifugo kwenye mashamba yangu 😅😅
Pado unaleta porojo za kijinga jinga tu , eti nimwombe Mungu anipe umri
Kama uliye ulipata na mda wa kuzunguka kutafta ushahidi na huku fanikiwa kupata unadhani hapa unaweza kupata au ndo utaendelea kupata simuliziWazee, I'm curious kufahm hili jambo kwa undani zaidi. Nimetembea hadi Sumbawanga nikitafuta uhalisia wa mambo haya, lakini nilichokutana nacho ni simulizi tu hakuna ushahidi wa moja kwa moja unaothibitisha uwepo wa uchawi.
Inanifanya nione kama hii ni sawa na stori za wanaume kuibiwa nyeti zao zinaenea sana kwa maneno, lakini ukichunguza kwa karibu, unakosa uthibitisho wa wazi na inaonekana ni oketo(ujinga).
Sasa nauliza tena kwa uwazi:
Uchawi upo kweli, au ni simulizi tu zinazojengwa na hofu, imani, au mazingira ya jamii?
Kwa upande wangu binafsi, ninaelekea kuamini kuwa ni stori tu lakini niko tayari kusikia uzoefu au ushahidi kutoka kwa yeyote aliyewahi kushuhudia hili jambo moja kwa moja.
Tafadhali toa hoja sio vitisho!
kw uKuna watu wametengwa kwenye jamii, na ndugu jamaa na marafiki kwa sababu hizo hizo za madai ya uchawi , Binafsi kabisa yalikwishawahi nikuta nikaitwa mshirikina , nimetoa msukule baada ya katoto kangu kadogo kufariki na pneumonia, na maujinga ujinga mengi ya kipumbavu tu.
Niitafute elimu ipi ilihali ndio nawork nayo? Elimu ya Miasma to Germ theory au ipi? Unahisi ni elimu kubwa sana??🤣Unge tafuta elimu ya nilicho kisema kabla ya kukimbilia kujibu
Kujua si kinyume cha kuamini, uhakika ni hisia za kutokuwa na mashaka haina maana ukiwa na hauna mashaka(una uhakika) basi hilo jambo ni sahihi au ni kweli.Kujua = ukweli + ushahidi + uhakika , kama kitu ni uongo hakiwezi kuitwa kujua bali ni umeamini kimakosa tu
Yapo mengi sana , huko moro panda handeni hiyo kuna vituko mpaka utaonea huruma jamii yako ya kimatumbi
Wapi nimesema nimehisi? Kaisome vizuri uje ujibu tena sina mda wa kupoteza kukuelekeza mkuuNiitafute elimu ipi ilihali ndio nawork nayo? Elimu ya Miasma to Germ theory au ipi? Unahisi ni elimu kubwa sana??🤣
Mwamposa anayetoa upako Huwa akiwa na mkutano wakesi moro, mkoa wa pwani kule . mkuu hili jambo lipo karibu nchi nzima
juzi hapa watu wamelalamika hata jamvini humu ripoti kwamba tanzania tunaagiza sana maziwa nje ya nchi wamelaumu sana serikali na kadhalika ila hata tukienda huko katika jamii za wafugaji ukiwaambia tuboreshe hii mifugo iongeze uwezo wa kutoa maziwa hawataki kusikia hayo maelezo ila wakiona ng'ombe anayetoa maziwa mengi wanasema ni uchawi
UongoNimeshuhudia mara tatu zaid
Nikiwa boarding school o level shule flani ya dini kanda ya kati, pale tu matukio mawili na sikuwa peke yangu
Kuna bagamoyo, hulu niliwahi lala usiku asubuhi nimejikuta nimechalazwa nyembe sio poa mwili mzima na nililala na nguo
Bagamoyo hiyo hiyo 2012 Luna chaka naingia mwili ukawa kama unawaka moto nywele zitasimama ile hari ilikuwa kwa kiwango cha juu sana nikawa nikageuka nyuma nilikotokea napata nafuu nigeukia mbele hari inarudi
Nikarudi nilipotoka mwili mwepes ilikuwa usiku saa 6 hivi
Mbele nimekutana na mtu kumuliza Alitalia kitu ambacho eneo lile ndo ngoma ya wachawi
Bagamoyo hiyo eneo la makaburini nikiwa na washkaji tumetoka lusona club katiza adem
Tunakuta kaburi limewashwa mshumaa a Luna upepo mkali usiku lakin hauzimi wala hauyum I tuliduwaa sana na washkaji badaye mbio tulipotea njia bila kujua zunguka zunguka mpaka panakucha alfajir tunajikuta eneo la tunapoishi
Sitasahau
Inaishia hapa kwa leo ya katavi nikisema simalizi leo mbwa wale sio watu
Kajifunze tena maana ya kujua mkuuKujua si kinyume cha kuamini, uhakika ni hisia za kutokuwa na mashaka haina maana ukiwa na hauna mashaka(una uhakika) basi hilo jambo ni sahihi au ni kweli.
Watu walivyokuwa wanaona vyakula vyenye cholestrol ni kama sumu wakati huo na kuviepuka wenyewe walijua husababisha magonjwa ya moyo.
InafikirishaYapo mengi sana , huko moro panda hendeni hiyo kuna vituko mpaka utaonea huruma jamii yako ya kimatumbi
naam tukifanya njia sahihi hata ukosefu wa chakula hapa nchini tunakwenda kuufukia kabisaIki ndo kilichopo akili ya binadamu ni kubwa sana endapo MTU akiitumia ipasavyo anaweza kufanya mambo makubwa sana yasiyo elezeka .
Kule bukoba kwetu Babu yangu alikuwa anafanya kanuni za kilimo kama kutumia mbegu za kisasa mbolea na Kila mbegu mpya ikija anaiijaribu na kufata ushauri wa wataalamu .
Kilichotokea watu wakawa wanamtazama kama mfano na maafisa kilimo n.k shamba lake ndo lilikuwa likitumika kufundishia watu kilimo
Ila Kuna watu walikuwa wakiamini uchawi sikuona dawa zao kama zimewapa chochote
Shortly hauwezi ukafanikiwa kwa maombi Wala uchawi bila juhudi na kutumia akili vizuri
Jamii za watu duni ndo utawakuta wakiamini uchawi
Na huwa siwabakishi hayo maimani yao nawachana live, wanapiga mikwara mende , mwisho wa siku wao wenyewe wanageuka tena kuniita mchawiInafikirisha
Labda kuna wachawi wanaweza tupa demo moja hapaKama uliye ulipata na mda wa kuzunguka kutafta ushahidi na huku fanikiwa kupata unadhani hapa unaweza kupata au ndo utaendelea kupata simulizi
kw u
Acha u-much know Sheikh, umezungumzia imani iliyokuwepo tangu enzi hizo...in Greece era ya kuamini magonjwa kama Malaria, Cholera n the like yanasababishwa na Hewa (Air) the in Mid 1800 Some scientists discovered n proved yanasababishwa na na vitu vingine sio hewa (Germs theory existed)Wapi nimesema nimehisi? Kaisome vizuri uje ujibu tena sina mda wa kupoteza kukuelekeza mkuu
Upo sawa kabisa nikajua eti kwamba una maanisha sipo sahihiAcha u-much know Sheikh, umezungumzia imani iliyokuwepo tangu enzi hizo...in Greece era ya kuamini magonjwa kama Malaria, Cholera n the like yanasababishwa na Hewa (Air) the in Mid 1800 Some scientists discovered n proved yanasababishwa na na vitu vingine sio hewa (Germs theory existed)
Nikakutolea mfano wa John snow aliyetafiti Cholera
I understand ulitoa mfano huo kueleza jinsi wanaoamini uchawi nao wana imani potofu au isiyokuwepo
Mkuu nje ya uthibitisho wa kisayansi kuna uwezekano wa kuthibitisha uchawi? Hakuna namna utaweza kuthibitisha uchawi watu wakakubali bila tatizo nje ya uthibitisho wa kisayansi. Mkuu wewe unataka kufanya ionekane kwamba hadi leo uchawi ni masimulizi tu hakuna ushahidi wa aina yeyote wa nguvu ya uchawi na kwamba sisi wengine wote tunaoamini uchawi ni kwamba tunaamini masimulizi tu, ndio maana mimi nakueleza kwamba shida ni huo uthibitisho wa kisayansi maana hata wewe hapo haujasema ufanyie uchunguzi hayo madai ya chuma ulete kama ni kweli ila unaenda kuulizia kuhusu bank au sijui wazee kutumia uchawi dhidi ya wakoloni.hazina maana kivipi uhuru huelewi sehemu gani? mtu anayeamini chuma ulete anakwambia chuma ulete inapiga kazi ukiipata unapiga hela ,, ukimuuliza kama staili ile ile inayochota fedha dukani kwa mtu au biashara nyingine yeyote kama inaweza chota hela benki --- anaingia mitini.
kwenye vita sisemi uchawi urushe risasi, kama huo uchawi unaweza fanya mtu aumwe awe ndondocha msukule nakadhalika ndo hizo mbinu zitumike kudhoofisha askari wa mpinzani i.e mkoloni --- hizi ni test za awali za uchawi mambo ya sayansi unayaleta kwa lazima tu hapa