IIT MWASISI OS
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 3,737
- 3,301
Covid vipiMkuu kuamini tu sio ishu, mtu unaweza kuamini chochote, jambo la msingi je ni "fact".
Hitler na Nazi walikuwa wanaamini Aryan au Wajerumani ni master race, Wayahudi na Wakristo wengi wanaamini Wayahudi ni taifa teule(chosen people), Kuna wakati Wazungu na Waarabu walikuwa wanaamini sisi Waafrika sio binadamu kamili, Kuna kipindi watu walikuwa wanaamini jua linazunguka dunia hadi wakamuua Galileo aliposema Dunia ndio inazunguka jua, watu walikuwa wanaamini hewa chafu ya mvuke(miasma theory) ndio ilikuwa inasababisha magonjwa mbalimbali kama Malaria, homa, ukoma, kipindupindu n.k
Jamaa wana ngome imara, wao hawahitaji kuelewa wanachokipinga wao ni kurudia tu kusema "Thibitisha" basi, hiyo ndio silaha yao na kinga yao kwenye majadiliano yao mwanzo mwisho.Katika maisha Wala tusijali kupuuzwa ,
Wajua ukiwa unaishi ndani ya ukweli na ukawa unaujua huo ukweli
Mtu mwingine akija kukubishia na kukupinga huwezi kukutetereka cause unajua kwamba ni ujinga tu ndio unao msumbua
Mkuu uchawi ungekuwa unawahusu wachawi tu basi pengine hizi mada zisingekuwepo kwa sababu hao wanaoitwa wachawi hawajawahi kujitokeza kuzungumza habari zao, labda huko kwa wazungu kule wachawi wanajiweka wazi na hadi vitabu wanaandika ila afrika ipo tofauti.Hili swala mi naamini lipo japo sijawai kulishuhudia.
Ila nahisi ni kua wachawi wa kweli ni wachache katika jamii, na kati yao kuna wanao utumia vibaya (kuroga na kuua watu bila hatia) na kuna wanao utumia vizuri kwa matumizi binafsi ikiwemo ulinzi wa mali na pengine kucheza faulo pia, nikimaanisha kuutumia katika mambo ya kiushindani.
Nahisi tu sina uhakika maana sifahamu. Karibu kunisahisha
Leta maswali mkuu nikupe shule uachane na imani za uchawi.Kumbe yote hayo unayajua inaonekana umefanyia uchunguzi hayo mambo.
Ni ruksa kuuliza maswali kuhusu hiyo placebo effect ya kwa waganga ili kufahamu vizuri?
Nikupe mfano mdogo, umewai kua mtumiaji wa mihadarati, bangi labda, uliwai kutamani watu wasiojua kua unatumia wajue?Mkuu uchawi ungekuwa unawahusu wachawi tu basi pengine hizi mada zisingekuwepo kwa sababu hao wanaoitwa wachawi hawajawahi kujitokeza kuzungumza habari zao, labda huko kwa wazungu kule wachawi wanajiweka wazi na hadi vitabu wanaandika ila afrika ipo tofauti.
😀Leta maswali mkuu nikupe shule uachane na imani za uchawi.
TrueJamaa wana ngome imara, wao hawahitaji kuelewa wanachokipinga wao ni kurudia tu kusema "Thibitisha" basi, hiyo ndio silaha yao na kinga yao kwenye majadiliano yao mwanzo mwisho.
😁😁😁Basi kama mtu unanyolewa usiku kichwa kizima bila kujifahamu. Mtu kama huyu anaweza kutatuliwa hata marinda usiku kucha
majibu mengine sio lazima yatamkwe moja kwa moja
This is a joke, right!? 🤔Njoo inbox na majina yako 3 nitakuelezea kila jambo lako lililopita na lijalo
Mganga anatumia mbinu gani nyengine ya kumdanganya mtu endapo mtu huyo anataka dawa ili amkaroge mtu mwengine na sio kutumia yeye ambapo tunaweza kusema ni placebo effect inafanya kazi? Maana katika imani za kichawi zilizopo ni kurogana pia, je waganga wanatumia mbinu gani ili kuwaaminisha wateja wao katika mazingira kama hayo?Leta maswali mkuu nikupe shule uachane na imani za uchawi.
kwenye kutovuka maji hapo , kombe la dunia limekuja afrika hapa na hatujaambulia kitu, ukiwaeleza hilo wanasema spain alikua mchawi zaidiSayansi na Teknolojia ni universal, ni uniform, kote duniani msingi ni ule ule.
Chanzo cha magonjwa mfano Malaria, Ukimwi, kipindupindu, ebola n.k ni kimoja duniani kote, causality yake ni ya aina moja na ni replicable.
Daktari au Injinia aliyesoma chuo bora anaweza kufanya kazi hiyo hiyo duniani kote. Uchawi tunaambiwa hata hauvuki maji.
Sijawahi kutumia hivyo vitu mkuu.Nikupe mfano mdogo, umewai kua mtumiaji wa mihadarati, bangi labda, uliwai kutamani watu wasiojua kua unatumia wajue?
mtumie incumbent, VP, PM, yule wa SMZ ili wawe rahisi kuwatrack against maelezo yako mkuuNjoo inbox na majina yako 3 nitakuelezea kila jambo lako lililopita na lijalo
Mkuu hapo tuonyeshe tunachokijadili kina maana basi, mara zote nasema hata ingetokea hivyo bado kikwazo ni ushahidi wa kisayansi wenye kuweza kuelezea jinsi huo uchawi ulivyofanya hadi tukachukua kombe, kinyume na hivyo itabaki kama story za uchawi za simba na yanga tu.kwenye kutovuka maji hapo , kombe la dunia limekuja afrika hapa na hatujaambulia kitu, ukiwaeleza hilo wanasema spain alikua mchawi zaidi
waganga ramli ni matapeli.Mganga anatumia mbinu gani nyengine ya kumdanganya mtu endapo mtu huyo anataka dawa ili amkaroge mtu mwengine na sio kutumia yeye ambapo tunaweza kusema ni placebo effect inafanya kazi? Maana katika imani za kichawi zilizopo ni kurogana pia, je waganga wanatumia mbinu gani ili kuwaaminisha wateja wao katika mazingira kama hayo?
Basi huo ulikua mfano mwepesi wa kueleza kwamba waliomo wanajuana ila hawako tayari asiyewajua awajue kua wamo. Ndomana kama haumo itakua ngumu sana kujuaSijawahi kutumia hivyo vitu mkuu.
mkuu wewe mjanja mjanaja sana wa maneno, test ile niloandika mwanzo ya chuma ulete umeona haina maana,Mkuu hapo tuonyeshe tunachokijadili kina maana basi, mara zote nasema hata ingetokea hivyo bado kikwazo ni ushahidi wa kisayansi wenye kuweza kuelezea jinsi huo uchawi ulivyofanya hadi tukachukua kombe, kinyume na hivyo itabaki kama story za uchawi za simba na yanga tu.
Hii mifano yenu inakuwa haina maana.
Uchawi hauonekani mkuu labda vile vifaa vinavyotumika navyo huitwa uchawi pia, kinachozungumziwa hapa ni ile athari ya huo uchawi.sijawahi kuona uchawi zaidi ya kusikia story