Je, kuna mtu yeyote aliyewahi kushuhudia na kuthibitisha uchawi? Njoo tuongee hapa!

Je, kuna mtu yeyote aliyewahi kushuhudia na kuthibitisha uchawi? Njoo tuongee hapa!

bwenini huko huko kuna wadau walikua wanawanyoa wenzao alafu watu wakiwa wanawacheka asubuhi walionyolewa kwamba wachawi ndo wamefanya hivyo hadi wanyoaji nao wanaunga kwenye tela la kucheka
Basi kama mtu unanyolewa usiku kichwa kizima bila kujifahamu. Mtu kama huyu anaweza kutatuliwa hata marinda usiku kucha
 
Kila mtu ana experience yake mkuu kwenye haya maisha, nakumbuka rafiki yangu mmoja aliniambia yeye hajawahi kumshuhudia shoga(gay) live hivi kwa macho. Nilishangaa yani ukubwa wote huo na mashoga waliyojaa mjini bado tu haujawshi kushuhudia shoga live? Ndio sawa na mwengine ndani ya miaka 40+ katika maisha yake yeye huwa anaishia kusikia tu habari za kuhusishwa na uchawi kama hizo za kupotea kwa nyeti basi.

Mkuu nadhani hujaelewa vizuri, hata hicho unachosema kikafanyika na wewe ukaweza kujionea mwenyewe pesa kupungua bado itakuwa ni ushahidi binafsi na ushahidi binafsi sio tatizo upo sana tu mbona.
mkuu unataka tuukubali tu uchawi kwa simulizi, licha ya kukueleza kwamba kwenye simulizi hizo zina utata, we unataka tuendelee tu kukubali.
 
Lakini mtu huyo huyo anaijua mitishamba kukuzidi na pengine, anajua akipata tatizo flani ataenda kwa mganga au kwenye visomo. Atapigwa makombe na atakaa sawa pasipo kutumia dawa za hospitali etc..

Huyu mtu ukimleta kwenye sayansi ataona unazungumza vitu vigumu kwake kwa sababu unatumia lugha ya sayansi kumuelezea lakini pia naye akikuambia yake, ndio hayo utaona pia ya kufirika kwa sababu unataka kutumia njia na maelezo ya kisayansi kuuelezea uchawi ulivyo.
Hivi ni nani anayewadanganyaga kwamba mitishamba sio Sayansi?

Tafuta watu waliosoma Pharmacy wakuelekeze how plants (mitishamba) can be used to extract active ingredients za dawa.

Kuna tofauti kubwa mno kati ya Ramli na Mitishamba.

Mkuu, nashauri urejee maana ya Sayansi ni nini. Sabb unachanganya vitu.

Watu wakisikia Sayansi, wanawaza sijui ni mzungu, sijui ni miji-formula mizito mizito. Hii nayo ni wrong perspective view ya Sayansi.

Hivi unajua kwamba:-
-hata kutengeneza Mkaa tu ile ni sayansi.?
-kutengeneza pombe hata hizo unazoziona za kienyeji hizo, hiyo ni Sayansi.
-kutengeneza sabuni, that is science.

So, sayansi sio mzungu, sayansi imekuwepo hata Africa enzi na enzi, sema ilidumazwa na imani potofu sabb watu wakishindwa kupata jibu, ufumbuzi wa jambo (tatizo, ugonjwa, misfortune, n.k) walikimbilia tu kusema ni uchawi, chochote wasichokielewa they concluded ni uchawi. Just to find a scapegoat.

Kama ukitulia na ukirejea definition ya sayansi, utanielewa.

ila uchawi ni upuuzi, it's a lame excuse inayotumiwa na watu pindi mtu akishindwa kuking'amua kitu, kukielezea, kukielewa, pale ambapo critical thinking na reasoning zikiisha anajifichia humo kwa kusema ni uchawi, Finding a scapegoat
 
Cha msingi unaamini ipo ama haipo.

Unajua hapa watu wanajaribu kuwa technical and safe ili tu wasiondoe imani walizozishikilia.

Unaweza kuwa na maoni tofauti kuhusu manifestation ya spiritual world. Lakini ukaamini ipo

Ni sawa na uchawi. Watu wengi tu wanaamini upo lakini wana maoni tofauti kuuhusu

Sasa kwa nini iwe ngumu kwa min -me ambaye haamini uchawi clearly. Na wala haofii lakini bado anashindwa kutoa neno moja tu kuwa.

SIAMINI kama spiritual world ipo. Mbona ni simple. Kigugumizi cha nini sasa hapo mkuu
majibu mengine sio lazima yatamkwe moja kwa moja
 
mimi mchawi na ghost tofauti yao siifahamu, maana kama ukikumbuka mpaka sasa hatiujapata muafaka mchawi ni nani na anafanya vitu gani.

kuna mdau hao anasisitiza anayafahamu haya mambo ila bado anagoma kueleza
Sasa mbona unajiingiza kwenye ubishani wa vitu usivyovielewa na mbaya zaidi unadai uthibitisho kwa kitu ambacho hukielewi? Inawezekanaje hiyo?
 
Sasa mbona unajiingiza kwenye ubishani wa vitu usivyovielewa na mbaya zaidi unadai uthibitisho kwa kitu ambacho hukielewi? Inawezekanaje hiyo?
kwani mkuu wewe hivi vitu navielewa? kama ndio tueleze. kama hapana mimi na wewe ni walewale
 
Acha kulazimisha kwamba wachawi mmeambia mlete ushahidi wa kisayansi, leteni uthibitisho wa kifilosofia au ushahidi wowote badala ya kusema tu ni experience yenu binafsi. Ukisema umelogwa ndio maana ni magonjwa au masikini leta uthibitisho, ukisema imepoteza pesa kwa chuma ulete leta uthibitisho,.msije na vibes na experience zako binafsi tu ukasema ndio uthibitisho.
Hebu toa mfano ni kwa namna gani mtu anaweza kuthibitisha uchawi pasina kuwepo utata na uthibitisho huo usiwe wa kisayansi?
 
Hivi ni nani anayewadanganyaga kwamba mitishamba sio Sayansi?

Kuna tofauti kubwa mno kati ya Ramli na Mitishamba.

Mkuu, nashauri urejee maana ya Sayansi ni nini. Sabb unachanganya mafaili

Watu wakisikia Sayansi, wanawaza sijui mzungu, sijui miformula mizito mizito. Hii nayo ni wrong perspective.

Hivi unajua kwamba:-
-hata kutengeneza Mkaa tu ile sayansi.?
-kutengeneza pombe hata hizo unazoziona za kienyeji, hiyo ni Sayansi.
-kutengeneza sabuni, that is science.

Kama ukitulia na ukirejea definition ya sayansi, utanielewa.

ila uchawi ni upuuzi, ni lame excuse inayotumiwa na watu pindi mtu akishindwa kuking'amua kitu, kukielezea, kukielewa, pale ambapo critical thinking na reasoning zikiisha anajifichia humo kwa kusoma ni uchawi, Finding a scapegoat
Hiyo concept naielewa vizuri kwa sababu hata utengenezaji wa gongo ni sayansi kwa sasabu inarandana na kitu ambacho umefundishwa kwenye chemistry.


Vile vile mitishamba ndio source ya dawa..inaweza kuwa proven Na pharmacist

Lakini pia aliyekuambia mitishamba haitumiki kwenye uchawi ama ushirikina ni nani?..

Unadhani waganga wa kienyeji huwa wanatoa tiba au manuizi pasipo vitu ambavyo ni physical.

Kama ilivyo chemistry, unachanganya A, B na C Kupata product flani.. Ndivyo ushirikina ulivyo una formular na principles zake

Sasa wewe unaamini, mganga yupo sahihi kutumia mitishamba kwa sababu imethibitishwa na pharmacist kuwa inafanya kazi ila huamini pale anapotumia spirituality kufanya kazi zake ambazo sayansi imeshindwa kuzithibitisha. Ndio unaona ni upumbavu

Kiufupi wewe unaamini kile unachoaminishwa na unakataa kile ambacho hujaaminishwa. Kiufupi, hutumii ufahamu wako binafsi ila unasubiri ufahamu wa mtu mwingine ukuthibitishie, na mbaya zaidi asipoweza na hutoweza...

Hiyo ndio tofauti yangu mimi na wewe.. wewe unaamini sayansi ni perfect kwenye kuthibitisha kila kitu ila mimi naamini kuna vitu haiwezi kuthibitishwa kwa sababu yenyewe ni evolving thing. Na pengine ipo siku sayansi itafikia uwezo wa kuingilia spiritual world na itaweza kuthibitisha hata uchawi ila kwa sasa haiwezi kama ambavyo haikuweza kujua uwepo wa neurons ama electron karne ya tatu...

Mimi kwa makuzi na experience yangu nitaendelea kamini uchawi na ushirikina vipo.
 
Duh tuishie hapa
na mtu yupo serious na anachokitype. Hahah!

yaani hataki hata kufata ile ya msemo ya JK wa Pili, "Akili za kuambiwa, changanya na zako"

Mtu wa hivi, tukimwambia, "sawa tumekubali, okay twende tukaitest hii tumroge kwa mtu mwingine under the same conditions tuone kama italeta matokeo yale yale."

👆🏽 Ukimwambia tu hivo, hapo ataanza stori mingiiiiiiiiiiii
 
Mfano wako uko kichwa chini miguu juu. Binadamu wengi huko zamani walikuwa wanaamini uchawi lakini kadri muda unavyoenda Sayansi na teknolojia vikizidi kukua wengi wanazidi kuachana na imani za uchawi. Kwa upande mwingine binadamu wengi zamani walikuwa hawakubaliani na sayansi na reasoning ila kadri muda unavyoenda wengi wanahamia kuukubali Sayansi na Rational thinking.

Again "general assumptions"...

Uchawi versus Science

Sayansi nyingi zilizokataliwa si hata kwa bases za uchawi bali pale zinapokuwa contradicted na imani za watu binafsi. Hususani za kidini . . Rejea Galileo incident

Lakini ukiangalia jamii za Misri, kigiriki na hata Asia ambapo gunduzi za mwanzo zilifanyika. Hiyo sayansi haikupingwa bali kuwa adapted kirahisi.

By the way. Sioni kama unanijibu zaidi ya kuchukua kipande kidogo cha explanations zangu na kuonesha nachofikiria sicho na kuongezea maneno ya kunidogosha ili nijione nafikiria upumbavu.

I respect you mkuu na huwa sifanyi argument ila discussions. Ukiweza discuss vitu kama descently, nitajibu

Again najua kitu cha kwanza kitakuwa ni kuattack hiyo paragraph ya nyuma kwa sababu hiyo ndio escape yako. Good day🙏🏽🙏🏽
 
Wakati mwingine huwa nasahau kama tunajadiliana na watu wenye uelewa haba/duni wa fikra. Nikisema Waislamu hawali kitimoto naongelea kwa ujumla wa dini ya Kiislamu, sasa usianze kusema mbona rafiki zako Waislamu Rashidi na Mwajuma huwa mnajumuika nao kula kitimoto, jiongeze. Uchawi umekuwepo Marekani na Ulaya kwa mamia ya miaka haiwezekani ukaisha kabisa wakakosekana hata watu wawili au watatu wanaomini hayo mauzauza yenu ya kichawi.

Tunaposema hukuna uchawi Magharibi tunamaanisha uchawi sio kitu mainstream tena bali ni fringe ideas/beliefs(Imani za ajabu) kwa watu wengi, sio kitu unachoweza kuzungumza comfortable mbele ya watu wengi mfano useme umelogwa usionekane una matatizo ya akili, kitu cha ajabu au kituko na watu wengi. Uchawi bongo ni jambo la kawaida (mainstream), mtu kukuambia amelogwa, amepata mafanikio kwa mganga, pete za majini, matambiko, limbwata na ujinga mwingine mwingi ni mambo ya kawaida kabisa na sehemu ya maisha yetu ya kila siku, uchawi unazungumziwa kuanzia ngazi ya urais, mawaziri, bunge mpaka serikali za mitaa, ni mjadala wa kawaida wa kila siku kwenye redio, tv, vijiweni, kwenye muziki unaimbwa n.k
Mkuu huo mtazamo wa kwamba uchawi ni issue ya kurogana tu huo ni mtazamo wako wewe, mimi naposema wazungu wanaamini hayo mambo naelewa vizuri kwamba kule hakuna sana hayo madai kurogana au imani potofu zakuhusishwa na uchawi. Ila bado wanaamini mambo mengi sana sio uchawi tu pamoja na kuelimika kwao.

Wenzetu waliwahi hadi kufanyia tafiti Remote viewing kwa zaidi ya miaka 20 kupitia jeshi lao na hiyo program waliita project stargate.
 
Sasa kama hakujawahi kuwa na ushahidi au uthibitisho wa aina yoyote Ile wa uchawi kwa nini mtu mwenye akili ujisumbue na huo ujinga wa hearsay, vibes na experience binafsi za watu?!
Mkuu kwa unavyoelewa wewe watu huwa wanaenda kwa waganga kufanya nini?
 
mkuu unataka tuukubali tu uchawi kwa simulizi, licha ya kukueleza kwamba kwenye simulizi hizo zina utata, we unataka tuendelee tu kukubali.
Sipo hapa kukufanya ukubali uchawi na kama wewe upo ili kutufanya tupinge uchawi basi mngekuwa mnatupa elimu ili nasi tuelewe kuwa hayo tuliyoyaona sie kama uchawi si uchawi bali ni kitu gani. Mada imeletwa na nyie wenyewe ila tukijadili tunaonekana tunawalazimisha kuwa wachawi wengine wanakasirika hadi wanatamani kutupiga ngumi kama tungekuwa karibu yao, sasa sijaelewa huwa mnaleta hizi mada ili iweje?
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Mkifikia muafaka mtaniita nione uchawi
Muafaka ni kwamba hakuna uchawi kwa sababu hakuna uthibitisho wa kisayansi, ushahidi binafsi hausaidii kuondoa utata wa uwepo wa uchawi ndio maana uchawi hadi leo unaonekana hauna ukweli kwa sababu hakuna ushahidi wa kisayansi.
 
Kama ilivyo chemistry, unachanganya A, B na C Kupata product flani.. Ndivyo ushirikina ulivyo una formular na principles zake
Ushirikina hauna formula wala principles zake, coz vitu vyenye formula na principles vinathibitishika beyond reasonable doubt.
Kama ungekuwa na formula, wala tusingekuwa na hii conversation muda huu.
Kiufupi wewe unaamini kile unachoaminishwa na unakataa kile ambacho hujaaminishwa. Kiufupi, hutumii ufahamu wako binafsi ila unasubiri ufahamu wa mtu mwingine ukuthibitishie, na mbaya zaidi asipoweza na hutoweza...
So, unatuaminisha wewe ulitumia ufahamu wako? Wakati kwenye post hapo chini umekiri kwamba ndo ulikuzwa hivyo kwenye kuamini uchawi na ushirikina.

Kwa kifupi, ukitulia utaona kwamba wanaokataa uchawi ndo haswa wanaotumia ufaham wao coz wamekataa kuaminishwa vitu potoshi vinavyochonganisha watu bila ushahidi zaidi ya stori za hearsay tu.
Hiyo ndio tofauti yangu mimi na wewe.. wewe unaamini sayansi ni perfect kwenye kuthibitisha kila kitu ila mimi naamini kuna vitu haiwezi kuthibitishwa kwa sababu yenyewe ni evolving thing.

Ulichoki-type hapo umejileta mwenyewe kwenye point yangu.. Sabb umekiri hapo kwamba vitu ambavyo watu wakishindwa ku reason ndo wanadai ni uchawi, just finding an excuse.
Mimi kwa makuzi na experience yangu nitaendelea kamini uchawi na ushirikina vipo.
As you said, "kwa makuzi yako, utaendelea kuamini uchawi na ushirikina"
so unakubaliana nami kwamba wewe ndiye haswa uliyekaririshwa kuamini, kama ambavyo umesema mimi nimekaririshwa sayansi.
 
Again "general assumptions"...

Uchawi versus Science

Sayansi nyingi zilizokataliwa si hata kwa bases za uchawi bali pale zinapokuwa contradicted na imani za watu binafsi. Hususani za kidini . . Rejea Galileo incident

Lakini ukiangalia jamii za Misri, kigiriki na hata Asia ambapo gunduzi za mwanzo zilifanyika. Hiyo sayansi haikupingwa bali kuwa adapted kirahisi.

By the way. Sioni kama unanijibu zaidi ya kuchukua kipande kidogo cha explanations zangu na kuonesha nachofikiria sicho na kuongezea maneno ya kunidogosha ili nijione nafikiria upumbavu.

I respect you mkuu na huwa sifanyi argument ila discussions. Ukiweza discuss vitu kama descently, nitajibu

Again najua kitu cha kwanza kitakuwa ni kuattack hiyo paragraph ya nyuma kwa sababu hiyo ndio escape yako. Good day🙏🏽🙏🏽
Baada ya maendeleo makubwa ya sayansi binadamu wengi wameachana na imani za kishirikina, uchawi na hata dini kwa upana na kwa ujumla katika jamii. Kwa sasa kuna watu wengi kwenye dini za Ukristo na Uislamu ambao hawaamini uchawi(which is a contradiction), hata hivyo wapo. Dunia ya leo Kuna binadamu wengi zaidi ambao ni atheists na agnostics kuliko kipindi chochote na hii ni kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Binadamu wengi wanaoamini uchawi, ushirikina na dini wanapunguza zaidi, hii ni fact, hii ndio hoja kuu, mengine ni gumzo tu baada ya habari.
 
Lakini mtu huyo huyo anaijua mitishamba kukuzidi na pengine, anajua akipata tatizo flani ataenda kwa mganga au kwenye visomo. Atapigwa makombe na atakaa sawa pasipo kutumia dawa za hospitali etc..

Huyu mtu ukimleta kwenye sayansi ataona unazungumza vitu vigumu kwake kwa sababu unatumia lugha ya sayansi kumuelezea lakini pia naye akikuambia yake, ndio hayo utaona pia ya kufirika kwa sababu unataka kutumia njia na maelezo ya kisayansi kuuelezea uchawi ulivyo.

Hawa watu wawili wakikaa sehemu moja si rahisi kukaa sawa..

Na unavyosema vitu kuwa tofauti kutokana na maeneo tofauti.

Je, kwani lazma kuwe na uniformity,

Kwani kuwepo kwa diversity katika kitu flani kilichopo katika sehemu tofauti na kuendeshwa na watu tofauti. Ni conclusion kuwa hiyo inconsistency inaonesha kuwa hicho kitu hakipo...

Kama dunia ilianza na gunpowder huko Asia, je ni sawa na teknolojia iliyotumika kutengeneza silaha za nyuklia

So kama teknolojia inaweza kutofautiana sehemu moja na nyingine. Japo principles na foundation yake inaweza kuwa sawa. Je kwa nini utegemee uchawi wa Wasukuma ufanane na uchawi wa wahausa ijapokuwa nia na msingi wake ni mmoja

Kwa nini unataka explanations za ushirikina ziwe sawa ilhali hata sayansi haipo sawa dunia nzima. Ndio maana kuna mataifa yanavumbua na mengine yanatumua tu
Tiba za Mitishimba ni dawa za Sayansi(iliyo duni). Miarobaini, Mikaratusi, Quinine na majani mengine mengi ni ingredients za dawa mbalimbali, watu wa zamani waliokuwa wanatumia bila uelewa wa Sayansi haibadilishi na kuvifanya hivi vitu hivyo kuwa ni uchawi. Kama ilivyo jambo lolote lenye maslahi halikosi utapeli au ujanja ndani yake pamoja na religious/beliefs influence, waliibuka watu wakijidai wanatamka maneno fulani wakati wanawapa watu mitishimba wakajipatia nafasi katika jamii kama waganga wa kienyeji(wa kiroho) lakini hakuna chochote wanachoongeza katika hayo matibabu zaidi ya 'Placebo effect"
 
Back
Top Bottom