IIT MWASISI OS
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 3,737
- 3,301
Njoo ww n majina yako 3This is a joke, right!? 🤔
Au ni unataka uwajaze watu ili upige pesa.? 🤔
So, wataka kusema unajua kila jambo la kila mtu just tu kwa kufahamu majina yake matatu (3) bila sapoti ya mifumo ya software/internet. 🤔
Labda kama useme upo kwenye mfumo wa NIDA, database ya NHIF, database ya taifa ya Sensa, Utumishi, TRA, immigration, NBS, database za makampuni ya simu-mawasiliano eg. Voda, Halotel, Airtel, Yas, mifumo ya Banking, mifumo ya social media, n.k
Je, kujua taarifa za watu kupitia hiyo mifumo iliyotengenezwa kisayansi ndo unataka kusema ni uthibitisho wako kwamba kuna uchawi? 🤔
Othumanmtumie incumbent, VP, PM, yule wa SMZ ili wawe rahisi kuwatrack against maelezo yako mkuu
MIT hawana digrii ya uchawi.How about witchcraft and wizardry??
Njoo inbox na majina yako 3 nitakuelezea kila jambo lako lililopita na lijalo
Huo uzi unasema diwani ni mshiriki na?Maisha yako mwenyewe yamekushinda ndo utajua future za wengine?
Majina yangu ni Juma Jakali Sabina. Niroge kesho nisitokee jukwani.
In the meantime soma huu uzi na nipe jina la huyo diwani mshirikina nikupe laki5. Huu uzi upo toka 2021 na nilitoa challenge kwa mjinga yeyote anayeamini hii habari anipe jina la uhakika tu la huyo diwani nimpe laki5 hadi leo sijapata jibu more than 5yrs. Kama wewe ni zwazwa utaamini hizi story na waafrica wengi bado ni mazwazwa so sishangai sana:
Kigoma Visa vya Uchawi na Ushirikina.
Kigoma ni moja ya Mikoa ambayo inasifika kwa Uchawi nchini Tanzania. Huu mkoa kiasili una watu wachapa kazi sana. Si wazembe ukilinganisha na mikoa mingine yenye ushirikina kama Tanga,Pwani au Zanzibar.
Kigoma maeneo ambayo yanasifika sana kwa Uchawi ni Mwandiga, Ujiji,Mwamgongo n.k
Hapo Mwamgongo ni hatari sana karibu na Mbuga ya Gombe. Kunasifika na moja ya visa vya uchawi ni kimoja ambacho kilitokea mwaka 2020 ni kifo cha Diwani mmoja ambaye inasemekana alichukua Mke wa mtu.
Huyu Diwani ambaye allhamdulilah alikuwa na vijicent ilitokea akawa...
- Chizi Maarifa
- kigoma mkoani mwisho reli uchawi ushirikina visa
- Replies: 324
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Huo uzi unasema diwani ni mshiriki na?
Nimeiangalia uzi huo wa JamiiForums wenye kichwa “Visa vya Uchawi na Ushirikina Mkoani Kigoma Mwisho wa Reli” (thread ID: 1910471, ulioanzishwa zamani lakini una machapisho yanayoendelea hadi 2021 na baadaye).Maisha yako mwenyewe yamekushinda ndo utajua future za wengine?
Majina yangu ni Juma Jakali Sabina. Niroge kesho nisitokee jukwani.
In the meantime soma huu uzi na nipe jina la huyo diwani mshirikina nikupe laki5. Huu uzi upo toka 2021 na nilitoa challenge kwa mjinga yeyote anayeamini hii habari anipe jina la uhakika tu la huyo diwani nimpe laki5 hadi leo sijapata jibu more than 5yrs. Kama wewe ni zwazwa utaamini hizi story na waafrica wengi bado ni mazwazwa so sishangai sana:
Kigoma Visa vya Uchawi na Ushirikina.
Kigoma ni moja ya Mikoa ambayo inasifika kwa Uchawi nchini Tanzania. Huu mkoa kiasili una watu wachapa kazi sana. Si wazembe ukilinganisha na mikoa mingine yenye ushirikina kama Tanga,Pwani au Zanzibar.
Kigoma maeneo ambayo yanasifika sana kwa Uchawi ni Mwandiga, Ujiji,Mwamgongo n.k
Hapo Mwamgongo ni hatari sana karibu na Mbuga ya Gombe. Kunasifika na moja ya visa vya uchawi ni kimoja ambacho kilitokea mwaka 2020 ni kifo cha Diwani mmoja ambaye inasemekana alichukua Mke wa mtu.
Huyu Diwani ambaye allhamdulilah alikuwa na vijicent ilitokea akawa...
- Chizi Maarifa
- kigoma mkoani mwisho reli uchawi ushirikina visa
- Replies: 324
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Nimeiangalia uzi huo wa JamiiForums wenye kichwa “Visa vya Uchawi na Ushirikina Mkoani Kigoma Mwisho wa Reli” (thread ID: 1910471, ulioanzishwa zamani lakini una machapisho yanayoendelea hadi 2021 na baadaye).Soma link ipo hapo au kusoma napo changamoto?
Njoo inbox nikupe details zako.Maisha yako mwenyewe yamekushinda ndo utajua future za wengine?
Majina yangu ni Juma Jakali Sabina. Niroge kesho nisitokee jukwani.
In the meantime soma huu uzi na nipe jina la huyo diwani mshirikina nikupe laki5. Huu uzi upo toka 2021 na nilitoa challenge kwa mjinga yeyote anayeamini hii habari anipe jina la uhakika tu la huyo diwani nimpe laki5 hadi leo sijapata jibu more than 5yrs. Kama wewe ni zwazwa utaamini hizi story na waafrica wengi bado ni mazwazwa so sishangai sana:
Kigoma Visa vya Uchawi na Ushirikina.
Kigoma ni moja ya Mikoa ambayo inasifika kwa Uchawi nchini Tanzania. Huu mkoa kiasili una watu wachapa kazi sana. Si wazembe ukilinganisha na mikoa mingine yenye ushirikina kama Tanga,Pwani au Zanzibar.
Kigoma maeneo ambayo yanasifika sana kwa Uchawi ni Mwandiga, Ujiji,Mwamgongo n.k
Hapo Mwamgongo ni hatari sana karibu na Mbuga ya Gombe. Kunasifika na moja ya visa vya uchawi ni kimoja ambacho kilitokea mwaka 2020 ni kifo cha Diwani mmoja ambaye inasemekana alichukua Mke wa mtu.
Huyu Diwani ambaye allhamdulilah alikuwa na vijicent ilitokea akawa...
- Chizi Maarifa
- kigoma mkoani mwisho reli uchawi ushirikina visa
- Replies: 324
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Can you believe in something without verifying it?😂😂😂😂 Kuna vitu mkuu usifanyie utafiti utashindwa kueleza watu jinsi unavyofanya kazi ila amino hili uchawi upo
Aise bro umeongea point mno. And the real truth is that science has impacted the world than Imani za kishirikina. Sijawahi kuona jamii zetu zinazosemekan wanahizi Imani wameendelea.Chuo kama Exeter (University of Exeter) hiyo digrii unayoisemea wewe ni umeinukuu tu title then mbio mbio ukaja hapa, tulia chalii.
Kwa spidi hii, unaweza jikuta umeandika hata Title ya Manchester United ile ya "Red devils" na ukaja kupost link hapa kama uthibitisho.
Digrii wanayotoa hao Exeter University ukiicheki content wise utaona ni ya "history na jinsi impact ya imani potofu za watu kuamini uchawi & ushirikina zilivyokuwa na athari zake zilikuwaje kwenye jamii".
Like I said, europe miaka ya 1400-1700s kulikuwa na wengi wanaamini, baadae watu wakasanuka ni upuuzi ila negative impact ilikuwa severe.
Ukitulia vizuri utaliona hilo somo ni kama tu sisi huku tunavyosoma history ya ukoloni na impacts zake.
Hata kwetu TZ tunaweza anzisha hilo somo, tena itakuwa vizuri zaidi, naunga mkono hoja ili lisaidie kizazi kijacho kisiwe kinaamini upuuzi.
So, Your arguments are out of touch with reality 🚮
Wenyewe wapo bize na finance, science & tech (ballistic missiles, AI, medicine, engineering, n.k) then sisi tupo bize kuaminisha kizazi kijacho imani za kipuuzi, ambazo guys like you mpo bize kuzi-glorify hapa,
sijui ndo ili upate wa kuwapiga pesa ama nn. Mkiambiwa thibitisha beyond reasonable doubt mnakimbia, ila mnataka tuamini tu
Njoo uchukue majina matatuNjoo ww n majina yako 3
Utalipa?Njoo uchukue majina matatu
Hii ni hatari aise 😅 this is where logic meets conspiracy.Maisha yako mwenyewe yamekushinda ndo utajua future za wengine?
Majina yangu ni Juma Jakali Sabina. Niroge kesho nisitokee jukwani.
In the meantime soma huu uzi na nipe jina la huyo diwani mshirikina nikupe laki5. Huu uzi upo toka 2021 na nilitoa challenge kwa mjinga yeyote anayeamini hii habari anipe jina la uhakika tu la huyo diwani nimpe laki5 hadi leo sijapata jibu more than 5yrs. Kama wewe ni zwazwa utaamini hizi story na waafrica wengi bado ni mazwazwa so sishangai sana:
Kigoma Visa vya Uchawi na Ushirikina.
Kigoma ni moja ya Mikoa ambayo inasifika kwa Uchawi nchini Tanzania. Huu mkoa kiasili una watu wachapa kazi sana. Si wazembe ukilinganisha na mikoa mingine yenye ushirikina kama Tanga,Pwani au Zanzibar.
Kigoma maeneo ambayo yanasifika sana kwa Uchawi ni Mwandiga, Ujiji,Mwamgongo n.k
Hapo Mwamgongo ni hatari sana karibu na Mbuga ya Gombe. Kunasifika na moja ya visa vya uchawi ni kimoja ambacho kilitokea mwaka 2020 ni kifo cha Diwani mmoja ambaye inasemekana alichukua Mke wa mtu.
Huyu Diwani ambaye allhamdulilah alikuwa na vijicent ilitokea akawa...
- Chizi Maarifa
- kigoma mkoani mwisho reli uchawi ushirikina visa
- Replies: 324
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
mwenye shida ni wewe. Rejea huu uzi vizuri afu uone kama nina shida na hizi vitu.Utalipa?
Mm na ww mwenye shida nan?
Aliyeandika haya n nanThis is a joke, right!? 🤔
Au ni unataka uwajaze watu ili upige pesa.? 🤔
So, wataka kusema unajua kila jambo la kila mtu just tu kwa kufahamu majina yake matatu (3) bila sapoti ya mifumo ya software/internet. 🤔
Labda kama useme upo kwenye mfumo wa NIDA, database ya NHIF, database ya taifa ya Sensa, Utumishi, TRA, immigration, NBS, database za makampuni ya simu-mawasiliano eg. Voda, Halotel, Airtel, Yas, mifumo ya Banking, mifumo ya social media, n.k
Je, kujua taarifa za watu kupitia hiyo mifumo iliyotengenezwa kisayansi ndo unataka kusema ni uthibitisho wako kwamba kuna uchawi? 🤔
Ndio wasoma nyota au 🤔JUMA → J(1) + U(3) + M(4) + A(1) = 9
JAKALI → J(1) + A(1) + K(2) + A(1) + L(3) + I(9) = 17
SABINA → S(1) + A(1) + B(2) + I(9) + N(5) + A(1) = 19
Jumla: 9 + 17 + 19 = 45 → 4 + 5 = 9
Destiny Number yako: 9
Tabia zinazotokana na 9:
Wewe ni mtu mwenye huruma kubwa, mkarimu na mpenda kuwasaidia wengine (humanitarian).
Una talanta za kisanii, ubunifu na kuwa na maono makubwa ya maisha.
Unapenda haki, amani na mabadiliko chanya katika jamii.
Hasara zake: Wakati mwingine unaweza kuwa na hisia kali, kutojali mali au kushindwa kukaa mahali moja kwa muda mrefu.
Maisha yako yanahusu "kutoa" na kuacha alama chanya duniani.
2. Soul Urge Number (Nambari ya Soul Urge / Heart’s Desire)
Hii inatokana na vokali pekee (A, E, I, O, U) za jina – inawakilisha matamanio ya ndani kabisa, kile kinachokufanya furaha ya kweli na kile unachotamani moyoni.
Hesabu (vokali tu):
JUMA → U(3) + A(1)
JAKALI → A(1) + A(1) + I(9)
SABINA → A(1) + I(9) + A(1)
Jumla ya vokali: 3 + 1 + 1 + 1 + 9 + 1 + 9 + 1 = 26 → 2 + 6 = 8
Soul Urge Number yako: 8
Tabia zinazotokana na 8 (matamanio ya ndani):
Moyoni unatamani mafanikio makubwa, nguvu, usalama wa kifedha na kuwa na mamlaka.
Unapenda kufikia malengo makubwa, kuwa na biashara au nafasi ya uongozi.
Unataka kuwa na maisha yenye starehe, heshima na uwezo wa kuwasaidia familia au jamii kupitia mali.
Hasara zake: Wakati mwingine unaweza kuhisi shinikizo la ndani la "kutosha" au kuogopa kushindwa kifedha.
Kile kinachokupa amani ya kweli ni kuona maendeleo halisi na kuwa na udhibiti wa maisha yako.
Muhtasari wa Tabia Zote Kutoka kwa Jina Hili (Destiny + Soul Urge)
Mchanganyiko wa 9 na 8: Una nishati yenye nguvu ya kuleta mabadiliko makubwa na kusaidia wengine (9), lakini moyoni unataka mafanikio ya kimwili na mamlaka (8). Hii inakufanya uwe kiongozi mwenye huruma lakini pia mwenye tamaa ya kufanikiwa sana.
Unaweza kuwa mtu anayependa haki, anayetafuta maendeleo, na mwenye uwezo wa kuwa na athari kubwa katika jamii au biashara.
Vidokezo: Ili kufanikiwa zaidi, tumia huruma yako (9) kusaidia wengine bila kusahau mahitaji yako ya kifedha na mamlaka (8).
wazee wa horoscope 😀Ndio wasoma nyota au 🤔
Ukitaka huduma njoo inbox nikusaidie nduguNdio wasoma nyota au 🤔