Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
- Thread starter
-
- #561
It's a big issue uki study hii pattern vizuri utaona mtu anavyozunguka kuja kukuattack badala ya kutoa claims based on the asked question.Nafikiri wanaona labda hautujui imani zipoje au hatukuwahi kuwa watu wa imani kabisa
Ni suala la hofu zaidi, kuuliza maswali magumu kuhusu dini na mungu initosha sana na inaleta hofu kwa binadamu wengi wanaoamini dini za Abrahamic. Ni watu wachache huwa wanaweza kuivuka au kuikabili hiyo hofu ya kupoteza imani na kumpoteza, kumuudhi, kumkasirisha au kumkufuru mungu, ndio maana wengi wanaoona contradictions za dini zao huwa wanaishia kusema bora kuamini tu umkose siku ya mwisho kuliko usiamini halafu umkute.Nafikiri wanaona labda hautujui imani zipoje au hatukuwahi kuwa watu wa imani kabisa
Wewe ni kichaaaaa.Jina it's nothing but utambulisho tu, halina uwezo wa kuamua mtu atakuwa vipi.
Ukibisha, fanya kama nilivyokwambia umpe mwanao jina ALBERT EINSTEIN, BRUCE LEE, mpe jina la THOMAS EDSON, ROBERT OPPENHEIMER,
BARACK OBAMA, JULIUS CAESAR,
MAYER AMSCHEL ROTHSCHILD,
MOURICE HILLEMAN, MIKE ADENUGA, n.k.
Halafu uje utupe mrejesho.
Kama kweli jina lina maana ya kuamua destiny ya mtu.
Ukibisha zaidi, fatilia watu wa karne hii ya 21 wanaoitwa jina JESUS au MUHAMMAD, kisha ulete mrejesho hapa.
Au unataka kusema hawapo wenye majina hayo?
rejea post zilizopita, nimekuelezea vizuri kuhusu namna ya kumpa mtu majina full (liwe jina moja au matatu) na yakatambulika kisheria kama utambulisho rasmi.Wewe ni kichaaaaa.
Probably
Majina na sio kina we unaongelea jina 1
Mtu kama Chizi Maarifa, ukimgusa tu lazima aseme nyeti yake imepungua π.Kwa Sasa najichunga sana kumgusa stranger bega asije nipigia mwano kua IKULU yake IMETOWEKA
NIKAJIKUTA NIPO MKONONIIIII MWA WANANCHII WENYE HASIRA KALI πππππ
Fanya hivyo sasa kama itafanikiwarejea post zilizopita, nimekuelezea vizuri kuhusu namna ya kumpa mtu majina full (liwe jina moja au matatu) na yakatambulika kisheria kama utambulisho rasmi.
Jina ni utambulisho tu, halina kazi ya ku determine kwamba mtu flani atakua vipi.
Mkuu, kuna mengi inabidi uyatafute kuhusu RITA na Law of the Child Act 2009.Fanya hivyo sasa kama itafanikiwa
Wewe umesema umezunguka huko kutafuta uhalisia hivyo nilitegemea utaeleza japo uliyokutana nayo huko, mfano unasema waganga wanatumia trick tu hivyo katika kuzunguka kwako kote huko hadi sumbawanga pengine umewahi kukutana na hao waganga basi tuelezee hiyo experience.Sijaona tukio lolote supernatural, huwa nahisi ni ujinga na hofu za watu. Sasa nifunguke vipi zaidi ya hapo? Zaidi ya kusema uchawi unakuwa defined na Wana jamii na kuelezewa kwa namna fulani(madai mengi yanaamini miujiza hutokea), sijawahi kushuhudia zaidi ya kuwanasa matapeli.
Phenomenon nyingi watu wanaposhindwa kueleza huterm kama uchawi ingawa sijawahi kubaki dai bila ushahidi wa kiyakinifu. Ukisema kitu kipo kielezee pia huwezi kusema wewe ni mtaalamu hujui how something works?
Aiseeee Kwan hayo mm siyajui??Mkuu, kuna mengi inabidi uyatafute kuhusu RITA na Law of the Child Act 2009.
Mtoto kupewa majina matatu kwa kutumia ubin wa baba ni desturi tu, sio lazma kisheria.
Hakuna sheria inayolazimisha.
Bro same kama shtuma unayo isikia ya wanaume kuibiwa nyeti zao, kwenye jamii hizo ndio uchawi upo mostly similar. Jamii ikisha kuwa na taharuki hata kama jambo sio la kweli pressure ya watu huifanya iwe hivyo. Kwahiyo I don't confirm stories as facts unless kuna ukweli kwenye jambo fulani.Wewe umesema umezunguka huko kutafuta uhalisia hivyo nilitegemea utaeleza japo uliyokutana nayo huko, mfano unasema waganga wanatumia trick tu hivyo katika kuzunguka kwako kote huko hadi sumbawanga pengine umewahi kukutana na hao waganga basi tuelezee hiyo experience.
Kwa sababu sioni kama kulikuwa na haja ya kusema umezunguka hadi sumbawanga huko(ambako kumekuwa kukiaminika kuna uchawi sana) ila umeshindwa hata kuelezea mawili matatu katika mambo ambayo wanaamini huko ni uchawi ila wewe ukachunguza na kugundua si uchawi ni nini.
Mfano huko tanga inaaminika kuna aina ya uchawi unaitwa zongo ni maarufu huko na wana tiba yake, sasa kama umewahi kufika huko je ulikutana na visa kama hivyo au masimulizi hayo na ulivyofuatilia kujua uhalisia uligundua uhalisia upoje?
Sasa kama wewe GWIJI LA CCM (TISS) umesema kwamba uchawi upo, mimi mchimba mihogo ni nani hata nipinge?Nimekuwa kwenya familia ya dini nilikuwa sijui lolote kuhusu uchawi ila kwenye utu uzima wangu nimekutana nao.
Uchawi upo kabisa.
Basi nyie mngekuwa mnaweza kuelezea hayo ambayo sisi tumeshindwa kuyaelewa hadi tunaita kuwa ni uchawi.Utajihisi kushindwa always incase huna ushahidi na huwezi kuelezea kitu kikaeleweka kwa watu.
Kina min -me Infropreneur Kiranga Yoda huwa wanauliza maswali ambayo logically yanatafuta proof, na information za kutosha kuhusu mambo ya Imani. Nime observe watu wengi wanakwepa haya maswali mno na kubaki na msimamo wewe amini tu, na vitisho badala ya maelezo ya kutosha.
Nyinyi ndio mnasema kitu kipo kwahiyo mnahitaji kutoa burdern of proof.Basi nyie mngekuwa mnaweza kuelezea hayo ambayo sisi tumeshindwa kuyaelewa hadi tunaita kuwa ni uchawi.
Mkuu sidhani kama unaelewa jinsi imani ya uchawi ilivyo na ukubwa afrika, hayo matukio ya taharuki huwezi kusema ndio aina ya imani ya uchawi iliyopo kwenye jamii wakati hayo ni matukio yenye kuibuka na kupotea ni sehemu ndogo sana na jinsi imani ya uchawi ambayo ipo kwenye maisha ya kila siku kwenye jamii. Kuna muda nilitaja baadhi ya mambo ambayo watu huusisha uchawi hadi katika hayo mambo ila nikaonekana naongea vituko tu, ipo wazi hamna ufahamu wa kutosha wa hiki mnachokipinga na ndio maana nasema haya majadiliano yanakuwa ya kutafuta mshindi na sio kutafuta ukweli.Bro same kama shtuma unayo isikia ya wanaume kuibiwa nyeti zao, kwenye jamii hizo ndio uchawi upo mostly similar. Jamii ikisha kuwa na taharuki hata kama jambo sio la kweli pressure ya watu huifanya iwe hivyo. Kwahiyo I don't confirm stories as facts unless kuna ukweli kwenye jambo fulani.
Kuna issue kama chuma ulete, kuna watu wanaamini huu upuuzi. Ukiuliza mbona Benki hawaendi kufanya hii issue unaona watu wanakimbia hawajibu.
Ndiyo, ni dhahiri ulikuwa hujui. Sabb ungejua wala usingekomalia kwamba majina ya mwisho ya mtoto ni lazma yawe ubin wa baba.Aiseeee Kwan hayo mm siyajui??
yes majina watapewa utotoni.Mzee au kisa niko kimya.
Kina mahakamani si chapu ila linahitajika kina natural lolote ila ulilopewa utotoni.
point yako ya majina nimekuzima imeisha, umehamia nyingine. Hahahah!Je tarehe ya kuzaliwa mwezi na mwaka ambao ndio msingi je utabadili?
K
Kuwa fikra
Hamna mtu aliyepinga, lakini kwa upande wangu nadhani na wadau wengine hatakubaliani kwa stori tu. Wewe ndiye unayejua uje uelezee na ukiulizwa swali sio unazunguka kujitetea na kuprove you are right. No one needs to know if you are right or no what we need ni kufahm ukweli wa yanayosemwa.Mkuu sidhani kama unaelewa jinsi imani ya uchawi ilivyo na ukubwa afrika, hayo matukio ya taharuki huwezi kusema ndio aina ya imani ya uchawi iliyopo kwenye jamii wakati hayo ni matukio yenye kuibuka na kupotea ni sehemu ndogo sana na jinsi imani ya uchawi ambayo ipo kwenye maisha ya kila siku kwenye jamii. Kuna muda nilitaja baadhi ya mambo ambayo watu huusisha uchawi hadi katika hayo mambo ila nikaonekana naongea vituko tu, ipo wazi hamna ufahamu wa kutosha wa hiki mnachokipinga na ndio maana nasema haya majadiliano yanakuwa ya kutafuta mshindi na sio kutafuta ukweli.
Swali la kwanini chuma ulete hawafanyii issue hizo bank, maswali kama haya mimi yananishangaza kwa sababu hata kama kungekuwa na madai ya chuma ulete kwenye mabank ndio ingebadili nini kwenye madai ya kinachoitwa chuma ulete kwenye kujua uhalisia wake?
Ukitaka kujua masuala ya chuma ulete ni upuuzi, yaani target yao inasemekana ni kupata pesa kimiujiza kupitia biashara yako, mahali kama bank ndio pesa zipo lakini pesa za bank ili utoe au uweke lazima ziwe verified na program ya computer ambayo sidhani kama computer hudanganya zaidi ya kufuata maelekezo yake. Sasa huo wizi wa kimiujiza sijawahi kusikia bank hata siku moja wameibiwa kupitia mtindo huu ukweli ni kwamba huu ni mchezo kama michezo mingine na hamna miujiza ya wizi wa pesaMkuu sidhani kama unaelewa jinsi imani ya uchawi ilivyo na ukubwa afrika, hayo matukio ya taharuki huwezi kusema ndio aina ya imani ya uchawi iliyopo kwenye jamii wakati hayo ni matukio yenye kuibuka na kupotea ni sehemu ndogo sana na jinsi imani ya uchawi ambayo ipo kwenye maisha ya kila siku kwenye jamii. Kuna muda nilitaja baadhi ya mambo ambayo watu huusisha uchawi hadi katika hayo mambo ila nikaonekana naongea vituko tu, ipo wazi hamna ufahamu wa kutosha wa hiki mnachokipinga na ndio maana nasema haya majadiliano yanakuwa ya kutafuta mshindi na sio kutafuta ukweli.
Swali la kwanini chuma ulete hawafanyii issue hizo bank, maswali kama haya mimi yananishangaza kwa sababu hata kama kungekuwa na madai ya chuma ulete kwenye mabank ndio ingebadili nini kwenye madai ya kinachoitwa chuma ulete kwenye kujua uhalisia wake?
Germany, Na nchi nyingi bara la ulaya wanautambua uchawi, Na kipo chuo cha uchawi ( Humo wanafundishana rituals na mambo mengi )kwa africans na asians, wengi wetu ndo utakuta bado tunaoamini katika hii inayoitwa uchawi.
Hii ni kwa sabb wengi tumekua tangu utotoni tukiaminishwa hivyo, so hata tukiwa grown-up bado tu tunajikuta tunaamini (wachache mno walioweka logic na mantiki zao vizuri na kugundua huu ni upuuzi tu)
mtu wa afrika na asia, chochote ambacho hakifahamu na akashindwa kukielewa na kukielezea, basi hutafuta excuse na kusema huu ni" "uchawi"
So, ni excuse inayotumiwa na watu, pindi wakichoka kufikiri critically, ku-reason na kutafuta the possible causes.
tulia kijana.Germany, Na nchi nyingi bara la ulaya wanautambua uchawi, Na kipo chuo cha uchawi ( Humo wanafundishana rituals na mambo mengi )
Kwahiyo tengua kauli kuwa ni Africa na Asia