Ok huyo tuseme alikuwa ametekwa sii imani potofu.Nimewahi kusikia similar story a lot of time. Nadhani sijajua either ni utekaji unaotokana na Imani potofu, au ni uchawi kweli
Bro mtu yupo Arusha mwingine Dar wanakutana aje hapo?Huko Africa hata post mortem wengi hatufanyi, familia inaweza kuisha kwa ugonjwa wa kuambukiza tu kwa sababu wote mnakutana kuna chain ya family, lakini kwa sababu mnaamini uchawi, mnasema uchawi.
Tushaona sana hili.
Unafanya kama ugonjwa hauwezi kumuambukiza mtu wa Arusha kutoka Dar?Bro mtu yupo Arusha mwingine Dar wanakutana aje hapo?
Watu hawakuwa karibu na waliondoka.
Mzee no actual cause inaonekana mtu akipimwa, mtu anataka vizuri haamki. Kijana mmoja aliiba mzinga wa nyuki ndio alianza yeye wakafuta ndugu zake wa kiume. Kila week ilikuwa ni misiba tu, walipo lipa familia iliacha kuondok.Unafanya kama ugonjwa hauwezi kumuambukiza mtu wa Arusha kutoka Dar?
Walifanyiwa post mortem?
Tanzania haina hata vifaa vya kupima vitu kwa uhakika.Mzee no actual cause inaonekana mtu akipimwa, mtu anataka vizuri haamki. Kijana mmoja aliiba mzinga wa nyuki ndio alianza yeye wakafuta ndugu zake wa kiume. Kila week ilikuwa ni misiba tu, walipo lipa familia iliacha kuondok.
Mmh bro! Sifahamu lakini vp kwanini baada ya kuomba msamaha watu waliacha kufa?Tanzania haina hata vifaa vya kupima vitu kwa uhakika.
Kikitokea kirusi kipya huko hata mashine za ku sequence hakuna.
Watu wengine wanazikwa wazima kwa kukosa vipimo tu.
Halafu watu wakifa kwa kitu msichokielewa, badala ya kupima muelewe, mnakimbilia kusema uchawi.
This is a logical fallacy, argument from ignorance.
"Kwa sababu sijui sababu, basi lazima sababu ni uchawi."
Hapana.
Kama hujui sababu hujui sababu tu.
Kuunganisha uchawi hapo pia ni logical fallacy ya non sequitur.
Uchawi wenyewe mkiambiwa muu define na muuthibitishe hamuwezi mnaungaunga imani tu.
Mmh bro! Sifahamu lakini vp kwanini baada ya kuomba msamaha watu waliacha kufa?
Nadhani pengine ni kweli, I stand with being agonistic maana naweza kusema haupo lakin kuna watu wanafanya haya mambo na effect zinasemekan zipo. Ngoja nta share video hapa Kuna tukio juzi limetokea ukerewe na polisi wamethibisha.
Ukishaamini uchawi unaanza kutengeneza pattern za ku confirm uchawi hata sehemu ambayo uchawi haupo.
Kisayansi hii inaitwa "confirmation bias".
Ndiyo maana waganga wanawapiga sana watu hela kila wakiletewa kesi kwenye familia wanawapeleka watu huko huko wanakoamini kwenye uchawi kuwa "hapa si bure, kuna mkono wa mtu unahusika".
Ndiyo maana jamii zinazoenda kisayansi zinapoona kitu hakieleweki, zinasema hiki kitu hakieleweki, tukichunguze tukielewe.
Jamii zetu zinazoamini uchawi, zikiona kitu hazikielewi zinaanza kuhitimisha huu ni uchawi kabla hata ya uchunguzi.
Ukerewe hakuna vipimo mkuu.
Mnakimbilia ku conclude uchawi wakati nchi hata vipimo haina.
Huelewi wapi?
Ukishaamini uchawi unaanza kutengeneza pattern za ku confirm uchawi hata sehemu ambayo uchawi haupo.
Kisayansi hii inaitwa "confirmation bias".
Ndiyo maana waganga wanawapiga sana watu hela kila wakiletewa kesi kwenye familia wanawapeleka watu huko huko wanakoamini kwenye uchawi kuwa "hapa si bure, kuna mkono wa mtu unahusika".
Ndiyo maana jamii zinazoenda kisayansi zinapoona kitu hakieleweki, zinasema hiki kitu hakieleweki, tukichunguze tukielewe.
Jamii zetu zinazoamini uchawi, zikiona kitu hazikielewi zinaanza kuhitimisha huu ni uchawi kabla hata ya uchunguzi.
Ukerewe hakuna vipimo mkuu.
Mnakimbilia ku conclude uchawi wakati nchi hata vipimo haina.
Huelewi wapi?
Wewe ni kichaaaaa.
Probably
Majina na sio kina we unaongelea jina 1
Nadhani bado sijapa jibu kamili sijasimama na upande wowote. I consider myself as a judge, kila upande una mantiki na pia ni muhimu kusikiliza maoni ya pande zote mbili. We can't run on a shallow conclusion while both points weights.Ethnocentric evaluation.
Fanya research kwanza, Hoja zako zimebase kwenye hisia na fikra zako binafsi si uhalisiatulia kijana.
sitengui kauli, kwanza elewa maana ya "wengi (majority)"
soma tena mara tatu tatu bila kukurupuka.
Kuhusu hiyo ya Europe, kuna mwenzio alikuja na hoja kama hiyo na nilishamjibu na hajarudi tena.
Rejea replies zilizopita utapata jibu lako.
ipo hivi, Europe miaka ya 1400-1700 nao walikuwa na imani hizi potofu, na watu walipoteza maisha kisa tu watu kusema flani ni mchawi (imagine mtu ulikuwa ukipata shida tu basi unasema flani kaniroga na huyo flani anaadhibiwa na nchi),.. ila baadae reasoning, logical sense na science iliwasanua watu.
So, kinachofundishwa kwenye hizo kozi ni "Historia na athari za imani hizo potofu zilikuwaje Europe kipindi kile na impact zake" na wanashangaa sana kwamba kw nn Africa still mpk sasa watu wengi bado wanaamini ktk huu upuuzi.
Hence, hayo masomo unaweza kuyafananisha kama tu kwetu tunavyofundisha "Historia ya Ukoloni faida na athari zake negative, ili watu wajue wapi tulitoka ili tupange yajayo"
Binafsi, ningependa hizi Elimu/kozi zianzishwe kwenye shule za TZ just kama walivyofanya baadhi ya nchi Europe kuwa na hizo kozi ili watu wengi waelimike, waache kuamini upuuzi.
Hebu, ona sasa mtu anaamini eti "ukiguswa bega tu nyeti zinapotea" . Aisee!
Kuna kipindi watu wameua ma-albino kisa imani hizi hizi, aisee so sad!
Yaani uchawi uwepo afu USA, Israel, Iran, Russia,
Ukraine wapoteze matrilioni kwenye ballistic missiles na Air defense systems? 🤔
Si wangetumia tu huo uchawi kurogana.
Coz sio siri wao ndo wangekuwa mamaster kuliko sisi.
TZ hapa kama uchawi ungekuwepo, ungemtumia sana kwenye vurugu za uchaguzi Octoba 2025 ila nilichoona ni vitu vya kisayansi tu (bunduki, n.k) ..
Mkuu, Acha kuwa primitive
mzee usiturudshe enzi za vita ya maji maji.
Hiyo ndio changamoto iliyopo humu.Fanya research kwanza, Hoja zako zimebase kwenye hisia na fikra zako binafsi si uhalisia
ukiwa na hoja mpya, karib. ila hizo hoja za shule (vyuo) nimeshakujibu, hivyo ni kazi yako kuzifanyia utafiti.Fanya research kwanza, Hoja zako zimebase kwenye hisia na fikra zako binafsi si uhalisia
Hivyo vyuo, Vyuo gani ? Nitajie kwa majina vyuo unavyovizungumzia wewe kabla sijataja ninavyofahamu mimiukiwa na hoja mpya, karib. ila hizo hoja za shule (vyuo) nimeshakujibu, hivyo ni kazi yako kuzifanyia utafiti.
Narudia tena, kinachofundishwa katk hivyo vyuo (shule) ni "historia ya jinsi hali ilivyokuwa wakati europe waliopokuwa wakiamini imani hizo potofu enzi hizo, na athari zilikuwaje, kwa nn baadhi wanaamini, na kwa nini europeans waliacha hizo imani potofu"
ingekuwa leo ni 1976 hapo ungetupotosha, ila it's 2026 usituposhe kwa vitu vipo wazi kabisa (Europe, hakuna chuo kinafundisha skills za kuroga, ku-cast spell, n.k),
Ukibisha, tafuta mitaala yao na prospectus za hivyo vyuo.
It's 2026, ukitaka mbona unazipata.
Kwa kuongezea, Tafuta kuhusu haya makundi, Hexen , Wicca then urudi hapaukiwa na hoja mpya, karib. ila hizo hoja za shule (vyuo) nimeshakujibu, hivyo ni kazi yako kuzifanyia utafiti.
Narudia tena, kinachofundishwa katk hivyo vyuo (shule) ni "historia ya jinsi hali ilivyokuwa wakati europe waliopokuwa wakiamini imani hizo potofu enzi hizo, na athari zilikuwaje, kwa nn baadhi wanaamini, na kwa nini europeans waliacha hizo imani potofu"
ingekuwa leo ni 1976 hapo ungetupotosha, ila it's 2026 usituposhe kwa vitu vipo wazi kabisa (Europe, hakuna chuo kinafundisha skills za kuroga, ku-cast spell, n.k),
Ukibisha, tafuta mitaala yao na prospectus za hivyo vyuo.
It's 2026, ukitaka mbona unazipata.
Wicca balaaKwa kuongezea, Tafuta kuhusu haya makundi, Hexen , Wicca then urudi hapa